karibuni

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. R

    JamiiForums Tanzania Kwa wataalamu wa online banking CRDB karibuni tubadilishane mawazo

    Habari za majukumu kila mmoja, Niko nchini Israel kwa sasa ila Huwa nikipata pesa huku (shekhel) Huwa nakutumia kwa kadi yangu ya visa ya crdb ambayo ninayo huku. Tatizo ni kuwa Sina uwezo wa kujua kama pesa yangu ipo kwa account yangu kama nilivyotuma. Ndipo wazo la online banking likanijia...
  2. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania TRC: Kichwa cha Treni ya SGR kimefika Bandarini, Majaribio ya safari ya Dar - Moro yataanza hivi karibuni

    Mkurugenzi wa Kitengo cha Uhusiano wa Shirika la Reli Tanzania (TRC), Jamila Mbarouk amesema majaribio ya kuanza kuitumia njia ya Reli ya SGR kutoka Dar es Salaama kwenda Morogoro inatarajiwa kuanza hivi karibuni kwa kuwa kichwa cha treni kimeshafika kipo bandarini. Amesema “Kichwa cha Treni...
  3. DELETED ACCOUNT

    JamiiForums Tanzania Kwa nini hivi karibuni mechi za Simba na Yanga zinafanana?

    Kuna jambo ambalo nilianza kulinotice msimu uliopita. Nakumbuka kuna kipindi ambacho Simba akishinda 4, Yanga anashinda 4, Yanga wakifunga goli kama la Mudathir Yahya dhidi ya TP Mazembe, Simba wanakuja kufunga goli hilo hilo. Kwa wale waliobahatika kuangalia mechi za kwanza za Simba vs Power...
  4. Majok majok

    JamiiForums Tanzania Sina kumbukumbu nzuri ni mchezaji gani kwa miaka ya hivi karibuni amewai kufunga hat trick kwenye derby! Azizi Ki kathibitisha ubora wake!

    Sina iyo kumbukumbu labda mwenye nayo atujuze, hat trick kwenye derby sio jambo la kitoto eti ni mpaka uwe Bora aswaa na uwe fiti kwa 100%. Mchezaji aliyekamilika atapimwa kwenye mechi ngumu Kama hizi za Yanga na Azam, ama Yanga na Simba, maana ni mechi ambazo uwezi pewa nafasi na mpinzani...
  5. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Mbunge Aysharose Mattembe: Karibuni Wana-Singida Katika Mapokezi ya Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan Mkoa wa Singida

    Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Singida, Aysharose Mattembe anapenda kuwakaribisha Wananchi wote wa Mkoa wa Singida na Wilaya zake katika Mapokezi ya ziara ya kikazi ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan katika Mkoa wa Singida itakayoanza tarehe 15-17 Oktoba, 2023...
  6. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Kwa pamoja wana JamiiForums karibuni tujifunze Kiingereza kilichoenda Shule ya Kuzimu cha Mwalimu wetu dr namugari

    'Otherwise these is absolutely rubbish;' by PhD Holder and JamiiForums Great Thinker dr namugari Tafadhali Wordsmiths Wengine akina jiwe angavu na Division One Mimi GENTAMYCINE nataka Kukijua hiki Kiingereza Kibovu cha huyu Member hapa Jamvini JamiiForums je, naweza kupata tu Mawasiliano yake...
  7. Mwanadiplomasia Mahiri

    JamiiForums Tanzania Tutaje magarasa ya kigeni yaliyosajiliwa na Simba na Yanga kwa miaka ya karibuni

    Mada ndio ishaanza na mimi naanza na Hafidh Konkon. Acha kuzubaa, endelea na wewe…
  8. A

    JamiiForums Tanzania Israeli wanakufa njaa karibuni

    Israel wapo hatarini kufa na njaa nchi nyingi zimeogopa peleka meli sababu katangaza official yupo vitan. Wengine wanaogopa peleka meli sababu Insurance imepandisha bei na wengine wanaogopa Hamasi asizipige hizo meli. Unambiwa ma supermarket vitu hamna na kama vipo bei yake ni kubwa sana...
  9. Meja Jenerali Isamuhyo

    JamiiForums Tanzania Nini kimemkuta Haaland katika siku za karibuni?

    Mwamba msimu uliopita alifunga magoli mengi sana katika michuano yote mpaka tukambatiza jina la utani “JINI” Msimu huu imekuwa tofauti, Haaland ana struggle kiasi kikubwa sana. Huwezi amini katika mechi nne zilizopita za mashindano yote hajafunga hata goli moja. Au ndio kusema anamkosa KDB...
  10. Jidu La Mabambasi

    JamiiForums Tanzania Wanadiplomasia Wabobezi wameanza kupotea na ni adimu sana Tanzania miaka hii ya karibuni

    John Malecela Salim Ahmed Salim Mrisho Kikwete Balozi Mahiga Liberata Mulamula Balozi Asha Rose Migiro( kunradhi balozi) Prof Anna Tibaijuka( kunradhi Prof) Kuna wakati Tanzania tulikuwa na hazina kubwa ya wanadiplomasia waliokubuhu kutetea maslahi ya nchi na Afrika kwa ujumla. Kizazi...
  11. TUKANA UONE

