kati

Kati is an urban commune and the largest town in Mali's Koulikoro Region. The town is situated 15 km northwest of Bamako, Mali's capital, on the Dakar-Niger Railway. In the 2009 census, the commune had a population of 114,983.

View More On Wikipedia.org
  1. Chizi Maarifa

    JamiiForums Tanzania Dunia iingilie kati, wameua tena Kamanda wa Hezbollah Lebanon

    Dunia iwazuie hawa mayahudi. Wameua yena Kamanda Mwandamizi (Senior Commander) wa Hezbollah huko Lebanon. Jamaa wanapiga kila sehemu hawa Waisrael nashindwa waelewa. Wanaenda piga kuua maadui hadi nchi nyingine? Dunia inaangalia tu. Ni nini hiki jamani? Hali ni mbaya kwa sasa jamaa wameamua...
  2. Bujibuji Simba Nyamaume

    JamiiForums Tanzania ☯️🔴🔵 VIJUE VIGEZO (17) VYA KUTOFAUTISHA MABASI (DARAJA LA KAWAIDA, DARAJA LA KATI NA LA KIFAHARI)

    Ukiwa na changamoto yoyote kwenye basi, wasiliana na LATRA 0800110020. MAGUFULI BUS TERMINAL 0734450010. Watu wengi au abiria bado hatuna elimu ya kutofautisha haya madaraja ya mabasi licha ya mamlaka kupanga nauli kulingana na vyombo husika bado tunahitaji uelimishwaji wa hali ya juu. Leo...
  3. Msanii

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Tuwakumbushe: Mch. Gwajima ulitoa ahadi. Je, greda jembe kati lipo wapi?

    Video inajieleza. Watu wa Kawe wanauliza greda uliloahidi kununua mara tu baada ya kichaguliwa lipo wapi? Je baba Mchungaji, utakuja na uongo upi tena mwaka 2025? Tuanze kukumbushana ahafi za uongo zilizotolewa kuhadaa wapigakura 2019/2020
  4. 6 Pack

    JamiiForums Tanzania Kinachoendelea huko Mashariki ya kati kinadhihirisha kuwa uongo wa wazungu unaelekea kufika mwisho

    Niaje waungwana? Wazungu baada ya kuona wamefanikiwa kutawala sehemu kubwa ya dunia haswa haswa katika bara zima la Afrika, wakaona kuwa hata uongo wao pia watakaoleta kwa watawaliwa utaweza kuishi milele, bila kujua kwamba zama zinabadilika na akili za watawaliwa nazo pia zinabadilika. 1...
  5. tutafikatu

    JamiiForums Tanzania Wafa Sultan: Hakuna Mgongano wa Ustaarabu bali Mgongano kati ya Mawazo ya Zama za Kati na ile ya Karne ya 21

    Zifuatazo ni sehemu za mahojiano na mtaalamu wa magonjwa ya akili Mwarabu na Marekani Wafa Sultan. Mahojiano hayo yalirushwa hewani na Al-Jazeera TV mnamo Februari 21, 2006 . Wafa Sultan: Mgongano tunaoshuhudia duniani kote sio mgongano wa dini, au mgongano wa ustaarabu. Ni mgongano kati ya vitu...
  6. Rayvanny wa jamiiForums

    JamiiForums Tanzania Swali kwa wanawake, hivi kati ya mwanaume mweusi na mweupe yupi anakuvutia zaidi?

    Katika mahusiano kila mtu huwa anahisia zake huyu anapenda hivi huyu anapenda vile sindiyo. Sasa hebu funguka hapa, wadada hivi kati ya mwanaume mweusi na mweupe yupi anakuvutia zaidi.
  7. L

    JamiiForums Tanzania Mkurugenzi Mkuu NHIF ni kati ya wanaomponza Ummy Mwalimu

    Huyu jamaa ni mkiburi kishenzi - yaani anaonesha ukatili wa wazi wazi kwa sababu kazi ake imekuwa ni kuiteka Bodi yake na kujikomba kwa Mawaziri mpaka Makatibu wakuu. Huyu analazimisha ili watoto wa shule fulani waweze kupata bima ya matibabu eti mpaka idadi yao ifike 50 na kuendelea. Huyu...
  8. Guacamole

    JamiiForums Tanzania Hapa nani boya?

    Nikiwa kwenye daladala nyuma kabisa, pembeni yangu kuna mkaka akifuatiwa na mdada. Actually mimi ndio niliowakuta, na katika kucheki mazingira kwa haraka haraka inaonekana kama kulikua na mazungumzo kabla. Anyways, punde jamaa akatoa noti ya elfu 10 mfukoni kisha akaiandika namba ya simu juu...
  9. S

    JamiiForums Tanzania Nimejisikia uchungu sana nyimbo za taifa zilipopigwa wakati mechi kati Kili Stars vs Zanz Heroes inaanza

    Maswali yafuatayo ndiyo yamenitoa machozi. Nimejiuliza kwamba: 1. Kumbe haya ni mataifa 2 tofauti? Kila moja lina katiba yake, wimbo wake, jeshi lake na rais wake? 2. Kwahiyo hivi Sasa Tanganyika inaongozwa na raia wa kigeni?? Hilo swali la 2 ndiyo limeniumiza zaidi.
  10. Lycaon pictus

    JamiiForums Tanzania Kati ya maji ya mvua na maji ya chemchemi, yapi ni masafi zaidi?

    Habari waungwana. Eti kati ya maji ya mvua na maji ya chemichemi yapi ni masafi na salama zaidi.
  11. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania Miss JF 2023: Nani ni Mrembo zaidi kushinda wenzake hapa JF kati ya wanawake wafuatao?

