kati

Kati is an urban commune and the largest town in Mali's Koulikoro Region. The town is situated 15 km northwest of Bamako, Mali's capital, on the Dakar-Niger Railway. In the 2009 census, the commune had a population of 114,983.

View More On Wikipedia.org
  1. Hismastersvoice

    JamiiForums Tanzania Joto ya jiwe ATM haijatema, Dar es Salaam joto lipo kati ya 33°c na 34°c

    Kiwango cha joto mchana wa leo jijini Dar es Salaam kimefika kati ya 33°c na 34°c, hiki ni kiwango cha juu sana kwa jiji hili, chukua tahadhari usinywe bia mchana huu kuepuka kupoteza maji mwilini.
  2. Boss la DP World

    JamiiForums Tanzania Serikali ingilieni kati, Wanaume tunaonewa, familia zinatutegemea

    Hii haikubaliki kabisa, kwa mtindo huu mbona tutapoteza pesa nyingi kusiko julikana, serikali mje mtuokoe huu ni utapeli wa kimahaba. Anyways: Anayejua hii saloon ilipo aseme nasisi tukaone kama ni kweli.
  3. Mto Songwe

    JamiiForums Tanzania Kati ya 100 kilos ya Ferre Gola VS Associe ya Fally Ipupa ipi ilikuwa na bado ni ngoma kali

    Kuna hizi ngoma kali mbili za hawa miamba kutoka Congo Associe ya Fally Ipupa na 100 kilos ya Ferre Gola. Mbivu na mbichi itajulikana. Ni ngoma ya mkali gani imenyooka vizuri upande wako kati ya Associé - Fall Ipupa [Intro] Assoc, associé L'empereur Tchatcho Mbala Kashogi Ba diamants ebele...
  4. Kilimbatz

    JamiiForums Tanzania Natamani sana kuiona nusu fainali ya AFL kati ya Al Ahyl vs Mamelodi Sundowns

    Wakuu japo nimetanguliza uzalendo mbele kwa taifa na nchi yangu, Ila upenzi wa kandanda safi na la burudani, unanifanya nitamani mnyama ashinde njaa Misri Nakumbuka kama isingekuwa makosa ya beki M.Mvala wa Mamelodi Sundowns kuisawazishia Wydad kwa goli la kujifunga mnamo dakika ya 83 basi...
  5. Russia is not your enemy

    JamiiForums Tanzania Serikali iingilie kati Mgogoro wa CWT dhidi ya Wanachama wake

    Ukimya sio Jibu, Serikali iingilie kati Mgogoro wa CWT dhidi ya Wanachama. Ni miaka zaidi 20 Serikali na wanachama hawajatulia na CWT wanatoa majibu mepesi. Nakumbuka CWT ilijinasibu kuwatekelezea walimu mahitaji yao ikaahidi mambo mengi sana kama benk yao, majimbo yao, nk. Katika vikao...
  6. Mto Songwe

    JamiiForums Tanzania Ni rahisi kuwaambia waafrika kuwa kuna nchi pale mashariki ya kati imebarikiwa na wakakubali ila huwezi waambia wachina hivyo wakakuelewa

    Ni jambo rahisi sana kuwaambia na kuwaaminisha waafrika kuwa kuna nchi pale mashariki ya kati imebarikiwa na jamaa anaye itwa Mungu wakakuelewa na kukubaliana nawe na wakaipenda na kuijali kuliko nchi zao. Ila ni jambo gumu kupita maelezo kuwa ambia na kuwaaminisha wachina upuuzi huu kuwa kuna...
  7. Webabu

    JamiiForums Tanzania Vikosi vya Israel vyapata kiwewe kuingia Gaza huku vikosi vya Marekani Mashariki ya Kati vikianza kushambuliwa

    Matangazo mengi kuhusu wanamgambo wa Hamas kinyume na uwezo wao inaonekana kumelitia hofu kubwa jeshi la Israel ambalo linaundwa zaidi na vijana wadogo. Hayo yameonekana katika kurudiwa kwa ahadi na kuwatia moyo askari hao wakatishe mpaka kuingia Gaza. Waziri wa ulinzi wa Israel Yoav Gallant...
  8. EJM_

    JamiiForums Tanzania Kizazi cha sasa cha Rhumba nani mkali kati ya Fally Ipupa na Ferre Gola?

    Kwenye muziki wa kisasa wa Rhumba hasa kutoka DRC Kuna wanamuziki wawili wanaoshindana kwa ukaribu sana. Je nani kati Yao ni mkali kwa mtazamo wako kati ya Fally Ipupa na Ferre Gola? Hapa nitataja baadhi ya nyimbo zao ambazo ukiweza kuzisikiliza zinaweza kukupa mwanga wa kuamua kwenye hili...
  9. Msanii

    JamiiForums Tanzania Kutoka uchumi wa kati hadi kupapasa gizani tumepiga hatua

    Kabla Shujaa Mwendazake hajatuaga, tuliambiwa nchi imepaa na sasa tupo uchumi wa kati. Baada ya ziara zenye tija za Mama, ambazo hakika zimefungua nchi na uchumi kupaa sana tumefkia hapa leo nchi kuwa gizani Nyerere alitufundisha na kutuasa kuwakataa hawa wapuuzi wanaolizamisha Taifa bila...
  10. Z

    JamiiForums Tanzania Uadui Kati ya Myahudi na mpalestina / mwarabu ulitengezwa na Mungu mwenyewe hivyo atamaliza mwenyewe kwa sababu hatukumjua Mungu kupitia Yesu kristo

