Natafuta kazi nina Shahada ya pili ya Takwimu

Mh! Siku hizi kuwekeza katika elimu ni loss! Ni vema uwekeze kwanza kitu cha kukupa hata mia then ndio ujiongeze na elimu, vinginevyo mtu wa kukuajiri atakulipa ngapi???
Pole sana...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
mkuu mkuu tengeneza website kwa hosters wa bure (not secured ) itayouhusu ushauri wa bure wa mifumo ya ofisi bora ya takwimu ,kwa kuwa huna hela anza na ngo ukifanya biashara hii bure ,jitangaze insta,twitter,etc fanyia watu kama 20 kazi hii kwa weredi mkubwa ukiwaachia contact weka posho ndogo kwako kama Tshs 40,000 hata kama utatembelea mara 20 ofisi yake usiombe ombe vihela jenga heshima kisha mambo yataenda yenyewe .

USHUHUDA
Mimi nilitafuta kazi kwa miaka 3 bila mafanikio nimesomea finance and econ ,nilichoka balaa baadae naamia kujiuliza nafeli wapi niligundua haya
1.Mavazi
Hakuna wa kukuamini kama unavaa kihuni ,kishamba au mchafu.nkazama mtumbani nkabeba mishati mieupe kibao na suruali za kuchomekea na tai haikauki na kapafume ka 5000 .
2.Unaokaa nao
Unatafuta kazi halafu unakaa kijiweni unabishania iran na usa ? kaa na watu unaotaka kuwa wao,unataka kunywa soda yako unaweza inywa kwa mchaga kibandani kwa 500 au 1000 sehemu wanakaa watu wenye sio et connection(hilo ni neno la wajinga) bali like mind wanaoweza elewa lugha ya ndoto yako .mfano kwa wanywaji waweza kula konyagi yako na msosi uswazi kisha unaenda hotel kubwa ya bia 4,000 ukajichanganya with purpose mi nilikutana na mzee mmoja anataka mkopo nilikomaa kumsaidia huku simpigi mizinga ndipo i touched my first tshs 1 mil and the rest is story

NB: USIWATUMIE MAOMBI YA KAZI MATAJIRI (WANAOTUMA WENGI) WAONESHE UNGEKUWA WAO UNGEFANYIA NINI KAMPUNI BURE .
 
A

NB: USIWATUMIE MAOMBI YA KAZI MATAJIRI (WANAOTUMA WENGI) WAONESHE UNGEKUWA

Asante kwa ushauri mzuri
 
Vizur mkuu
 
Good
 
Nimeanza kuifanyia kazi
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom