Taarifa za Kijasusi: Hamas bingwa wa mabingwa. Hivi karibuni kutatangazwa ushindi mkubwa kwa Wapalestina

FaizaFoxy

Platinum Member
Apr 13, 2011
92,883
109,212
Sote tukae mkao wa kusubiri halwa ya sinia za harusini iliyopikwa ikapikika na Gidemi. Wengi wakazi wa jiji la Dar, wa zamani wenzangu, nikiitaja halwa ya Gidemi ya sinia wanaielewa utamu wake.

Kwanza ilikuwa ikifika masinia yale wakati wa kugawanywa, kila mmoja anakodoa macho isije ikawahiwa na wajanja na kuisha kabla ya kufika kwako. Maana kuna watu wanajuwa kukomba halwa hao, si mchezo.

Kwenye tovuti za YouTube nimekuwa nikizifatilia sana habari za kijasusi za kutoka vyanzo vitatu, nilikuwa nazileta JF kiaina fulani, lakini kwa bahati nzuri au mbaya, wengi walikuwa hawazioni umuhimu wake. Hata uzi wa kwanza kabisa kabla ya kutangazwa kutakuwa na kusitisha mapigano niliuleta hapa JF kutokea moja ya vyanzo hivyo.

Kama kawaida, wengi ya wana JF mapoyoyo hawakuitilia maanani habari hiyo, baadhi waliitilia maanani na kuanza kuuliza maswali ya hapa na pale, mpaka siku mbili tatu baadae ilipotangazwa kweli kusitisha mapigano na kubadilishana wafungwa ndiyo wachache wenye uelewa wakaanza kuzifatia post zangu kwa kina.

Ya leo haya ni makubwa zaidi. Someni kwa kina na sikioizeni video clips nilizobandika humu, asiyeelewa aulize swali, sijaweza kuleta habari yote post itakuwa ndefu sana, isipokuwa nimechukuwa kidogo kidogo kutokea huko, kulikounguwa shoka mpini ukabakia:

Tafsiri kwa msaada wa "google translate".

55 Mpango wa Mossad, CIA, Misri na Qatar Kutana kwa ajili ya mvutano wa Israel na Gaza waendelea


Maafisa wa juu wa ujasusi wa kutoka Amerika, Israeli, Misri na Qatar wanakutana Qatar kujadili suala la uwezekano wa kusitisha mapigano moja kwa moja na kubwa zaidi ni jinsi ya kubadilishana wafungwa kati ya Israel na Hamas.

Kwa nini wanakutana hivi sasa? Kama unaweza kufahamu kuwa kumekuwa na kipindi cha Makubaliano ya awali ya kusitisha mapigano ambayo yameongezwa muda zaidi Wakati Mkataba wa awali wa kusitisha mapigano waliokubaliana wote.

Hamas na Israel walikubaliana kuhusu idadi ya watu ambao watakuwa wanaachiwa na Israel na Hamas. Kimsingi, majina ya ya wanaoachiwa hayatochapishwa chapisha kwa sababu za kibinadam. Hata hivyo walikubaliana kuwa watakuwa wengi wanawake na watoto na iliendelea hivyo kama tulivyokuwa tunashuhudia.

Makubaliano pia yalikuwa ile iwe hali ya awali huku kila upande ukiangalia njia bora zaidi ya kufanyika. Liliendelea zoezo hilo mpaka muda ukawa umeongezwa

Ikaonekana kuwa kwa mpango huuunoendelea sasa ni watu 300 tu kutolewa Israel na 100 tu kutokea Israel watakaoachiwa. kuna uwezekano pande zote zikapoteza wafungwa wale wakubwa ambao kila mmoja wao aliwania watolewe, hususan mazayuni ambao walishikiwa majenerali wao na wakuu mbali mbali wa kijeshi katika siku 48 za mapigano. Wakaona Duh hapa tutapoteza watu.

Na Mazayuni walipopata habari za Kiintelijensia kutoka kwa wafungwa waliowachiwa, wakaona hapa imekula kwetu. Ikumbukwe kuwa mateka wote wa Kiyahudi walioshikiliwa na Hamas waliozidi miaka 18 ni wanajeshi kamili na wale wazee wote ni wanajeshi na majasusi wastaafu, ndiyo hao wanaowekwa kwenye vijiji vya mpakani (Kibutz) na hawawekwi tu huko watu kiuholela.

Ikabidi kupitia Wakuu wa ujasusi, imeonekana hawa wanaongea lugha moja kuliko wanasiasa, itumike fursa na nafasi ya msingi hii ili kimsingi kujaribu na kufikia makubaliano ya kusitisha mapigano bilqkupoteza Mfungwa yeyote mkubwa kwa pande zote. Hamas waakaelewa kuwa wao ndiyo wameshikiia turufu.

