Kwa wale waliotayari kuwekeza kwenye uwekezaji usio na hasara mnakaribishwa sana
Mashamba ya miti ya mbao aina ya MIKARIBEA pamoja na ardhi yake yanauzwa
La kwanza lina ukubwa wa ekari tatu na nusu na miti yake ni umri wa miaka 7 bei ni milioni 10.
La pili lina ukubwa wa ekari 30 ivi kwa...
RUVUMA.
Huko wilayani namtumbo kuna Kijiji wananchi wamegundua madini, hali ilivyo ninkila mtu anajaribu bahati yake hali iliyopelekea kwa gafla maisha kubadirika.
Usafiri kwenda eneo hilo umekuwa mgumu na wa garama, ukisema uchukue bodaboda wanachaji nauli kubwa.
Kwa sasa magari hayawezi...
Mitando imekuwa na huduma mbovu ya Network sana, Mfano Vodacome now day inasumbua mnoo, kutuma sms, internet kuna mtu haifanyi kazi, Je, Ni kuwa imeelemewa sana wateja wameongezeka ikiwa hawajaongeza jitihada ya kuwamudu. Au tatizo liko wapi!
Na tigo ndo kabisaaaa
Hawatoi tamko lolote lile...
Kipindi linatokea hilo tukio mimi nilikuwa ni mgeni kwenye hiyo mitaa kuna biashara yangu niliihamishia huo mtaa.
Nyumba niliyokodi frem nilikuta yeye akiwa tayari anabiashara hapo,
nilihamia hapo kipindi akiwa na mgogoro na mmewe, kwa maana hiyo mume sikuwahi kukutana nae wala kumfaham...
Yaani ukiagiza Japan gari la Miaka ya 1990's ushuru wa TRA upo chini. Ila ukijiroga uagize gari la miaka ya 2010's utafurahi na roho yako jinsi ushuru wa TRA ulivyo juu.
Unakaa unajiuliza hivi hii nchi kuna mtu ana roho ya korosho hataki watanzania waendeshe magari mazuri?
Nani anafanya hivi...
Subscribe
Politics
Putin to Visit Turkey in First Trip to NATO Country Since War
Russia has forged ties with Turkey as relations with EU soured
Talks with Erdogan expected to focus on energy, war in Ukraine
Vladimir Putin
Photographer: Gavriil Grigorov/AFP/Getty Images
By Selcan...
Kila kiongozi anayeingia ofisini kwenye chama jambo la kwanza ni kupendekeza kutengua na kuteua. Tayari wawili hawa wamewasilisha majina ya watu wanaotamani wapewe nafasi waonje keki ya Taifa.
Kufuatia utamaduni huu wa kila mtu kumpa shavu rafiki yake, nawajulisha wakuu wa mikoa, wilaya...
"Wananchi kuuawa na kuporwa mali zao katika siku za karibuni imekuwa ni jambo la kawaida, wananchi kuuawa na kuporwa mali zao kwa visingizio vya kusimamia sheria za uhifadhi, mfano katika maeneo irani na hifadhi kunaripotiwa taarifa za wafugaji kuuawa, wanawake kuuawa wakiwa wanakusanya kuni...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akimuapisha Ndugu Maryam Ahmed Muhaji kuwa Katibu Tawala wa Mkoa wa Manyara, kwenye hafla iliyofanyika Ikulu Jijini Dar es Salaam tarehe 20 Desemba, 2023.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan...
Wengi wameunganisha mioyo yao na Dini, madhehebu na viongozi wao badala ya Yesu waliompokea na Neno lake.
Utachelewa usiponielewa utakapogundua
Viongozi ni watu kuna wakati shetani atatumia vinywa vyao kusema lolote kama alivyomtumia Petro.
Dini au madhehebu ni vitu vizuri ila kuna wakati...
Kama umemaliza hiyo fani kwa miaka ya karibuni na hesabu zinapanda vizuri, tafadhali nicheki.
1. Uwe unaishi Dar
2. Uwe huna ajira ya kudumu au kama unaweza tenga muda japo saa mbili kwa siku kufanya kazi haina shida
3. Uwe unajua hesabu vizuri.
Urgent.
Tuwasiliane.
+255 676 377 400 au...
Hali ya uchumi kidogo siyo nzuri, miradi mikubwa imesimama na baadhi imeenda beyond time kwa sababu hakuna fedha.
Speed ya ujenzi wa miundombinu mfano barabara imeshuka sana; mfano taarifa zinasema barabara ya kimara to kibaha mkandarasi ameondoka site na kuacha mawe barabarani huku maeneo...
Asilimia kubwa ya watu duniani ni wagonjwa kiakili kwa kujua au kutokujua.
Bahati mbaya watu hawa ambao wengi ni Maprofessionals, Maprof, Wasanii, wachungaji feki (gospelpreneurs), Wanasiasa na wafanya maamuzi ya dunia ndio wanaoaminiwa sana na watu. Hii imepelekea mlipuko mkubwa wa janga la...
Mapema jana Ijumaa jumla ya Makombora saba yalirushwa na kufanikiwa kuingia ndani ya ubalozi wa Marekani nchini Iraq.
Ubalozi huo daima huwa unalindwa na mifumo mbali mbali ya ulinzi ambayo imewekwa kwenye hali ya tahadhari, hata hivyo hikuwezekana kuyazuia makombora hayo kutua ndani ya ubalozi...
Simba imeondoka leo kuelekea Morocco katika mtanange wa kufa na kupona dhidi ya Wydad AC. Katika safari hiyo, Captain wa Simba John Bocco ameachwa nyumbani. Hii ni safari ya pili mfululizo ambapo Bocco ameachwa katika safari wakati katika uwanja wa mazoezi anaonekana. Safari ya kwanza ilikuwa...
Sote tukae mkao wa kusubiri halwa ya sinia za harusini iliyopikwa ikapikika na Gidemi. Wengi wakazi wa jiji la Dar, wa zamani wenzangu, nikiitaja halwa ya Gidemi ya sinia wanaielewa utamu wake.
Kwanza ilikuwa ikifika masinia yale wakati wa kugawanywa, kila mmoja anakodoa macho isije ikawahiwa...
Kama kichwa cha habari kinavyoeleza, hii ndio hofu yangu kwa mechi ya leo kwani baadhi ya wachezaji wetu wa humu ndani na wale wa kimataifa, walikuwa wanatumikia timu zao za Taifa katika kusaka nafasi ya kushiriki kombe la Dunia mwaka 2026.
Sasa sijui wamekaa kambini kwa siku ngapi ingawa bado...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.