    Kwema Wakuu! Zikiwa zimebaki siku tano mwaka 2023 ukatike. Bila kujali kuwa humu wengi hatujuani na hatuna mpango wa kujuana. Lakini kuna ile kitu inaitwa Schema Yaani kujenga taswira ya kitu, jambo au mtu kabla hujamuona/hujamuona mtu huyo. Je kwa Schema yako, unafikiri ni memba gani humu...
  12. LIKUD

    JamiiForums Tanzania Uhusiano kati ya mwaka 7000BC na wewe unae soma Uzi huu

    Miaka elfu 7 iliyopita wewe hukuwepo lakini alikuwepo mtu mmoja ambae alikuwa anaishi juu ya ardhi ya uso wa dunia precisely Africa.. Mtu huyo si mwingine ila ni ancestor wako. Wewe ni mifupa katika mifupa yake. Wewe ni nyama katika nyama zake. Wewe ni damu yake. Taarifa za mtu huyo...
  13. Allen Kilewella

    JamiiForums Tanzania Vita kati ya Hamas na Israel ni kati ya dini na dini au ni kati ya Taifa na Taifa??

    Nikiangalia michango ya watu humu JF, nashindwa kuelewa kama hii Vita kati ya Hamas na Israel ni Vita ya kidini ama ni Vita kati ya Taifa na Taifa!!?? Nani hasa anayejua hii vita inahusu nini??? Hii vita inahusiana Vipi na vita kati ya Wafilisti na waisrael?? Uislam na Ukristo unahusikaje na...
  14. S

    JamiiForums Tanzania "Uchumi wa kati" hapa mjini. Akina dada ni wewe na akili yako tu

    Dada unatembea na kitega uchumi, halafu unalalamika maisha magumu ? Unakwama wapi? Ili kuyakabili maisha na kuwa na uchumi wa kati jirembe, jibebishe na uwe mtu wa kukaa maeneo ya mawindo. Anyway. Kuna mwenzenu siku kama ya leo ametengeneza 1M. Asubuhi aliitwa na mshefa wakutane sehemu...
  15. THE FIRST BORN

    JamiiForums Tanzania UTABIRI: Katika michezo 4 ijayo ya Ligi, Simba SC itaambulia alama 5 au pungufu kati ya alama 12

    Habari wanajukwaa Nimeangalia michezo ijayo ya Simba katika michezo 4 jayo kwenye ligi. Aiseeee 😁😁 Niseme tu kwa hii Fixture Simba itapata ushindi mmoja na itasare michezo 2 na itapoteza mchezo moja. Sitaki kuwambia kwanini nimetabiri hivyo ila subirini. Na ikifanya mzaha huenda ikapata...
  16. Yoyo Zhou

    JamiiForums Tanzania Jumuiya yenye hatma ya pamoja: Ushirikiano wa kilimo kati ya China na Afrika ni wa kunufaishana

    Afrika ina rasilimali kubwa za kilimo. Lakini kutokana na sababu mbalimbali, kiwango cha maendeleo ya kilimo barani humo kimebaki nyuma kwa muda mrefu, na hata nchi nyingi haziwezi kujitosheleza chakula. Kwa hivyo, nchi za Afrika zinachukulia maendeleo ya kilimo kama kazi kuu ya kujiendeleza...
  17. S

    JamiiForums Tanzania Eti ninyi waoaji, mnapotaka kuoa huwa mnazingatia kigezo kipi kati ya Uzuri, akili na kipato cha mwanamke?

    Kuna maoni mseto katika kila kigezo. Uzuri unaweza kutoweka kwa magonjwa ama ajali. Akili inaweza isifanye kazi kutokana na mazingira na jiografia ya eneo anapoolewa. Kipato chake kinaweza kutoweka kwasabb zozote zile. Ikiwa kila kigezo kina shida zake, ni kipi basi mtu anapaswa kukizingatia...
  18. integraltracking

    JamiiForums Tanzania Chimbo la mabati na pvc bei mchina bila mtu kati

    Kama Title inavyosomeka. Ninatafuta Lilipo chimbo la Mabati, Misumali, PVC na Chuma(square Pipe, metal sheets na round pipe) bei ya jumla(kiwandani). Mwenye Chimbo atakula 50k( kunipeleka/ kunielekeza na kudhibitika ni valid). Nitashukuru sana kama ombi langu litafanyiwa kazi, asanteni na...
  19. Tajiri Tanzanite

    JamiiForums Tanzania Kati ya Musrael na Hamas nani anatumia haya maneno akimuuwa mtu..Allah akbaru..

    Hapo vip!! Bila shaka tunajua dini za Israel,kinachoshangaza kuna watu ambao ni wapumbavu,wanajaribu kuaminisha watu yakwamba waliomua kijana Joshua Mollel ni wasrael..wakati wauwaji wanasema Allah akbaru..Allah akibaru NB,Musrael ana IQ kubwa hawezi kumuuwa tu mtu ovyo ovyo.Amehalalishiwa...
  20. T

    JamiiForums Tanzania Kati ya Benki 10 Kubwa Afrika Mashariki, Benki 8 Zinatoka Kenya

    Wakuu habari za Jumatatu. Kuna jambo kidogo limenivutia kidogo kunitazama kwa umakini zaidi, wazungu husema lime 'attract my attention'. Jambo lenyewe ni kwamba, imetolewa orodha ya benki kubwa 10 Afrika Mashariki. Katika orodha hiyo benki 8 kati ya 10 zinatoka Kenya. Kwa mfano, mtaji wa...
Back
Top Bottom