karibu

PachiPara DL (DownLoad) Hyper Sea Story In Karibu (パチパラ DL(ダウンロード)ハイパー海INカリブ) is a downloadable game released on the Japanese PlayStation Store on July 2, 2008.

View More On Wikipedia.org
  1. YEHODAYA

    JamiiForums Tanzania Equador ndio Nchi ambayo iko karibu kabisa na Mwezi na Nyota Duniani

    Nchi ya Equador iliyoko Amerika ya kusini ndio nchi ambayo iko karibu kabisa na mwezi na nyota duniani Ukiwa kule kwenye mlima Chimborazo ulioko nchi hiyo nyota na mwezi unaziona juu karibu na kichwa chako
  2. Titicomb

    JamiiForums Tanzania Uliyepitia mambo magumu: Vitu kwenye kioo cha kuona nyuma vinaonekana karibu kuliko uhalisia

    Hayo si maneno ya busara toka kichwani kwangu bali toka kwa mwanamuziki Hayati Lucky Philip Dube. Anasema "Inaonekana kama vile kila kitu kilitokea jana tu" anaendelea kusema "Machozi hayawezi kuleta furaha bali furaha inaweza kuleta machozi" Hapa anamaanisha nini? Kulia sababu ya jambo lolote...
  3. Course Coordinator

    JamiiForums Tanzania Miaka 63 baba mdogo hajawahi kurudi nyumbani

    Maisha haya wamejaa mambo mengi sana hasa ya utafutaji. Je, umeshawahi kupotezana na ndugu yako wa tumbo moja, binamu yako, Baba Mkubwa au Baba Mdogo, Shangazi, Mama au Baba, Bibi au Babu, Mpwa, rafiki yako au hata jirani yako, Baba Mkwe au Mama Mkwe unawasikia sikia tu wapo mahali fulani...
  4. Mzukulu

    JamiiForums Tanzania Rais Mstaafu wa Tanzania, Mhe Jakaya Kikwete atunukiwa medali kwa mchango wake katika harakati za kurejesha amani nchini Burundi

    Rais wa Burundi, Mhe. Evariste Ndayishimiye amemtunuku medali Rais Mstaafu wa Tanzania, Mhe Jakaya Kikwete kwa mchango wake katika harakati za kurejesha amani nchini Burundi. Chanzo: ForeignTanzania Sisi akina Mzukulu tunaomba tuambiwe haraka kama Rais Mstaafu huyu Jakaya M Kikwete ana...
  5. Nyendo

    JamiiForums Tanzania Zitto: Membe karibu upinzani

    Na Mwandishi Wetu, Kilwa Kiongozi wa Chama cha ACT Wazalendo, Zitto Kabwe, amesema sasa ni wakati mwafaka kwa Benard Membe kujiunga na upinzani rasmi hapa nchini. Akizungumza katika mkutano wa hadhara uliofanyika Kilwa, Zitto alisema mwanasiasa huyo aliyewahi kuwa mbunge na waziri wa wizara...
  6. Azizi Mussa

    JamiiForums Tanzania Tuna uhakika juu ya jambo moja kuhusu kukamatwa kwa viongozi wa Upinzani mara kwa mara. Huenda mabadiliko chanya yako karibu

    Kumekuwa na matukio mbalimbali ya kukamatwa kwa viongozi wa upinzani kwa kipindi kirefu kidogo. Ijapokuwa kuna mazingira tofauti tofauti yanayotawala matukio hayo, angalau sasa tuna uhakika wa jambo moja muhimu. Utaratibu wa kuwakamata viongozi hao unaonekana kutokuwa na faida kwa CCM, hauna...
  7. mtwa mkulu

    JamiiForums Tanzania Tundu Lissu karibu CCM

    Awali ya yote namshukuru Mungu Mwenyezi Mwenye Nguvu zote aliyotenda Muujiza ambao kila mtanzania mwenye macho aliona. Uhai wako ulikuwa kitu Cha thamani sana kwa sababu maalumu. Kwaniaba ya Chama Changu Cha Kidemokrasia, Chama Cha Mapinduzi niseme maneno machache karibu CCM. Karibu uitumie...
  8. Surya

    JamiiForums Tanzania Utu wema na upendo huanza kwa rafiki au ndugu wa karibu

    Huu ni ushauri kulingana na mtazamo wangu. Katika hili swali watu walio wengi hukosea pasipo kufahamu nini hasa hasara zake. Binadamu wengi sisi sio wakamilifu sana wala sio watenda mema sana, lakini pale tunapo guswa huwa tunajaribu kujitoa kwa hali na mali. Utakuta mtu anawahi kushikwa na...
  9. S

