karibuni

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Jidu La Mabambasi

    JamiiForums Tanzania Tuliwahi kuwa Taifa moja na Utaifa ulikuwa juu, kimetokea nini miaka ya karibuni?

    Regardless of chama , hii ilipendeza sana kuona baina ya vyama, kuunganishwa na nchi yetu kwa umoja. Nani aliingiza sumu ya kuondoa utaifa wetu?
  2. TheDreamer Thebeliever

    JamiiForums Tanzania Endapo hii ndoto inatoka kwa Mungu, basi hatuna budi kuliombea Taifa. Hatari itatokea karibuni

    Habari wadau! Leo nimeota ndoto mbaya sana, nimeona watu waume kwa wake wakiwa wanalia, nimeona machozi na damu katika ndoto. Nimeona mji ukiwa umetulia tulii mara ghafla fujo ikatawala,taharuki ikaukumba mji wote. Ndoto yenyewe: Nimeota nimeenda kumtembelea jamaa yangu anayeishi maeneo ya...
  3. Environmental Security

    JamiiForums Tanzania Mchele Supa kutoka Mbeya, sampo zote na kiasi chochote

    Nauza mchele nipo Mbeya 1. Kiasi - kuanzia 1kg hadi tani utakazohitaji 2. Bei - kuanzia sample ya 1000 kwa 1kg, 1200 kwa kg, 1400 kwa kg, 1500 kwa kg na kuendelea 3. Pia mpunga na pumba laini za mpunga zinapatikana 4. Nje ya mbeya tunatuma hadi ulipo kwa gharama nafuu Karibuni sana
  4. Superbug

    JamiiForums Tanzania Ugonjwa wa kujikuna wa hivi karibuni usio wa kawaida je umekupata?

    Kumezuka ugonjwa mpya wa kujikuna ambao mtu anawashwa Sana na anatoa vipele vidogovidogo. Sijui ni wangapi mmeshausikia au kuupata. Mimi na familia yangu wote tunawashwa na huko Moshi pia Kuna jamaa zangu wawili na familia zao nao wameniambia Wana washwa na kujikuna sana. Plz Kama umepata Hilo...
  5. Shujaa Mwendazake

    JamiiForums Tanzania Kamisheni ya Afrika ya Haki za Binadamu na Watu inafuatilia kwa ukaribu matukio ya hivi karibuni ya utekaji wa viongozi na wananchama wa CHADEMA

    “Kamisheni ya Afrika ya Haki za Binadamu na Watu inafuatilia kwa ukaribu matukio ya hivi karibuni ya utekaji wa viongozi na wananchama wa CDM.” - Kamishna Dkt. Solomon Ayele Dersso.
  6. Tony254

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kwa mara ya kwanza, tumeonyeshwa jinsi Majengo marefu ya GTC yanavyofanana kutoka ndani

    Hii video inaonyesha jinsi Majengo ya GTC ni ya kisasa na yanavutia kweli. Halafu upeo kutoka juu la jengo ni nzuri sana. Mtu anaweza kutazama Nairobi yote bila tatizo
  7. CONTROLA

    JamiiForums Tanzania Karibuni Dar es Salaam wageni mnaokuja kutafuta maisha na kufanya biashara

    Dar ni jiji ninalolifananisha na Jikoni kwa Tanzania hii, nadhani wote tunajua sifa ya jiko ni mahali panapoandaliwa na kupikwa vyakula vyote tunavyovipenda na tusivyovipenda. Dar ni mkoa ambao naupa heshima ya kupafananisha na jiko kwasababu ni mkoa ambao ni chanzo cha kila kitu. Ukitaka ma...
  8. Mstahiki Mea

    JamiiForums Tanzania Baada ya tukio la mwenzetu kuchomwa moto, nini kifanyike matukio ya wivu wa mapenzi yasijirudie?

    Kikao kimefunguliwa rasmi, tunajadili nini kifanyike, ili adhabu za wivu wa mapenzi zipungue katika jamii zetu. Wakati tukijadili hilo usisahau kunipa vote yako kwenye hili chapisho. Bofya ifunguke kisha click kwenye vote: Story of Change - Unavyoweza kujiajiri kwa kufundisha mtandaoni
  9. TheDreamer Thebeliever

    JamiiForums Tanzania Karibuni nitapata Shilingi milioni 100: Naomba ushauri wa namna ya kuiwekeza

    Habari wadau! Kuna mchongo nausikilizia wa milion 100, wazungu wanasema "easy money" sija-sweat sijui hata nitazifanyia nini masikini. Itakuwa mbaya zaidi kama hundi ya pesa itadondoshwa harafu sijajua cha kufanya. Nipeni wazo niifanyie nini?
  10. LIKUD

    JamiiForums Tanzania Nna safari ya Capetown mwisho wa mwezi huu. Nani kaenda DIZONGA hivi karibuni?

