kazi

Shughuli inayohusisha akili au nguvu ya mwili kwa lengo la kufikia kusudi ama kupata matokeo fulani.
  1. JamiiForums Tanzania Naona waajiri hawapiti humu, tupo waomba kazi tu

    Tokea hili jukwaa lianzishwe nimejaribu kuomba kazi sana humu ya udereva wa magari makubwa na madogo lakini atakupokea simu moja tu hakuna! Kuna mda naona waajiri awaingii humu. Tupo wenyewe tu tunapeana moyo tu maskini dah!
  2. JamiiForums Tanzania Fredrick Lowassa: Kama sio Rais Samia, Baba asingefika juzi

    "Baba ni mpambanaji alipambana sana mpaka dakika ya mwisho lakini kwa yaliyotokea tunasema ni kazi ya Mungu na kama familia tulipokea kwa amani kabisa, tunasema acha baba apumzike" "Lakini katika vita yake hii ya kupigania maisha yake lazima niseme kipekee naomba sana kutoa shukrani za familia...
  3. JamiiForums Tanzania Nafasi za kazi AHB project

    Njoo kazini utapata nafasi Tunachakata taka (Recycling) Tunahitaji Waokotaji Taka (Waste Pickers), toka majiji na mikoa yote ya Tanzania bara na visiwani. Mwisho wa Maombi 30/6/2024 Tupigie Tafadhali +255 789 753 808. Usitume Sms. Au tuandikie africahomebinahb@gmail.com
  4. JamiiForums Tanzania Je, mgombea unayemuunga mkono ana sifa za uadilifu na uwezo unaohitajika kwa kazi hiyo?

    Uchaguzi wa viongozi ni mchakato muhimu katika demokrasia ambapo wananchi hupata fursa ya kuchagua viongozi wanaoamini wanaweza kuwakilisha vyema maslahi yao na kuleta maendeleo katika jamii. Katika kufanya uamuzi huu muhimu, ni lazima tuzingatie sana sifa za mgombea tunayempigia kura, ikiwa ni...
  5. JamiiForums Tanzania Kumbukumbu za Lowassa: Mimi nilijiuzulu ili kuwajibika kwa makosa ya wengine

  6. JamiiForums Tanzania Kazi ya bodaboda inaenda kuwa ni ya kihuni

    Kwanza kabisa ni kazi isiyokuwa na taaluma, mtu yoyote tu anaifanya. Serikali haiitambui rasmi. Sehemu ya kwenda kwa buku tokea 2015 mpaka leo bei ni ile ile. Ukimuacha abiria kiss anakupa 1000 sehemu ya kwenda kwa 2000, anapita mwenzako anambeba kwa hiyo hiyo 1000. Ukiingiza 15000 kwa siku...
  7. F

    JamiiForums Tanzania Watu wa Lindi na Mtwara hawafurahishwi na Makonda kuingilia kazi za Kassim Majaliwa

    Tangu Makonda arudi kwenye jukwaa la siasa imekuwa kama vile yeye ndio waziri mkuu, makamu wa rais au rais mwenyewe. Sio kila mtu anafuria jambo hili na ndio maana hata Makonda mwenyewe tayari alishaanza kulalamika kuwa kuna watu wanamtafuta wamuue. Makonda awe makini anaposafiri kwenda...
  8. JamiiForums Tanzania Lab Technician natafuta kazi

    Habari wakuu, Mimi ni kijana wa kiume niliesoma Diploma ya Laboratory technician kutoka chuo cha DIT napatika Dar-es-salaam, natafuta kazi kwenye shule au viwanda mkoa wa wowote nchini. Asanteni.
  9. JamiiForums Tanzania Nafasi za kazi shambani Mufindi iringa. Mashamba ya Chai

    Njoo Iringa kwenye machai. Tunza tiketi YA BASI nauli unarudishiwa ukifika. 1.nyumba bure 2.maji ya uhakika Vigezo 1. Miaka 18+ 2. Uwe na NIDA namba au cheti cha kuzaliwa au kadi ya mpiga kura au namba ya NSSF AU leseni ya udereva Kazi ni kuchuma kipato ni kutokana na juhudi ya uvunaji lakni...
  10. JamiiForums Tanzania Kazi zipo ila wengi hatujui tulichokisomea

    Wengi tumeenda vyuo tukasoma na kutunukiwa vyeti mbalimbali; ila ukiulizwa hiyo fani ulioisomea unatakiwa ufanye nini, unashindwa kujieleza au kuonyesha kwa vitendo namna elimu ulioipata huko vyuoni inavyoweza kutatua changamoto zilizopo. Mwingine atasema nimesomea IT, Computer sayansi...
  11. JamiiForums Tanzania Kamati ya Bunge ya PAC yaridhika na kazi za Serikali Mtandao

