Kati is an urban commune and the largest town in Mali's Koulikoro Region. The town is situated 15 km northwest of Bamako, Mali's capital, on the Dakar-Niger Railway. In the 2009 census, the commune had a population of 114,983.
Habari wanajukwaa!!
Tujitahidi kuwa makini sana na hawa watu waliochagua upande kwenye hivi vita vinavyoendelea.
Kuna upotoshaji wa wazi wazi na kimakusudi kuhusu vita hivi, mfano mzuri ni mwanajukwaa Kimsboy na wenzake.
Nimejaribu sana kufuatilia habari anazoleta humu jukwaani kwa 97% ni...
Nimeona Wanasimba wengi wakiongozwa na yule mshereheshaji wao wa kule mtandao wa X wakijifariji kuwa wapo kiwango kimoja na Al Ahly.
MC wao wa Twitter Ndugu Micky Jr anawapamba kuwa mechi ya Simba vs Al Ahly iwe African Derby, ahaa!
Derby ambayo kabla ya mechi unakuwa ushajua nani anashinda na...
"Kwa nje namtafsiri kijana kwa umri wake na matendo yake. Kijana kiumri kuanzia miaka 16 hadi 34. Kuanzia miaka 35 hadi 45 ni mtu wa makamo. Kuanzia 50 na kuendelea ni mtu mzima. Miaka 70 na kuendelea ni Mzee" Mwanaidi Kombo, Mwanasaikojia.
Chanzo: cloudstv
GENTAMYCINE nilikuwa najiona tayari...
Wizara ya Mambo ya Nje ya China imesema, Waziri wa Mambo ya Nje wa China Wang Yi atafanya ziara nchini Marekani kuanzia tarehe 26 hadi 28 mwezi huu. Kabla ya hapo, tangu mwezi Juni mwaka huu, Waziri wa Mambo ya Nje wa Marekani Antony Blinken, Waziri wa Fedha wa Marekani Janet Yellen, Mjumbe...
Kuna wanaosema Yesu ni Mungu, na wapo wanaosema Allah ni Mungu. Pia kuna wengine wanaosema kwamba Yehova ni Mungu.
Je tunaweza kuwa na miungu watatu na wakawa na nguvu moja?
Je nini uhusiano uliopo kati ya watatu haWa?
Mimi naona hawa ndio chanzo cha ukosefu wa amani duniani.
Ubishi, ukaidi na ujeuri wa Wapalestina kutaka kupambana na Israel itapelekea maafa na mateso zaidi kwa watu wasiokuwa na hatia. Ama kwa kupenda au kutokupenda, suluhisho rahisi na lenye kuleta amani mashariki ya kati ni wapalestina kuwa watulivu ili waendelee kukaa pale kwa amani au kuhama...
Nimeona viongozi wa vilabu vya mpira ndio wanahangaika na watu wanaotengeneza jezi feki. Najiuliza ni halali kisheria mtu kutengeneza jezi feki Tanzania?
Mbona kwenye bidhaa nyingine watu huchukuliwa hatua kali za kisheria? Au wanaotengeneza ndio vigogo wenye nchi? Tukiendelea hivi haiwezekani...
Hawa ni wamachinga wakifanya biashara zao barabarani bila kujali hatari inayoweza kutokea.
Ni kweli kwamba kila Mmoja wetu ana haki ya kujitafutia riziki, lakini riziki ya namna hii yaweza kuleta Maafa ya kukumbukwa milele.
Baada ya Maafa Chalamila ataunda Tume ya Uchunguzi .
Kiwango cha joto mchana wa leo jijini Dar es Salaam kimefika kati ya 33°c na 34°c, hiki ni kiwango cha juu sana kwa jiji hili, chukua tahadhari usinywe bia mchana huu kuepuka kupoteza maji mwilini.
Hii haikubaliki kabisa, kwa mtindo huu mbona tutapoteza pesa nyingi kusiko julikana, serikali mje mtuokoe huu ni utapeli wa kimahaba.
Anyways: Anayejua hii saloon ilipo aseme nasisi tukaone kama ni kweli.
Kuna hizi ngoma kali mbili za hawa miamba kutoka Congo Associe ya Fally Ipupa na 100 kilos ya Ferre Gola.
Mbivu na mbichi itajulikana. Ni ngoma ya mkali gani imenyooka vizuri upande wako kati ya
Associé - Fall Ipupa
[Intro]
Assoc, associé
L'empereur Tchatcho Mbala Kashogi
Ba diamants ebele...
Wakuu japo nimetanguliza uzalendo mbele kwa taifa na nchi yangu,
Ila upenzi wa kandanda safi na la burudani, unanifanya nitamani mnyama ashinde njaa Misri
Nakumbuka kama isingekuwa makosa ya beki M.Mvala wa Mamelodi Sundowns kuisawazishia Wydad kwa goli la kujifunga mnamo dakika ya 83 basi...
Ukimya sio Jibu, Serikali iingilie kati Mgogoro wa CWT dhidi ya Wanachama.
Ni miaka zaidi 20 Serikali na wanachama hawajatulia na CWT wanatoa majibu mepesi.
Nakumbuka CWT ilijinasibu kuwatekelezea walimu mahitaji yao ikaahidi mambo mengi sana kama benk yao, majimbo yao, nk.
Katika vikao...
Ni jambo rahisi sana kuwaambia na kuwaaminisha waafrika kuwa kuna nchi pale mashariki ya kati imebarikiwa na jamaa anaye itwa Mungu wakakuelewa na kukubaliana nawe na wakaipenda na kuijali kuliko nchi zao.
Ila ni jambo gumu kupita maelezo kuwa ambia na kuwaaminisha wachina upuuzi huu kuwa kuna...
Matangazo mengi kuhusu wanamgambo wa Hamas kinyume na uwezo wao inaonekana kumelitia hofu kubwa jeshi la Israel ambalo linaundwa zaidi na vijana wadogo.
Hayo yameonekana katika kurudiwa kwa ahadi na kuwatia moyo askari hao wakatishe mpaka kuingia Gaza.
Waziri wa ulinzi wa Israel Yoav Gallant...
Kwenye muziki wa kisasa wa Rhumba hasa kutoka DRC Kuna wanamuziki wawili wanaoshindana kwa ukaribu sana. Je nani kati Yao ni mkali kwa mtazamo wako kati ya Fally Ipupa na Ferre Gola?
Hapa nitataja baadhi ya nyimbo zao ambazo ukiweza kuzisikiliza zinaweza kukupa mwanga wa kuamua kwenye hili...
Kabla Shujaa Mwendazake hajatuaga, tuliambiwa nchi imepaa na sasa tupo uchumi wa kati.
Baada ya ziara zenye tija za Mama, ambazo hakika zimefungua nchi na uchumi kupaa sana tumefkia hapa leo nchi kuwa gizani
Nyerere alitufundisha na kutuasa kuwakataa hawa wapuuzi wanaolizamisha Taifa bila...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.