    Concern yangu ni kwenye ishu ya COVID -19. Zile story za kwamba ukifika DIZONGA lazima ukae karantini wiki mbili kwenye hoteli ya 5 star kwa gharama zako mwenyewe zina ukweli wowote? Vipi kuhusu wimbi jipya la maambukizi ya COVID ni kama tunavyo aminishwa na media au huko...
  11. S

    JamiiForums Tanzania Karibuni Wachina na mikataba yenu ya ujenzi wa Bandari Bagamoyo

    Huenda ikawa baada ya miaka 100 ijayo ngozi nyeusi ikapatikana kwa nadra hapa Tanzania kama ilivyo kwa Madagascar na Mauritius. Kupata mtu mweusi wa asili itabidi labda uende ndani kabisa mashambani huko vijijini. Majina ya asili yatachanganyikana na ya kichina kwa hiyo yatapotea kabisa...
  12. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania CHADEMA sasa itakuwa na kadi za aina 5 za uanachama zitakazolipiwa viwango tofauti kwa mwaka

    1.Kadi ya bluu (2500) kwa mwaka 2. Kadi ya fedha (25,000) kwa mwaka 3. Kadi ya dhahabu (50,000) kwa mwaka 4. Kadi ya Platnum (100,000) kwa mwaka 5. Kadi ya Almasi (200,000) kwa mwaka Huu ndio mpango mpya utaowezesha chama kujiendesha kwa mapato yake chenyewe badala ya pesa za ruzuku ambazo...
  13. technically

    JamiiForums Tanzania Rais Samia awatumbua Mkuu wa Wilaya Morogoro Bakari Msulwa na Mkurugenzi Morogoro Sheilla Lukuba Kwa Mgambo Kuwapiga Wamachinga

    Rais Samia kawatumbua kwa kuwashambulia Machinga mtaani mkoani Morogoro. Aliyetumbuliwa ni Bakari Msulwa Mkuu wa wa Wilaya ya Morogoro na Sheilla Lukuba Mkurugenzi Morogoro. NI kutokana na Mgambo kuwapiga Machinga. Pia amesisitiza ajira zote zinazokuja za Ma-DC zijazo zitakuwa za vijana.
  14. C

    JamiiForums Tanzania Karibuni sana kwa huduma za fumigation

    Karibuni Sana Chawging investment Kwa huduma za fumigation majumbani, maofisini, mashuleni, mashambani, kwene majengo, kwene masoko, mahotelini, mahospitali, kwene vyombo vya usafiri, kwene chamber za chooni, kwene vyombo vya usafiri, kwene magodown, n.k Tunatokomeza wadudu hatarishi warukao na...
  15. financial services

    JamiiForums Tanzania Wanaotaka kuanza kusoma CPA karibuni tushauriane

    Habari wakuu! Kwa wanotaka kuanza kusoma na waliosoma CPA karibuni mtushauri lolote, kwanza kabisa nahitaji kufahamu, 1) Intake ni mara ngapi kwa mwaka, yaani unaweza anza mwezi gani? Now tunaingia mwezi June je intake nyingine inaanza lini? 2) Vigezo vya kuanza ni vipi? Najua kuna levels...
  16. S

    JamiiForums Tanzania Je, kwa ujumbe huu kwa Mbowe, Godbless Lema anapanga kurudi nyumbani hivi karibuni?

    Kaandika hivi kupitia twitter: Mwenyeketi Freeman Mbowe Karibu sana Arusha, ningetamani kuwepo,lakini nina matumaini tutaungana pamoja katika ujenzi wa Nchi na Chama siku za hivi karibuni.Kanda ya Kaskazini tutaendelea kuwa mstari wa mbele kujenga na kuimarisha demokrasia Tanzania...
  17. C

    JamiiForums Tanzania Huduma za fumigation

    Karibuni Sana Chawging investment Kwa huduma za fumigation Tunapuliza dawa za viuatilifu kutokomeza wadudu hatarishi warukao na watambaao majumbani, maofisini, mashuleni, mashambani, kwene majengo, kwene vyombo vya usafiri, kwene chamber za chooni, kwene masoko, mahotelini, mahospitali n.k...
  18. T

    JamiiForums Tanzania Nini maana ya maneno haya? "Chai ya moto, chai ya tangawizi na chai kavu"

    Wakuu, poleni na majukumu. Naomba kuuliza nini maana ya maneno haya kama yanavyotumika hapa JF: 1. Chai ya moto 2. Chai ya tangawizi 3. Chai kavu Nimeyaona yakitumiwa na wachangiaji wa nyuzi mbalimbali ila mimi sielewi wanamaanisha nini wanapoyatumia. Naomba kujuzwa ili twende pamoja
  19. K

    JamiiForums Tanzania Rais Samia azindua Kitabu cha Maisha ya Rais wa Tanzania wa Awamu ya Pili, Ali Hassan Mwinyi

    Mama Samia Suluhu Hassan Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania anategewa kuwa mgeni rasmi siku ya uzinduzi wa kitabu Cha maisha ya rais wa awamu ya pili Alhaj Ali Hassan Mwinyi al maaruf Mzee Rukhsa. ======== Rais wa Tanzania Samia Suluhu anatarajia kuwa Mgeni rasmi kesho May 08, 2021...
  20. Star onair

    JamiiForums Tanzania INAUZWA Mahindi yanauzwa, karibuni

    Nauza mahindi KWA sh 55,000 (gunia) Debe la mahindi utapata KWA 8500 Kila jumamosi mzigo unaingia wote mnakaribishwa. Bei ya debe la mahindi KWA Dsm ni kuanzia 10k. Ila ofa hii ipo KWA kipindi hiki cha Ramadhani baada ya hapo haitokuwepo tena wahi sasa KWA 8500 tu. Karibuni
Back
Top Bottom