    Dodoma, Dodoma Kamati ya Bunge ya kudumu ya Mahesabu ya Serikali yaani PAC imeeleza kuridhishwa na kazi zinazofanywa na menejimenti ya Serikali Mtandao wakati walipodhuru kituo cha Ubunifu na Uendelezaji Vipaji jijini Dodoma. Wakizungumza baada ya kukagua kazi zinazofanywa na kituo hicho...
  12. JamiiForums Tanzania Tutakua na kazi ya kufanya installation ya softwares za kufanya citation na kuweka references kwenye report

    Kuna wakati mwingine unaweza ukawa unaandika report na ukatakiwa kuweka citation na references. Lakini kwa kutokujua ukajikuta unaanza kufanya citation na references manually. Kwa dunia ya sasa kila kitu kinafanyika automatically. Kufanya citation na kuweka references manually kunakufanya...
  13. JamiiForums Tanzania Mwandishi wa habari Cyprian Musiba arejeshewe mazingira ya kufanya kazi tena amejifunza

    Kama mada ilivyo hapo juu kwa kuwa inadaiwa kuna 4R (Reconciliation, Resilience, Reforms and Rebuilding) kwamba zinatibu vidonda vya kuumizwa kiakili, kimwili, kiuchumi na kijamii basi nafasi hiyo ifunguliwe kwa mwandishi mkongwe Cyprian Musiba ili kuchangamsha zaidi myambuliko wa siasa za...
  14. JamiiForums Tanzania Usajili wa magari ya serikali umefikia “STN” kazi iendelee

    Leo nikiwa town katika mishemishe nakuta chuma ya serikali imepaki. Kucheki namba ni STN. Nikajiuliza si ni juzi tu hapa STM ilianza? Ndio imejaa kwa kasi hivyo! Serikali yetu inamiliki magari mengi na sasa usajili umefikia “STN” hii ni kasi zaidi ya 5G
  15. JamiiForums Tanzania Mdada anaejua kazi za saloon

    Kama kichwa kinavyosema nahitaji mdada anaejua kazi za saloon (ya kike) Kuosha wateja Kuweka Dawa Kusuka Misuko Tofauti Make Up kwa wateja Kubana styles tofauti Na Nyingine nyingi ambazo atakua ana uelewa nazo. Saloon ni MPYA imekamilika inahutaji tu mtu wa kazi. OFISI/SALOON ipo MBEZI...
  16. JamiiForums Tanzania Miriam Migomba aacha kazi TBC

    Jinamizi la watangazaji kuacha kazi bado linaendelea kuitafuna TBC, Mtangazaji mwengine mkongwe Miriam Migomba ametangaza kuondoka Shirika la Utangazaji Tanzania TBC baada ya kuhudumu kwa muda mrefu. Migomba anakuwa mtangazaji wa pili kuondoka kwenye Shirika hilo ndani ya mwezi mmoja baada ya...
  17. JamiiForums Tanzania Upacha mpyq wa mgao wa namba ya simu na mpango kazi wa maokoto

    Wanawake Mungu anawaona unakuta kadada kana sura na muonekano wa kilokole, thubutu !!! Kachatishe Whatsapp au normal text ndio utajua wanawake ni mashetani yaliojificha kwenye miili ya watu. Sasa msitulaumu tukiwanyanndua na kusepa nina hasira kuna pisi nilikuwa na mpango wa kukaa yenyewe...
  18. K

    JamiiForums Tanzania Bunge, Serikali na Mahakama vyote havifanyi kazi vizuri 🤔

    Bunge letu ni fake na halitoi majibu Serikali haiko serious kutatua matatizo ya wananchi. Katiba ni mfano! Wamebaki kisiasa kila kitu. Hakuna maridhiano ya maana yenye nia ya kuendeleza nchi badala yake ni kufikiria ndugu na marafiki zao tu. Mahakama haitoi haki ipasavyo na imejaa siasa...
  19. JamiiForums Tanzania Internet ya starlink inafanya kazi tanzania tatizo ISP Starlink ni vikwazo na sheria wala sio huduma

    Unapozungumzia setelite tofauti na huduma zengine ambazo ni rahisi kuwekewa vikwazo mfano mfumo wa redio za sauti,mawasiliano ya simu na njia za waya au wireless zenye uwezo masafa yasio kwenda juu usawa wa bahari. nimeleta mada kwenu sababu hiki kifaa nakitumia hapa tanzania na kwenye usajili...
  20. JamiiForums Tanzania Kazi ya ununuzi na ugavi

    Mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 30,nina diploma ya manunuzi na ugavi kutoka chuo cha utumishi wa umma. Nina uzoefu wa kutosha kutokana na kufanya kazi sehemu tofauti ikiwemo halmashauri ya busokelo,tarura pamoja na tazara. Pia field nilizozifanya wakati ninasoma chuo.mazingira rahisi kwangu...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…