    JamiiForums Tanzania Mimi na Joannah tunatarajia kufungua Kanisa hivi karibuni ili kukabiliana na hii hali ya Uchumi

    Bwana Yesu asifiwe watu Mungu. Mimi na mama mchungaji Joannah Katika majadiliano yetu ya kukabiliana na hali ya uchumi,tumeonelea tuanzishe Biashara ya Kanisa ili nasi tujipatie kipato kizuri kama wafanyavyo wapambanaji wengine. Haikuwa kazi rahisi kulifikiria hili suala ila namshuku Mungu...
  12. R

    JamiiForums Tanzania Hivi karibuni tutaanza kuona Mikutano ya CHADEMA ikivamiwa na mamluki pamoja na vijana wa CCM

    Maelekezo kutoka ngazi za juu soon yataanza kutekelezwa; tuliona Shinyanga ilivyotumika nguvu kubwa kuwakatisha tamaa wananchi lakini wakashindwa. Huwa mara nyingi upepo wa kisiasa ukionekana unawaendelea vyema CHADEMA kinachofuata ni vurugu na ghasia ambazo uandaliwa na viongozi wakuu wa...
  13. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Mchakato wa kumpata Mrithi wa Askofu Shoo kuanza hivi karibuni

    Safari ya kumsaka mrithi wa Mkuu wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT), Askofu Fredrick Shoo, inatarajia kuanza wakati wowote kuanzia sasa wakati kikao cha Halmashauri Kuu ya Kanisa hilo kikitarajiwa kukaa ili kupokea majina matatu ya maaskofu waliopendekezwa kugombea wadhifa huo wa...
  14. Mathanzua

    JamiiForums Tanzania Ukiona mwenzio ananyolewa na wewe tia maji. Mioto mikali inayoikumba Marekani, Ulaya na karibuni Haiti, inasababishwa na geoengineering

    MAMLAKA YA KUFICHUA UOVU Mathayo 10:926-28 26 Basi, msiwaogope, kwa maana hakuna neno lililositirika, ambalo halitafunuliwa; wala lililofichwa, ambalo halitajulikana. Mathayo 10:26 27 Niwaambialo ninyi katika giza, lisemeni katika nuru; na msikialo kwa siri, lihubirini juu ya nyumba. 28...
  15. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Mbunge Condester Sichalwe: Karibuni Mtembelee Banda Letu la Momba NaneNane Mbeya 2023

    MHE. CONDESTER SICHALWE - "KARIBUNI MTEMBELEE BANDA LETU LA MOMBA NANENANE MBEYA 2023" Mbunge wa Jimbo la Momba Mkoa wa Songwe, Mhe. Condester Mundy Michael Sichalwe ametembelea Banda la Momba Nanenane Mbeya na kuitumia fursa hiyo kuwaalika watu wote kuona fursa mbalimbali za Kilimo na Mifugo...
  16. J

    JamiiForums Tanzania Victoria Mwanziva: Karibuni banda la Wilaya ya Ludewa kwenye maonesho ya nane nane Mbeya katika viwanja vya Mwakangale

    NANE NANE MBEYA 2023 KARIBUNI BANDA LA WILAYA YA LUDEWA Maonyesho ya Kilimo - Nane Nane 2023 yafunguliwa leo tarehe 01.08.2023 katika viwanja vya John Mwakangale Jijini Mbeya ambapo mgeni rasmi wa sherehe hizo ni Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Philip Mpango...
  17. Pfizer

    JamiiForums Tanzania Karibuni kwenye banda la NEMC Maonesho ya Kimataifa Nanenane Mkoani Mbeya

    Karibuni kwenye banda la NEMC Maonesho ya Kimataifa Nanenane Mkoani Mbeya.
  18. ngoshwe

    JamiiForums Tanzania Serikali imefanikiwa kuzuia uamuzi wa kuzilipa kampuni za madini

    Kupitia mtandao wa ICSID kuna taarifa za kutia moyo kuwa Katibu Mkuu wa ICSID amesajili maombi ya kubatilishwa kwa tuzo yaliyowasilishwa na Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Kwa maombi hayo, ICSID imesitisha kwa muda utekelezaji wa tuzo iliyotolewa dhidi ya Tanzania kwenye kesi iliyofunguliwa...
  19. S

    JamiiForums Tanzania karibuni vijana wenye mawazo ya teknologia ambayo mnataka yafanyiwe kazi.

    kama kichwa cha uzi kinavyojieleza . nawakaribisha vijana wote wenye mawazo ya teknologia yabayoweza kua biashara au msaada kwa taifa ili yafanyiwe kazi.
  20. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Nini sababu ya Migogoro ya Ndoa/Wapenzi kuongezeka sana siku za hivi karibuni?

    Takwimu za Wizara ya Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalumu zinaonyesha migogoro 28,773 ya wanandoa imepokewa kati ya Julai, 2022 na Aprili mwaka huu. Kati ya migogoro hiyo, 22,844 ilisuluhishwa, huku 5,929 ikikosa usuluhishi licha ya kukatiwa rufaa ngazi ya Mahakama. Kutokana...
Back
Top Bottom