Kati ya Benki 10 Kubwa Afrika Mashariki, Benki 8 Zinatoka Kenya

The Evil Genius

JF-Expert Member
Mar 21, 2014
5,464
17,296
Wakuu habari za Jumatatu.

Kuna jambo kidogo limenivutia kidogo kunitazama kwa umakini zaidi, wazungu husema lime 'attract my attention'.

Jambo lenyewe ni kwamba, imetolewa orodha ya benki kubwa 10 Afrika Mashariki. Katika orodha hiyo benki 8 kati ya 10 zinatoka Kenya.

Kwa mfano, mtaji wa Benki ya Equity ya Kenya, ni mkubwa zaidi ya mtaji wa Crdb na NMB za Tanzania kwa pamoja. Mtaji wa Equity bank ya Kenya ni Dola Bilioni 11 huku crdb na nmb kwa pamoja ni dola bilioni 9.6

Cha kushangaza zaidi, hat bank za kimataifa ambazo zina matawi Tanzania zina hali mbaya kuliko dada zao wa Kenya, mfano Stanbic bank na Standard chartered bank. Nenda hata bank za I&M, Absa, DTB nk.

Kwa Kenya tofauti ya masikini na tajiri ni kubwa sana kuliko Tanzania, Tanzania ina idadi kubwa ya watu kuliko Kenya. Je ni uwezo wa watu wa kenya kiuchumi kua mkubwa(purchasing power) kuliko Tanzania ama ni nini?

Kwa mtazamo wako, nini sababu ya benki za kenya kufanya vizuri zaidi kuliko benki za Tanzania?

View: https://twitter.com/TanzaniaInsight/status/1736743682970099839?s=19
 
Wakwetu wako bize na Magawio hewa ya kisiasa.

Hii ndio Maana halisi ya Ujasusi wa Kidola na Kiuchumi.

Hongera Majirani zetu Kenya.
 
Bank itakuwa na fedha kutegemeana na biashara yake na wateja wake! Sioni sense yoyote kwa hili, kwa sababu, bank itakopozidiwa na wateja ndivyo jinsi inavyofikiria kuongeza mtaji na kujitanua!
Ikumbukwe "wateja wakubwa na wazuri wa mabenki ni viwanda" serekali yetu iongeze kasi kwenye kuleta viwanda vingi zaidi nchini.
 
Mind u Mpesa kenya ni kubwa sanaaaaa kuliko ilivyo bongo hapa,

Halafu huwez weka 20M kwenye simu, unless ni pesa za michango ha harusi,

All in all, kiuchumi kenya wametupiga gap, ni jukumu letu kuwakimbiza
Kuna nyuzi ipo inapambanishw Dar na Nairobi, humo kuna mijadala kati ya Tz na Kenya kiuchumi, wabongo mishipa inatutoka kwa ubishi, Mkenya ametupiga gap na kumfikia tunahitaji kaz ya ziada licha ya sisi kuwa na kila kitu kuliko wao.
 
Back
Top Bottom