Tafadhali mengine yasikilize kwenye hii video clip, pia mnaweaa kuuliza chochote kwa ufafanuzi zaidi, kwani habari ni ndefu kidogo.

Cha muhimu tukae mkao wa halwa tungoje mapiganoi yasitishwe kabisa na Wapalestina wakabidhiwe nchi yao kamili kama mipaka ya 1967 ilivyokuwa.

Kwa namna yoyote ile, huu ni ushindi mkubwa sana kwa Wapalestina.

Viva Hamas Viva Palestine Viva wapenda haki wote duniani.



 
Unaumwa degedege wa wakubwa jiangalie unachizika
Nafahamu hii habari ni nzito sana kwenu, Siku ya pili tu mazayuni walipotangaza vita na Hamas niliandika haya chini, lakini hakuna aliyenielewa:



Labda sasa mtanielewa mkitumia akili zenu japo kidogo, kama mnazo. Maana mwenye kutumia akili asipopaelewa huuliza, siyo anakurupuka na mitusi tu.
 
Wewe ajuza achakupekua vihabari vya madrassa unaleta hapa Gaza ndio inaenda kupotea na Hamas yake
Hahaha huelewi dunia inavyokwenda kijana, inabidi uipekuwe.

Hamas sasa hivi ni bingwa Mabingwa. usifanye mchezo kijana. Dunia nzima tunaimba nyimbo yao.

Unafahamu kuwa Mrusi kishapeleka majeshi yake kuilinda Syria kwa mashambulizi yoyoyte ya kutokea Israel?

Unafahamu kuwa USA sasa hivi wanamwambia Netanyahu aondowe kabisa majeshi yake Golan heights na kurudi kwenye mipaka ya mwaka 1967? Kama huelewi jionee:


View: https://youtu.be/yzNWvRXNrOc?si=mKlv0WdL6F_Y-W7j
 
Leo ndio mwisho wa cease fire, ngoja tusubiri mtanange uanze, msije tena mkaanza kusema Wapalestina wanauwawa wakati nchi ziko vitani.
 
Bikra una ndoto za hajabu sana, wewe andaa tu mahala pa kufikia mapuuzi wako wanaokuja huko motoni kukuona na kupata mabikra 72.
 
Leo ndio mwisho wa cease fire, ngoja tusubiri mtanange uanze, msije tena mkaanza kusema Wapalestina wanauwawa wakati nchi ziko vitani.
Mtanange utokee wapi? Ungekuwa na akili ata kidogo ungeshafahamu kuwa kwa kitendo cha Israel kukubali kubadilishana mateka na Hamas ndio ulikuwa mwisho wa mchezo.

Hayo maneno mengine ya Netanyau ni kujitoa kimasomaso tu na kuficha aibu
 
Mama, akati unaendelea kujipiga kifua kaa hapo ukijua walichofanyiwa hao, sidhani kama iko siku watawaza kumchokoza Myahudi tena, na ukumbuke kichapo hakijaisha hata warejeshe mateka wote


View: https://www.youtube.com/watch?v=vAVQQPAFz1w

Kumchokoza? Unaijuwa historia wewe au unajiongelea tu?

Wapalestina wote hao wamezaliwa vitani kama ulikuwa huelewi.

Una nini cha kuwatisha mashaheed wewe?

Sema walichofanyiwa mazayuni hakijawahi kutokea na saa hizi mavi debe, washaanza kujijlkusanya wanaondoka ghaza kwa aibu. Mpalestina kishasema, yakiisha mapatano ya kusitisha mapigano kila mzayuni wanaemkuta Ghaza ni halali yao na Tel Aviv ni halali yao.
 
Nikajua wanarejeshewa "ardhi yao".
Kumbe hata video clips hujasikiliza, au Kingereza kinakupiga chenga tukuwekee video clips za Kiarabu? Maana afadhali Kiarabu kinafanana na Kiswahili unaweza kudonoa donoa maneno kadhaa huko.
 
Kumch9kizq? Unaijuwa hist I riabwewe au unaji9ngelea tu?

Wapwlestina wote hao wamezqliwa vitani kamabulikuwanhuelewi.

Una nini cha kuwatisha mashaheed wewe?

Sema walichofanyiwa mazayuni hakijawahi kutokea na saa hizi mavi debe, washaanza kujijlkusanya wanaondoka ghaza kwa aibu. Mpalestina kishasema, yakiisha mapatano ya kusitisha mapigano kila mzayuni wanaemkuta Ghaza ni halali yao na Tel Aviv ni halali yao.

Hehehe mama nikisema minyege unalia lia eti ni matusi, hebu rudia tena ulichoandika, leo una nini mamiii... njoo inbox tuyajenge ila usinilipukie...
 
Back
Top Bottom