Hapa nani boya?

MalcolM XII

JF-Expert Member
Mar 19, 2019
5,251
14,233
Nikiwa kwenye daladala nyuma kabisa, pembeni yangu kuna mkaka akifuatiwa na mdada.

Actually mimi ndio niliowakuta, na katika kucheki mazingira kwa haraka haraka inaonekana kama kulikua na mazungumzo kabla.

Anyways, punde jamaa akatoa noti ya elfu 10 mfukoni kisha akaiandika namba ya simu juu yake na kumpatia yule mdada.

Kituo kilichofuata yule mdada ikasimama na kuelekea mlangoni kwa konda.. Si akatoa ile elfu 10! Konda akawa analalamika kwanini hajatoa pesa ya chenji mapema!

Namuangalia jamaa naona kabaki anashangaa tu!

Sasa hapa boya ni nani wakuu?

(NB: Picha haihusiani na tukio)
20231230_142616.png
 
View attachment 2857387
Kmmk 🤣🤣🤣🤣
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom