Chimbo la mabati na pvc bei mchina bila mtu kati

integraltracking

New Member
Dec 6, 2022
3
1
Kama Title inavyosomeka. Ninatafuta Lilipo chimbo la Mabati, Misumali, PVC na Chuma(square Pipe, metal sheets na round pipe) bei ya jumla(kiwandani).

Mwenye Chimbo atakula 50k( kunipeleka/ kunielekeza na kudhibitika ni valid).

Nitashukuru sana kama ombi langu litafanyiwa kazi, asanteni na karibuni.
 
Nakucheki mkuu
 
PVC chuma machimbo wanauza jumla sio unataka PC 100 mzeee

Hizo PC 100 nenda kkoo
 
Kama ni mabati ya dragon mkuu kiwanda kipo vingunguti kama sikosei, huko ni wholesale

Iyo 50k nunua mchele hapo nyumbani kula na wanao, msaada wangu unatosha
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom