Mkurugenzi Mkuu NHIF ni kati ya wanaomponza Ummy Mwalimu

Lyambalyetu

JF-Expert Member
Apr 6, 2021
265
240
Huyu jamaa ni mkiburi kishenzi - yaani anaonesha ukatili wa wazi wazi kwa sababu kazi ake imekuwa ni kuiteka Bodi yake na kujikomba kwa Mawaziri mpaka Makatibu wakuu.

Huyu analazimisha ili watoto wa shule fulani waweze kupata bima ya matibabu eti mpaka idadi yao ifike 50 na kuendelea.

Huyu hajui kwamba kuna shule zina watoto 20 tu. Amezuia hata wale watoto ambao tayari walikuwa na bima wasirenew bima zao ati kwa kuwa shule aliyoenda mtoto husika hawajasajili zaidi ya watoto 50.

Huyu mtu amelewa madaraka na ni mkiburi sana. Ukiwa naye hata katika vikao wanapokuwepo viongozi basi hata namna ya ukaaji wake hamna hata unyenyekevu - yaani anajiweka kama Mungu Mtu, Ningemshauri kwa umri wake ule awe humble, ajiweke katika nafasi ya jamii ya hali ya chini. Sivyo huyu mtu hana utu - na hafai kabisa kuongoza taasisi kama ile inayopaswa kutanguliza huruma mbele.

NHIF ni watoa huduma, si michango tu ya wanachama bali hata kodi za WaTanzania inatumika kufikisha huduma hizo kwetu.

Huyu mtu asipojirekebisha anaumiza wengi na ndiyo chanzo cha kufanya Ummy alalamikiwe.
 
Ana mamlaka ya maamuzi, tofautisha kiburi na mamlaka yake, akiwachekea nyie mtakula mpaka mbegu, kazia hapo hapo ndugu Mkurugenzi
Sikumaanisha mamlaka ya kimaamuzi ila ni "MKIBURI" - ukioongea naye anaongea kwa nyodo na kiburi sana - mwenye mamlaka ya kimaamuzi houngea kwa staha na kujenga hoja maridadi za kushawishi. Huyu hamna kitu ndiyo maana anamponza Waziri wake. Kisa tu wanalipia baadhi ya gharama za kazi za viongozi wa wizara!
 
Ulitaka arembue na yeye ni wa kiume, pia, hii nchi ina watu milioni sitini, kila mtu ana muono wake kuhusu mtu mwingine, wewe utaona nyodo, mwingine ataona ni mtu anaongea kwa tahadhari kama kiongozi, wewe utaona kiburi, mwingine ataona msimamo wake, cha msingi anachapa kazi
 
Huyu jamaa ni mkiburi kishenzi - yaani anaonesha ukatili wa wazi wazi kwa sababu kazi ake imekuwa ni kuiteka Bodi yake na kujikomba kwa Mawaziri mpaka Makatibu wakuu.

Huyu analazimisha ili watoto wa shule fulani waweze kupata bima ya matibabu eti mpaka idadi yao ifike 50 na kuendelea.

Huyu hajui kwamba kuna shule zina watoto 20 tu. Amezuia hata wale watoto ambao tayari walikuwa na bima wasirenew bima zao ati kwa kuwa shule aliyoenda mtoto husika hawajasajili zaidi ya watoto 50.

Huyu mtu amelewa madaraka na ni mkiburi sana. Ukiwa naye hata katika vikao wanapokuwepo viongozi basi hata namna ya ukaaji wake hamna hata unyenyekevu - yaani anajiweka kama Mungu Mtu, Ningemshauri kwa umri wake ule awe humble, ajiweke katika nafasi ya jamii ya hali ya chini. Sivyo huyu mtu hana utu - na hafai kabisa kuongoza taasisi kama ile inayopaswa kutanguliza huruma mbele.

NHIF ni watoa huduma, si michango tu ya wanachama bali hata kodi za WaTanzania inatumika kufikisha huduma hizo kwetu.

Huyu mtu asipojirekebisha anaumiza wengi na ndiyo chanzo cha kufanya Ummy alalamikiwe.
Asulibishwe
 
Au ndiyo Konga mwenyewe wewe?
 
Huyu Konga ni mfigisu sana huyu. Alisababisha mama yangu akose matibabu kisa tu amepoteza kadi ati. Serikali mtazameni vizuri anawaponza watu wa Mungu!
 
Sikumaanisha mamlaka ya kimaamuzi ila ni "MKIBURI" - ukioongea naye anaongea kwa nyodo na kiburi sana - mwenye mamlaka ya kimaamuzi houngea kwa staha na kujenga hoja maridadi za kushawishi. Huyu hamna kitu ndiyo maana anamponza Waziri wake. Kisa tu wanalipia baadhi ya gharama za kazi za viongozi wa wizara!
Ukiona mbuzi juu ya mti ujue kapandishwa
 
Ulitaka arembue na yeye ni wa kiume, pia, hii nchi ina watu milioni sitini, kila mtu ana muono wake kuhusu mtu mwingine, wewe utaona nyodo, mwingine ataona ni mtu anaongea kwa tahadhari kama kiongozi, wewe utaona kiburi, mwingine ataona msimamo wake, cha msingi anachapa kazi
Mhhhh inawezekana we ni mnufaika wake - Direcor wa Finance nini?
 
Huyu jamaa ni mkiburi kishenzi - yaani anaonesha ukatili wa wazi wazi kwa sababu kazi ake imekuwa ni kuiteka Bodi yake na kujikomba kwa Mawaziri mpaka Makatibu wakuu.

Huyu analazimisha ili watoto wa shule fulani waweze kupata bima ya matibabu eti mpaka idadi yao ifike 50 na kuendelea.

Huyu hajui kwamba kuna shule zina watoto 20 tu. Amezuia hata wale watoto ambao tayari walikuwa na bima wasirenew bima zao ati kwa kuwa shule aliyoenda mtoto husika hawajasajili zaidi ya watoto 50.

Huyu mtu amelewa madaraka na ni mkiburi sana. Ukiwa naye hata katika vikao wanapokuwepo viongozi basi hata namna ya ukaaji wake hamna hata unyenyekevu - yaani anajiweka kama Mungu Mtu, Ningemshauri kwa umri wake ule awe humble, ajiweke katika nafasi ya jamii ya hali ya chini. Sivyo huyu mtu hana utu - na hafai kabisa kuongoza taasisi kama ile inayopaswa kutanguliza huruma mbele.

NHIF ni watoa huduma, si michango tu ya wanachama bali hata kodi za WaTanzania inatumika kufikisha huduma hizo kwetu.

Huyu mtu asipojirekebisha anaumiza wengi na ndiyo chanzo cha kufanya Ummy alalamikiwe.
Hawa ndo wateule wa raisi hata mfanye nini wanalindwa na mkuu mwenyewe.watz tutakufa sana mpaka tutakapojielewa na kufanya maamuzi magumu
 
Huyu jamaa ni mkiburi kishenzi - yaani anaonesha ukatili wa wazi wazi kwa sababu kazi ake imekuwa ni kuiteka Bodi yake na kujikomba kwa Mawaziri mpaka Makatibu wakuu.

Huyu analazimisha ili watoto wa shule fulani waweze kupata bima ya matibabu eti mpaka idadi yao ifike 50 na kuendelea.

Huyu hajui kwamba kuna shule zina watoto 20 tu. Amezuia hata wale watoto ambao tayari walikuwa na bima wasirenew bima zao ati kwa kuwa shule aliyoenda mtoto husika hawajasajili zaidi ya watoto 50.

Huyu mtu amelewa madaraka na ni mkiburi sana. Ukiwa naye hata katika vikao wanapokuwepo viongozi basi hata namna ya ukaaji wake hamna hata unyenyekevu - yaani anajiweka kama Mungu Mtu, Ningemshauri kwa umri wake ule awe humble, ajiweke katika nafasi ya jamii ya hali ya chini. Sivyo huyu mtu hana utu - na hafai kabisa kuongoza taasisi kama ile inayopaswa kutanguliza huruma mbele.

NHIF ni watoa huduma, si michango tu ya wanachama bali hata kodi za WaTanzania inatumika kufikisha huduma hizo kwetu.

Huyu mtu asipojirekebisha anaumiza wengi na ndiyo chanzo cha kufanya Ummy alalamikiwe.
Tatizo lako unamshambulia mtu anayewakilisha Taasisi ambayo inaendehswa kwa mujibu wa Sheria na Kanuni za NCHI. watanzania mmeshazoea ukiritimba kiasi kwamba akijitokeza mtu aliyenyoka kama KONGA mnashindwa kwenda na kasi yake
 
Huyu jamaa ni mkiburi kishenzi - yaani anaonesha ukatili wa wazi wazi kwa sababu kazi ake imekuwa ni kuiteka Bodi yake na kujikomba kwa Mawaziri mpaka Makatibu wakuu.

Huyu analazimisha ili watoto wa shule fulani waweze kupata bima ya matibabu eti mpaka idadi yao ifike 50 na kuendelea.

Huyu hajui kwamba kuna shule zina watoto 20 tu. Amezuia hata wale watoto ambao tayari walikuwa na bima wasirenew bima zao ati kwa kuwa shule aliyoenda mtoto husika hawajasajili zaidi ya watoto 50.

Huyu mtu amelewa madaraka na ni mkiburi sana. Ukiwa naye hata katika vikao wanapokuwepo viongozi basi hata namna ya ukaaji wake hamna hata unyenyekevu - yaani anajiweka kama Mungu Mtu, Ningemshauri kwa umri wake ule awe humble, ajiweke katika nafasi ya jamii ya hali ya chini. Sivyo huyu mtu hana utu - na hafai kabisa kuongoza taasisi kama ile inayopaswa kutanguliza huruma mbele.

NHIF ni watoa huduma, si michango tu ya wanachama bali hata kodi za WaTanzania inatumika kufikisha huduma hizo kwetu.

Huyu mtu asipojirekebisha anaumiza wengi na ndiyo chanzo cha kufanya Ummy alalamikiwe.
Tatizo ni kuwa unamshambulia mtu badala ya kuwasilisha hoja, kumbuka NHIF ni taasisi inaongozwa na kusimamiwa na sheria.
Kama una hoja wasilisha hoja na sio mawazo binafsi.
 
Huyu jamaa ni mkiburi kishenzi - yaani anaonesha ukatili wa wazi wazi kwa sababu kazi ake imekuwa ni kuiteka Bodi yake na kujikomba kwa Mawaziri mpaka Makatibu wakuu.

Huyu analazimisha ili watoto wa shule fulani waweze kupata bima ya matibabu eti mpaka idadi yao ifike 50 na kuendelea.

Huyu hajui kwamba kuna shule zina watoto 20 tu. Amezuia hata wale watoto ambao tayari walikuwa na bima wasirenew bima zao ati kwa kuwa shule aliyoenda mtoto husika hawajasajili zaidi ya watoto 50.

Huyu mtu amelewa madaraka na ni mkiburi sana. Ukiwa naye hata katika vikao wanapokuwepo viongozi basi hata namna ya ukaaji wake hamna hata unyenyekevu - yaani anajiweka kama Mungu Mtu, Ningemshauri kwa umri wake ule awe humble, ajiweke katika nafasi ya jamii ya hali ya chini. Sivyo huyu mtu hana utu - na hafai kabisa kuongoza taasisi kama ile inayopaswa kutanguliza huruma mbele.

NHIF ni watoa huduma, si michango tu ya wanachama bali hata kodi za WaTanzania inatumika kufikisha huduma hizo kwetu.

Huyu mtu asipojirekebisha anaumiza wengi na ndiyo chanzo cha kufanya Ummy alalamikiwe.
Acha chuki binafdi Konga Hawaii kujiamulia hiyo ni Taasisi inafanya kazi kwa sheria, taratibu na miongozo. Kumuongelea yeye ni kumuonea acha chuki
 
Back
Top Bottom