karibuni

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Wanaume tunaokwenda kujitambulisha ukweni hivi karibuni njooni tupeane mbinu za kurahisisha jambo

    Binafsi mwezi ujao naelekea Tanga maeneo ya Muheza kujitambulisha. Nimejipanga kwa haya yafuatayo. 1. Sitolala ukweni. 2. Ikitokea kula ukweni ntakula mlo mmoja tu. 3. Ntavaa simple sana( shati yangu ya mikono mirefu, suruali na balaghashehe kichwani) na kiatu changu cheusi 4. Nitaongea kwa...
  2. N

    JamiiForums Tanzania Wawekezaji karibuni shamba la miti ya mbao liko sokoni

    Kwa wale waliotayari kuwekeza kwenye uwekezaji usio na hasara mnakaribishwa sana Mashamba ya miti ya mbao aina ya MIKARIBEA pamoja na ardhi yake yanauzwa La kwanza lina ukubwa wa ekari tatu na nusu na miti yake ni umri wa miaka 7 bei ni milioni 10. La pili lina ukubwa wa ekari 30 ivi kwa...
  3. JamiiForums Tanzania Chimbo jipya la Madini laibuka Songea, Mnakaribishwa.

    RUVUMA. Huko wilayani namtumbo kuna Kijiji wananchi wamegundua madini, hali ilivyo ninkila mtu anajaribu bahati yake hali iliyopelekea kwa gafla maisha kubadirika. Usafiri kwenda eneo hilo umekuwa mgumu na wa garama, ukisema uchukue bodaboda wanachaji nauli kubwa. Kwa sasa magari hayawezi...
  4. JamiiForums Tanzania Mitandao ya Internet Imekuwa Mibovu siku za karibuni, vipi kwako?

    Mitando imekuwa na huduma mbovu ya Network sana, Mfano Vodacome now day inasumbua mnoo, kutuma sms, internet kuna mtu haifanyi kazi, Je, Ni kuwa imeelemewa sana wateja wameongezeka ikiwa hawajaongeza jitihada ya kuwamudu. Au tatizo liko wapi! Na tigo ndo kabisaaaa Hawatoi tamko lolote lile...
  5. JamiiForums Tanzania Katika Michezo 5 ya hivi Karibuni Mashujaa wana Form nzuri kuliko Simba na Msimamo unaonekana

    Hiii sio Bahati Mbaya. Diamond Platnum aliwahi Imba Nyimbo Moja inaitwa. Mdogomdogo.
  6. JamiiForums Tanzania Karibuni kwa ushauri

    Kipindi linatokea hilo tukio mimi nilikuwa ni mgeni kwenye hiyo mitaa kuna biashara yangu niliihamishia huo mtaa. Nyumba niliyokodi frem nilikuta yeye akiwa tayari anabiashara hapo, nilihamia hapo kipindi akiwa na mgogoro na mmewe, kwa maana hiyo mume sikuwahi kukutana nae wala kumfaham...
  7. JamiiForums Tanzania Karibuni Mbeya

  8. N

    JamiiForums Tanzania Enhe, na vipi kuhusu hii 'kufinyia kwa ndani'; iko toka zamani au imeanzishwa hivi karibuni katika kuhakikisha 'na ya kutolea' inatumwa?!!!

    Naomba nijue hili maana sasa ndo imekuwa habari ya mijini. Karibuni.....
  9. JamiiForums Tanzania Kwanini kodi ya gari la miaka ya karibuni iko juu sana

    Yaani ukiagiza Japan gari la Miaka ya 1990's ushuru wa TRA upo chini. Ila ukijiroga uagize gari la miaka ya 2010's utafurahi na roho yako jinsi ushuru wa TRA ulivyo juu. Unakaa unajiuliza hivi hii nchi kuna mtu ana roho ya korosho hataki watanzania waendeshe magari mazuri? Nani anafanya hivi...
  10. JamiiForums Tanzania Putin to Visit Turkey in First Trip to NATO Country Since War

    Subscribe Politics Putin to Visit Turkey in First Trip to NATO Country Since War Russia has forged ties with Turkey as relations with EU soured Talks with Erdogan expected to focus on energy, war in Ukraine Vladimir Putin Photographer: Gavriil Grigorov/AFP/Getty Images By Selcan...
  11. R

    JamiiForums Tanzania Makonda na Nchimbi wapendekeza wakuu wa wilaya, mikoa, RAS na DED; utenguzi, uhamisho na utenguzi kufanyika hivi karibuni

    Kila kiongozi anayeingia ofisini kwenye chama jambo la kwanza ni kupendekeza kutengua na kuteua. Tayari wawili hawa wamewasilisha majina ya watu wanaotamani wapewe nafasi waonje keki ya Taifa. Kufuatia utamaduni huu wa kila mtu kumpa shavu rafiki yake, nawajulisha wakuu wa mikoa, wilaya...
  12. JamiiForums Tanzania Luhaga Mpina: Wananchi kuporwa mali zao na kuuawa imekuwa kawaida siku za karibuni

