Sina kumbukumbu nzuri ni mchezaji gani kwa miaka ya hivi karibuni amewai kufunga hat trick kwenye derby! Azizi Ki kathibitisha ubora wake!

Majok majok

JF-Expert Member
Aug 3, 2023
618
1,565
Sina iyo kumbukumbu labda mwenye nayo atujuze, hat trick kwenye derby sio jambo la kitoto eti ni mpaka uwe Bora aswaa na uwe fiti kwa 100%.

Mchezaji aliyekamilika atapimwa kwenye mechi ngumu Kama hizi za Yanga na Azam, ama Yanga na Simba, maana ni mechi ambazo uwezi pewa nafasi na mpinzani utambe unavyotaka ukibahatisha kuscore labda kagoli kamoja na kenyewe uwe umefanya kazi ya ziada!

Sasa Mwamba wa wagadugu Stephen Aziz key Leo KATHIBITISHA kwamba ni level nyingine, ni kipaji plus uwezo plus akili kubwa ya kuufanyia mpira uuone Kama vile ni mchezo rahisi tu, alijitafuta na amejipata na uyu ndiye yule aliyekuwa Asec mimosas!

Kufunga hat trick unaweza kwenye mechi za wakina coast union ama mtibwa sugar na sio derby wazee!

N:B KAMA KUFUNGA HAT TRICK KWENYE DERBY BASI MWAKAROBO TUNAWASUBILIA KWA HAMU MUIVUNJE REKODI YA MWAMBA WA WAGADUGU🗝️🗝️🗝️🔑🔑📌📌📌📌
 
Goli la Kibu lilikuwa ni zaidi ya hattrick
Hakuna kitu Cha ajabu hapo maana Goli la Feitoto CCM Kirumba bado halijalipwa! Dogo alifumua shuti kutoka katikati ya uwanja hadi goli na ndo hapo mlifanya figisu dogo asicheze tena mpira wa kiwango! Leo Feitoto alipuyanga tu!

Goli la Kibu lilifungwa Yanga wakiwa hawako mchezoni baada ya Simba kufunga goli la kwanza la kimagumashi kwa kuanzisha kona bila filimbi ya refa mkivizia wachezaji wa Yanga wanapokea maelekezo ya refa!

Mwambieni Kibu afunge tena kama ataweza mbele ya mwamba Bacca ambae hakucheza siku Ile!! Mnajisiiifu wakati hakuna cha ajabu pale!
 
Back
Top Bottom