Kati is an urban commune and the largest town in Mali's Koulikoro Region. The town is situated 15 km northwest of Bamako, Mali's capital, on the Dakar-Niger Railway. In the 2009 census, the commune had a population of 114,983.
1. Matatizo ya Mazida Verisa.
2.Naomba kujua Kama inaweza kuinuliwa Juu maana kako Chini Sana
3.Naiataji kujua ubora wa Mazida Verisa au Vtz ipi nzuri zaidi kwa Ubora wa uimara wake.
ipo hivi mimi ni mwalimu, mfanyabishara na mkulima , mimi ni mkopaji mzuri sana , nilikuwa na mkopo kupitia salary nilikopa 2019 NMB, nimekuwa na mkopo wa biashara nimekopa CRDB, kwa sasa nimemaliza deni nadaiwa na bodi tu ya mikopo, nina uhitaji tena wa pesa kama milioni mia moja tu.
Nipeni...
Winga huyo wa Manchester United alifunguliwa mashtaka na Wanawake watatu ya unyanyasaji na kuwashambulia, hiyo wamebaki wawili katika mchakato huo.
Antony (23) kwa sasa yupo nje ya majukumu ya klabu yake kwa ajili ya kushughulikia mashtaka hayo yakiwemo dhidi ya aliyekuwa mpenzi wake, Gabriela...
Shindano liwe la wazi na lifanyike kwenye uwanja wa wazi, kina Mwamposa, Kuhani Musa, na walokole wengine konki, wakashindane na wachawi konki kama Mshana Jr, Bujibuji Simba Nyamaume na wengine.
Wachawi wamvimbishe tumbo FaizaFoxy au wamkate kichwa Lucas mwashambwa , au wampige busha THE BIG...
Ripoti ya Mtandao wa Suluhu za Maendeleo Endelevu (SDGs) ya Umoja wa Mataifa (UN), imetaja masuala 6 ambayo huchangia katika Kuongeza au Kupoteza Furaha za Watu katika Nchi
Aidha, kwa mujibu wa #WorldHappiness2023, Nchi za Afghanistan, Lebanon, Zimbabwe, #Rwanda, Botswana, Lesotho, Sierra...
Hàbari za Jumapili wapendwa.
Nimetafakari sana juu ya mechi ya jana kati ya Utopolo vs Refugees na kugundua mechi ile haikuwa na hadhi ya kuitwa CL Africa bali ni Kagame Cup kwa kuwa wale jamaa walikuwa wakicheza huku wakiwaza this time tomorrow.Ama kwa Hakika tuliombee Taifa lao amani irejee...
Ingawa yote ni magari ya kazi, nahisi kuna linalomudu zaidi mazingira ya "kipori pori" kuzidi "jenzake".
Muda mrefu litakuwa likitumika Kanda ya Ziwa na mara chache Nyanda za Juu Kusini, hasa Rukwa na Katavi.
SIFA ZA GARI LINALOHITAJIKA:
1. Double Cabin Pick Up
2. Limudu safari ndefu za mara...
Wakati tukiwa tunasubiri kuwaona Max na Pacome wakifanya vitu vyao pale mjini Chigali, tujifunze kitu kuhusu tofauti ya ngumi za mtaani kati ya Arusha, Dar na Mwanza.
Nitajikita zaidi kwenye behaviour ya mashuhuda wa ngumi. Hii itakusaidia wewe kijana mpambanaji unae safiri katika mikoa...
Habari zenu wakuu,
Nahitaji msaada wa maelezo wa uwanda wa ajira kati ya kozi Bsc in Environmental health science na Bsc in Environmental Science and managememt.
Je ipi ni bora?
Acacia, kampuni ya uchimbaji madini iliyokuwa na shughuli zake nchini Tanzania kabla ya kuingia kwenye mgogoro mkubwa na Serikali, inadaiwa kutumia takriban Shilingi bilioni tatu (Dola za Kimarekani milioni 1.2) kwa mwaka kulipa maafisa waandamizi wa Serikali kati ya 2008 na 2015, uamuzi ambao...
Battle hili hapa la walio kuwa kundi moja na baadae kuvunjika na kuunda Tmk wanaume family na Tmk wanaume halisi.
Makundi yote haya mawili yali bahatika kutoa mikwaju mikali way back naweka battle kati ya mikwaju yao maarufu miwili.
Tatu bila ya Tmk wanaume halisi
VS
Dar mpaka...
Wanangu wa Hip hop naweka mtanange hapa, kati ya hizi collabo mbili zilizo umiza kipindi hicho. ipi ni collabo kali ?
Ukisikia paah ya JCB original + Remix
VS
Mchizi wangu ya Nako2Nako original + Remix
Nataka kuona collabo itakayo ibuka kidedea hapa
Mtoto wa Rais Faustin-Archange Touadera wa Jamhuri ya Afrika ya Kati, Evariste Touadera amezusha gumzo kubwa baada ya video inayomuonesha akiwazaba makofi wazungu kusambaa kwa kasi kwenye mitandao ya kijamii.
Inaelezwa kwamba tukio hilo limetokea katika Mji wa Kislovodsk, Kusini mwa Urusi...
Evariste Touadera, mtoto wa Rais wa Afrika ya Kati Faustin-Archangel Touadera, ameonekana kwenye video (hapo chini) akiwashambulia maafisa wa Urusi katika kituo cha kurekebisha tabia huko Kislodovsk, Moscow.
https://dai.ly/x8o0qen
Evariste alilazwa hivi majuzi katika kituo cha kurekebisha...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.