    "Wananchi kuuawa na kuporwa mali zao katika siku za karibuni imekuwa ni jambo la kawaida, wananchi kuuawa na kuporwa mali zao kwa visingizio vya kusimamia sheria za uhifadhi, mfano katika maeneo irani na hifadhi kunaripotiwa taarifa za wafugaji kuuawa, wanawake kuuawa wakiwa wanakusanya kuni...
  13. JamiiForums Tanzania Rais Samia Aapisha Viongozi Aliowateua Hivi Karibuni

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akimuapisha Ndugu Maryam Ahmed Muhaji kuwa Katibu Tawala wa Mkoa wa Manyara, kwenye hafla iliyofanyika Ikulu Jijini Dar es Salaam tarehe 20 Desemba, 2023. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan...
  14. JamiiForums Tanzania Wakristo wengi watapata Frustration hivi karibuni kwa sababu ifuatayo...

    Wengi wameunganisha mioyo yao na Dini, madhehebu na viongozi wao badala ya Yesu waliompokea na Neno lake. Utachelewa usiponielewa utakapogundua Viongozi ni watu kuna wakati shetani atatumia vinywa vyao kusema lolote kama alivyomtumia Petro. Dini au madhehebu ni vitu vizuri ila kuna wakati...
  15. JamiiForums Tanzania Kama umemaliza shahada ya uzamili katika fani ya Uchumi (Master of Arts in Economics/ MAAE) hivi karibuni nitafute

    Kama umemaliza hiyo fani kwa miaka ya karibuni na hesabu zinapanda vizuri, tafadhali nicheki. 1. Uwe unaishi Dar 2. Uwe huna ajira ya kudumu au kama unaweza tenga muda japo saa mbili kwa siku kufanya kazi haina shida 3. Uwe unajua hesabu vizuri. Urgent. Tuwasiliane. +255 676 377 400 au...
  16. R

    JamiiForums Tanzania Vipo viashiria vya utakatishaji fedha, upo wizi; kuna kufeli kwa wizara lakini ipo hofu ya kusumbua wapiga kura. Tufanyeje nini tuwe salama kiuchumi?

    Hali ya uchumi kidogo siyo nzuri, miradi mikubwa imesimama na baadhi imeenda beyond time kwa sababu hakuna fedha. Speed ya ujenzi wa miundombinu mfano barabara imeshuka sana; mfano taarifa zinasema barabara ya kimara to kibaha mkandarasi ameondoka site na kuacha mawe barabarani huku maeneo...
  17. JamiiForums Tanzania Biblia ndio kitabu pekee chenye uwezo wa kukupa afya ya akili?

    Asilimia kubwa ya watu duniani ni wagonjwa kiakili kwa kujua au kutokujua. Bahati mbaya watu hawa ambao wengi ni Maprofessionals, Maprof, Wasanii, wachungaji feki (gospelpreneurs), Wanasiasa na wafanya maamuzi ya dunia ndio wanaoaminiwa sana na watu. Hii imepelekea mlipuko mkubwa wa janga la...
  18. JamiiForums Tanzania Ubalozi wa Marekani Iraq wapigwa kwa makombora 7. Matano mengine kwenye vikosi vyake Syria

    Mapema jana Ijumaa jumla ya Makombora saba yalirushwa na kufanikiwa kuingia ndani ya ubalozi wa Marekani nchini Iraq. Ubalozi huo daima huwa unalindwa na mifumo mbali mbali ya ulinzi ambayo imewekwa kwenye hali ya tahadhari, hata hivyo hikuwezekana kuyazuia makombora hayo kutua ndani ya ubalozi...
  19. JamiiForums Tanzania Tetesi: Simba kupata Captain mpya hivi karibuni

    Simba imeondoka leo kuelekea Morocco katika mtanange wa kufa na kupona dhidi ya Wydad AC. Katika safari hiyo, Captain wa Simba John Bocco ameachwa nyumbani. Hii ni safari ya pili mfululizo ambapo Bocco ameachwa katika safari wakati katika uwanja wa mazoezi anaonekana. Safari ya kwanza ilikuwa...
  20. JamiiForums Tanzania Taarifa za Kijasusi: Hamas bingwa wa mabingwa. Hivi karibuni kutatangazwa ushindi mkubwa kwa Wapalestina

    Sote tukae mkao wa kusubiri halwa ya sinia za harusini iliyopikwa ikapikika na Gidemi. Wengi wakazi wa jiji la Dar, wa zamani wenzangu, nikiitaja halwa ya Gidemi ya sinia wanaielewa utamu wake. Kwanza ilikuwa ikifika masinia yale wakati wa kugawanywa, kila mmoja anakodoa macho isije ikawahiwa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…