Ukiona mwenzio ananyolewa na wewe tia maji. Mioto mikali inayoikumba Marekani, Ulaya na karibuni Haiti, inasababishwa na geoengineering

Mathanzua

JF-Expert Member
Jan 4, 2017
15,877
20,731
MAMLAKA YA KUFICHUA UOVU

Mathayo 10:926-28

26 Basi, msiwaogope, kwa maana hakuna neno lililositirika, ambalo halitafunuliwa; wala lililofichwa, ambalo halitajulikana.

Mathayo 10:26
27 Niwaambialo ninyi katika giza, lisemeni katika nuru; na msikialo kwa siri, lihubirini juu ya nyumba.
28 Msiwaogope wauuao mwili, wasiweze kuiua na roho; afadhali mwogopeni yule awezaye kuangamiza mwili na roho pia katika jehanum.

VUMBI LA ALUMINIMU NA BARIUM KWENYE ANGA KUTOKANA NA GEOENGINEERING NDILO LINALOFANYA MIOTO YA PORI KUWA MIKUBWA NA MIKALI SANA.

Wengi tumekuwa tunashangaa kwa nini mioto inayotokea Marekani, Ulaya, Australia, Canada, na hivi karibuni kabisa Haiti, inakuwa mikali sana na kusafiri kwa kasi sana,kiasi kwamba mtu anashindwa kuikimbia na hivyo kuungua na hatimaye kuuwawa. Inashangaza kwamba hata meli zilizoegeshwa bandarini mbali kidogo na pwani zimeunguzwa na mioto hii ya ajabu!

Wakati akifanya
ukitafiti , Mwandishi Denis Mills,aligundua uhusiano mkubwa na wa kutisha kati ya urekebishaji wa hali ya hewa(Geoengineering) na moto mkali wa nyika. Mwandishi huyu aligundua kuwa viwango vikubwa sana vya Alumini na nanodust ya Bariamu, ni sehemu muhimu katika harakati za kijasusi za kurekebisha hali ya hewa. Vumbi la Aluminium na Barium hufanya moto kuwa mkali sana na wenye kasi kubwa.

Brigedia jenerali mstaafu wa Jeshi la Anga la Marekani-USAF(United States Air Force), Jenerali Charles Jones, amenukuliwa kutoka chanzo cha umma akisema, "Unyunyiziaji huu kwa kutumia ndege nyeupe ni unyunyiziaji wa chembe za Alumini,Bariumu na polima ambazo ni kemikali zenye sumu."

Afisa mwingine wa Jeshi la Majini la Marekani ambaye ni mhitimu wa UCLA aliongeza, "Mamilioni ya tani za Alumini na Bariamu zinanyunyizwa karibu kila siku kote Amerika na Ulaya.

Mills anaendelea,
"Nyunyizia vumbi la Alumini au Bariamu kwenye moto na uone kitakachotokea. Mlipuko mkubwa unatokea."

Mioto ya mwituni inapotokea, vumbi la Alumini/Bariamu ambayo limenyunyiziwa angani,hufanya kuwe na moto mkali sana hivi kwamba wazima-moto wamebuni neno jipya ‘firenados.’

Marekani nzima, pamoja na nchi nyinginezo mbalimbali za NATO, kunanyunyiziwa Aluminium na Bariumu. Hakuna uhakika wa kile kinachoendelea sehemu zingine duniani. Hata hivyo itoshe kusema kwamba kwa vile mkakati wa Globalists kwa Dunia nzima ni mmoja, janga hili litaikumba Dunia nzima, ni swala la muda tu.Upo msemo wa Kiswahili usemao "mwenzio akinyolewa nywele zake, na wewe tia nywele zako lmaji."

Serikali ya Marekani, kwa miaka mingi, imekanusha kwamba upo mpango wa unyunyiziaji wa Alumini na Bariumu ili kurekebisha hali ya hewa(Geoengineering). Sasa inaita mipango yote ya kujaribu kurekebisha hali ya hewa Geoengineering. Hata hivyo haifahamiki mipango yote ya Geoengineering iliyopo ndani ya kapu hilo,ni siri.

Kulingana na mkuu wa operesheni ya California Fire Steve Crawford, mioto ya California inawaka tofauti na kwa ukali zaidi. Imeripotiwa kwamba mioto yote ya nyika ya Marekani, Canada, Ulaya, New Zealand, Australia inaenda kwa kasi zaidi kuliko mtu yeyote ambavyo amewahi kuona na firebreaks ambazo katika miaka ya nyuma ziliweza kudhibiti mioto hiyo,leo haziwezi tena.

Katika eneo la California Mlima Shasta, Francis Mangel, mwanabiolojia wa USDA alifanya utafiti na kupata viwango vya juu vya alumini katika maji na sampuli za udongo za 4,610 kwa kila milioni ambayo ni mara 25,000 ya miongozo salama ya Shirika la Afya Ulimwenguni. Hii inathibitisha kwamba ni kweli kipo chanzo cha Alumini na Bariumu ambacho si cha asili.

Link:

More here👇
 

Attachments

  • 13f3291f17309de6.jpg
    13f3291f17309de6.jpg
    35.4 KB · Views: 2
Hao wamekiuka kanuni na maadili ya asili,hivyo mother nature inareact.
Sehemu zenye maasi mengi ni kawaida majanga mengi.
 
Hao wamekiuka kanuni na maadili ya asili,hivyo mother nature inareact.
Sehemu zenye maasi mengi ni kawaida majanga mengi.
Hata kama wamekiuka maadili mkuu,kuua na kuharibu sio kazi yao,wangemuachia Mungu.Na hata hivyoo, mbona sio wote wa Marekani waovu?

Labda nikuulize mkuu,mbona Tanzania pia wapo waovu wengi,sasa na sisi tufanyiziwe?Kumbuka kwamba unapomnyooshea mwenzio kidole,vinne vinakugeukia wewe.
 

In a very suspicious circumstance,a book about the Hawaii wildfires has been published BEFORE fires were out!​

17 AUGUST 2023
Book About Hawaii Wildfires Published BEFORE Fires Were Out!

In an an almost inexplicable manner, a new book about the Maui, Hawaii "Wildfires" was published on August 10 - BEFORE the fires were even put out! Of course, the book pushes the "Climate Change" political agenda. But how did they write and publish a book BEFORE the fires were even out? Unless they knew in advance, the fires would happen?
Here is the ad on AMAZON touting the new book:

More interestingly, look at the description of the book on its AMAZON sales site. The description says the book offers "the harrowing experiences of people who lived through the fire" and "the heroic efforts of fire fighters and Rescuers who battled the flames." How did they do that while the fire was STILL BURNING?

Not to put too fine a point on this, but the description of "people who lived through the fire" and the "heroic efforts of fire fighters . . . " was published while the fire was STILL BURNING.
You'll note in the book description it talks about "the events of August 8-11." Look at the PUBLICATION DATE: August 10.

How did they cover the events of August 8-11 with a book published ONE DAY BEFORE the fire was even out?
Unless, of course, the book was written BEFORE the fire even started, by people who may have known the fire was going to happen?
Was the Maui, Hawaii "wildfire" a staged event? Or was it DELIBERATE, to burn-out land owners who had previously refused to sell to developers who wanted to build multi-million dollar residential complexes on some of the most beautiful - and expensive - real estate in the entire United States?
The fact that this book was published while the fires were still burning seems to some people to be prima fascia evidence the fire was actually planned. Arson.
Some wonder if the book was perhaps written to divert attention form the heinous crime, and then plug a Climate Change agenda to gloss it over.
It seems a criminal investigation is required of this fire - and of this book.
In order that YOU can verify the facts set forth in this story, here is a link to the actual AMAZON web page, selling this book: (Click HERE)


 
Back
Top Bottom