Roving Journalist
JF Roving Journalist
- Apr 18, 2017
- 2,814
- 11,991
Mkurugenzi wa Kitengo cha Uhusiano wa Shirika la Reli Tanzania (TRC), Jamila Mbarouk amesema majaribio ya kuanza kuitumia njia ya Reli ya SGR kutoka Dar es Salaama kwenda Morogoro inatarajiwa kuanza hivi karibuni kwa kuwa kichwa cha treni kimeshafika kipo bandarini.
Amesema “Kichwa cha Treni cha kutumia SGR kipo Bandarini kinatarajiwa kutoka ndani ya wiki hii na hilo likikamilika majaribio yataanza hivi karibuni.
“Tunaanza Dar Moro na inaweza kwenda zaidi ya hapo, mfano Dodoma kuna kituo kimoja cha kupozea umeme bado hakijakamilika ili tuwezi kufika Dodoma, nafikiri hadi mwishoni mwa Desemba uwezekano wa majaribio kufika huko utawezekana.
“Hivyo, ifahamike kuwa kichwa bado kipo Bandarini na kikishuka, wakijipanga vizuri na Mainjinia wetu waliopelekwa mafunzoni wakionesha hiki ni nini kazi itaanza.
“Changamoto ilikuwa ni kichwa, Wananchi wlaikuwa na shauku ya kuona majaribio yakianza lakini hilo limekamilika, kichwa kipo kimoja na vingine vitafuata.”
Pia soma: Danadana za Serikali kwenye kuanza kutumika kwa Treni ya SGR kipande cha Dar - Moro, nini kinaendelea pande hizo?