Hivi karibuni tutaanza kuona Mikutano ya CHADEMA ikivamiwa na mamluki pamoja na vijana wa CCM

Resilience

JF-Expert Member
Jan 4, 2023
876
4,101
Maelekezo kutoka ngazi za juu soon yataanza kutekelezwa; tuliona Shinyanga ilivyotumika nguvu kubwa kuwakatisha tamaa wananchi lakini wakashindwa.

Huwa mara nyingi upepo wa kisiasa ukionekana unawaendelea vyema CHADEMA kinachofuata ni vurugu na ghasia ambazo uandaliwa na viongozi wakuu wa chama tawala.

Jk alipoona CHADEMA inakuwa na nguvu sana alianza kutumia akina Nape na Mwigulu kutengeneza propaganda na sasa ndivyo hali ilivyo. Je, yakianza kutokea yatakemewa au yatapewa na ulinzi?
 
Mimi niliwahi shauri chama chngu kutumia spinning kama NJIA ya ku deal na hoja za upinzani!!

Sema hili la dp NADHANI chama changu kimeamua liendelee kuwepo kwenye mjadala kwa kazi maalum iliyokusudiwa na tutaijua soon!!
 
Maelekezo kutoka ngazi za juu soon yataanza kutekelezwa; tuliona Shinyanga ilivyotumika nguvu kubwa kuwakatisha tamaa wananchi lakini wakashindwa.

Huwa mara nyingi upepo wa kisiasa ukionekana unawaendelea vyema Chadema kinachofuata ni vurugu na ghasia ambazo uandaliwa na viongozi wakuu wa chama tawala.

Jk alipoona Chadema inakuwa na nguvu sana alianza kutumia akina Nape na Mwigulu kutengeneza propaganda na sasa ndivyo hali ilivyo. Je yakianza kutokea yatakemewa au yatapewa na ulinzi?
Watakao sababisha nchi isitawalike ni CCM na dola
 
Watakao sababisha nchi isitawalike ni CCM na dola
Mimi niliwahi shauri chama chngu kutumia spinning kama NJIA ya ku deal na hoja za upinzani!!
Maelekezo kutoka ngazi za juu soon yataanza kutekelezwa; tuliona Shinyanga ilivyotumika nguvu kubwa kuwakatisha tamaa wananchi lakini wakashindwa.

Video | viwanja vya S/M Didia, kata ya Didia, Jimbo la Solwa, Shinyanga Vijijini​
 
Wanakwenda kutafuta matatizo bure, vijana wa ccm walivyo legelege watapambana na vijana manguli wa CDM kweli? 🤣 🤣 🤣
 
Wanakwenda kutafuta matatizo bure, vijana wa ccm walivyo legelege watapambana na vijana manguli wa CDM kweli? 🤣 🤣 🤣
Watanzania hawatakiwi kupigana kama mbwa, ng'ombe, mbuzi, kuku,......
Zama hizo za giza za wananchi wajinga kutokudhibitiwa zimepita. Sasa hivi unaweka ushahidi wa picha, na vinara wa vurugu wanashughulikiwa mmoja mmoja binafsi badala ya kujificha kwenye mwavuli wa chama na serikali.
Pia askari akijihusisha abebe mzigo wake mwenyewe kulingana na ushahidi utakaopatikana.
Hivyo ndivyo tutakavyojenga jamii na taifa lenye siasa za kistaarabu.
 
Mimi niliwahi shauri chama chngu kutumia spinning kama NJIA ya ku deal na hoja za upinzani!!

Sema hili la dp NADHANI chama changu kimeamua liendelee kuwepo kwenye mjadala kwa kazi maalum iliyokusudiwa na tutaijua soon!!
Spinning zimeshindwa kuizima dude la Bandari!!

Lazima wachanganyikiwe.
 
Back
Top Bottom