    Mungu aliamua kuwapa wayahudi nchi ya Kanani ufalme wenye nchi zaidi ya Tano baada ya kuwa wenyeji wa nchi Ile walikuwa wakiabudu mizimu. Pale ilitengenezwa uadui mkubwa na hasa kosa la Wana Israel waliambiwa na Mungu kuwa wawafutie mbali Yale makabila yenye kuabudu miungu mingine . Mungu...
  11. Z

    JamiiForums Tanzania Tunahitaji kumwelewa Mungu kwa undani zaidi, makosa ya binadamu ndiyo yalileta uadui kati ya Israel na Palestina

    Makosa ya binadamu ndiyo yalileta uadui Kati ya Israel na palestina.Makosa haya ya babu zetu hatuitaji kuyashikilia nabkusababisha uadui usiyokuwa wa maana . Ibrahim aliaahidiwa na Mungu kuwa angempa nchi ya kanaani na kuwa urithi wake .Kanani ilikuwa ni nchi( au ulfame) kubwa yenye mikoa...
  12. The Father of All

    JamiiForums Tanzania Ikiwa hawa watakuwa Wagombea Urais wa Tanzania utamchagua nani?

    Katika kuwaza kwangu, nilijiwa na wazo la kuwapambanisha wapendwa wafuatao ambao kimsingi ni viongozi wetu mashuhuri na wastahika. Nashauri chama cha maulaji kiwapambanishe wafuatao kwenye kinyang'anyiro cha Urais kwa sababu kubwa kuu; mbali na kuwa vijana, wasomi, viongozi wenye sifa zote...
  13. PromiseLand

    JamiiForums Tanzania Tofauti kati ya mwanaume na mwanamke

    Zipo tofauti nyingi kati ya MWANAUME na MWANAMKE zinazosababisha migongano mingi kwa wahusika kwa kutokujua, laiti kama wangezijua tungepunguza migongano na migogoro isiyo ya lazima. 1) MWANAUME aliumbwa kutokana na udongo lakini MWANAMKE hakuumbwa kutokana na udongo yeye alitolewa kwenye ubavu...
  14. Issuna

    JamiiForums Tanzania Nichagulieni MKE kati ya hawa wawili, Nawaomba sana...

    Mapenzi ni baina ya watu wawili mpenda na mpendwa, lakini ukiona mmoja wao haelewi afanye nini ujue kuna tatizo mahali. Ndugu zangu nipo age ya 30+ (mwanaume) natamani kuoa at anytime ila katka pita zangu nilikuwa katika distance relationship na Mpenzi A (mama mtoto wangu) Kutokana na umbali...
  15. The Father of All

    JamiiForums Tanzania Kwanini Urusi, China na India wameamua kuwa watazamaji mgogoro wa mashariki ya kati?

    Japo kinachoendelea kinaweza kuonekana kama tatizo la mashariki ya kati, ni tatizo la dunia. Kwanini Ukraine imegeuzwa na nchi za magharibi tatizo la dunia lakini si mashariki ya kati? Je, ni kwanini mataifa yanayoonekana kuwa na nguvu yameamua kukaa pembeni? Je yanangoja marekani ishindwe...
  16. DodomaTZ

    JamiiForums Tanzania Serikali imeruhusu Uhamisho wa Watumishi lakini kuna Hamashauri zinakwamisha, Waziri anayehusika aingilie kati

    Kuna baadhi ya Halmashauri zinakwamisha juhudi za Serikali kwa makusudi ili ionekane Serikali haifanyi kazi. Povu langu ni kuhusu mfumo wa uhamisho Serikalini, kubadilishana kwa Watumishi kumeruhusiwa tangu Septemba lakini mpaka leo Halmashauri haijatoa tamko na waliojisajili mamekosa approval...
  17. The Father of All

    JamiiForums Tanzania Afrika iwafundishe Mashariki ya Kati utu, waachane na miungu yao ya uharibifu

    Kwa hali inavyoendelea huko Mashariki ya Kati hata Ukraine, kuna kitu kinakosekana. Nadhani wenzetu kuanzia Wazungu, Waarabu na Wahindi wana kasoro moja. Hawana utu bali ubaguzi, ubinafsi, ufahari, na ukatili. Rejea mfano, Wazungu walivyotutawala, kutuibia, na kutupeleka utuwani au...
  18. Kilimbatz

    JamiiForums Tanzania Majibu ya nani mwenye mashabiki wengi kati ya Simba na Yanga

    Kuna member ameuliza swali la nani kati ya Simba na Yanga ana mashabiki wengi. Uchunguzi wangu ulijikita katika takwimu za mitandaoni (online) ambazo ni rahisi kuzipata. Next time nitajitahidi kuleta takwimu za mitaani kupitia sensa ya mtu kwa mtu. Baada ya kuzurura katika mitandao ya X, Insta...
  19. Agiza Express

    JamiiForums Tanzania Kero ya mabasi ya mwendokasi, Serikali iingilie kati

    Kama ni mtumiaji wa mabasi ya mwendokasi utanielewa hiki nachotaka kusema, imekuwa ni kero ya muda mrefu na sasa imezidi maradufu kwa sisi watumiaji wa mabasi yaendayo kasi na bahati mbaya hatuna pa kusemea. Kujazwa kwenye mabasi, kukalishwa muda mrefu kwenye foleni ya kusubiri mabasi, kukata...
  20. Hance Mtanashati

    JamiiForums Tanzania Nani mkali kati ya Shaggy na Sean Paul

    Shaggy na Sean Paul hawa wote ni wana muziki kutokea Jamaica ambao wanaimba dancehall . Shaggy huwa anachanganya dancehall muda mwingine anaimba reggae kwa upande wa Sean yeye huwa anachanganya dancehall muda mwingine anaimba Pop . Bila ubishi wowote hawa jamaa wana nyimbo nyingi zisizochuja...
Back
Top Bottom