    JamiiForums Tanzania Hivi ndivyo baadhi ya wabunge wa upinzani wanavyochukuliwa na jamii baada ya miaka karibu mitano ya shida na mateso

    Chanzo:Tony Alfred on twitter. Maoni yangu: Kuna mtu/watu watakuwa wanajisikia vibaya sana kusoma tweet hizi(maneno haya) na wajue tu watakumbukwa kwa matendo yao na si kwa structures watazotuachia kwani wako wengine watakaoikuja kujenga structures zingine bora zaidi kama ambavyo wao sasa...
  10. Kichuguu

    JamiiForums Tanzania Nahitaji heka moja Nyegezi Mwanza karibu na Ziwani

    Kwa madalali wote wa Mwanza; ninatafuta kiwanja cha eka moja karibu na ziwani Nyegezi. Wasiliana nami kwa PM ukionyesha picha ya google maps kuonyesh eneo la kiwanja chako. Napenda maeneo karibu na SAUT au Royal Sunset
  11. BIN BOR

    JamiiForums Tanzania Aliye karibu na Mkombozi Benki anisaidie kuwapa taarifa

    MCB, benki ya kanisa langu pendwa Katoliki, lakini kitendo mnachonifanyia sasa ni cha kihuni kabisa. Mlisema nikiwa mahali ambapo hakuna tawi la Mkombozi naweza kuweka hela kupitia TPB. Pesa imewekwa Alhamisi, haikuonekana kwenye akaunti. Ijumaa nikafunga safari toka Bagamoyo hadi St Joseph...
  12. Mandison

    JamiiForums Tanzania Kwa mtaji wa 25 million nifanye biashara gani?

    Sijawahi kufanya biashara ya aina yeyote isipokuwa nimefanikiwa kukusanya kiasi cha Tshs 25/- milioni ambazo nafikiria kujiajiri kwa kufanya biashara. Naomba wazoefu wa Jiji la Dar mnipe ushauri juu ya biashara ya kufanya tafadhali. Maoni ya wadau:
  13. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Kwa kauli za huyu Mbunge wa Upinzani nakiomba sasa chama chake kianze kujiandaa kisaikolojia kwa Maumivu!

    Ni Mbunge ambaye kwa Wiki hii ya Pili sasa amekuwa akionyesha ' Ukomavu ' wake Kisiasa lakini ' Ucha Mungu ' mkubwa uliojawa na Hekima hadi Busara kwa upande Watendaji wa Chama Tawala ( sasa Wastaafu ) Lakini kama hiyo haitoshi kwa Kauli zake za Leo Bungeni ni kama ameshajua hatorejea tena...
  14. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Naibu Waziri wa Afya Faustine Ndugulile atenguliwa, Godwin Mollel achukua nafasi

    DKT FAUSTINE NDUGULILE ATENGULIWA Rais John Pombe Magufuli amemtengua Dr Faustine Ndugulile Naibu Waziri Wizara ya Afya Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto na Mbunge wa Kigamboni. Nafasi hiyo imechukuliwa na Dkt Godwin Mollel, Mbunge wa Siha, aliyeteuliwa Mei 16 kushika nafasi ya Dkt...
  15. guwe_la_manga

    JamiiForums Tanzania Hivi hii kasumba ya mabinti wengi wa Kisabato kuzalia nyumbani ni jambo la kawaida?

    Wakuu poleni kwa baa la korona Hakuna watu wasomi na wadadisi wa maandiko kama wasabato. Hakuna watu makini katika swala la lishe kama Wasabato. Hakuna watu wenye msimamo na imani yao kama Wasabato Lakini swali langu ni moja: Ni kwanini mabinti wengi wa kisabato huzalia nyumbani kabla ya ndoa...
  16. M

    JamiiForums Tanzania Mahasimu wa rais Buhari wanadai COVID-19 imemuua body guard wake wa karibu

    Personal body guard wa rais wa Nigeria ndugu Mohamadou Buhari afariki dunia jana. Ofisi ya rais imetaarifu Lawal Mato alifariki kwa kisukari ambayo imemsumbua kwa muda wa miaka mitatu. Ila Mahasimu wa Buhari ambao bado wanaendelea kusheherekea kifo cha aliyekuwa powerful chief of staff wa...
  17. MBITIYAZA

    JamiiForums Tanzania Tuliowahi kupata ajali na kunusurika tukutane hapa

    Mpaka leo huwa naikumbuka Jumamosi ile niliopata ajali.Kiufupi nilipanda pikipiki bahati mbaya hakuwa ameiwasha na tuko kwenye mteremko mkali,dereva nikamuuliza nini hiyo maana nilisikia ilivyokata break hakunijibu. Pikipiki ilikuwa kwenye mwendo balaa,baada ya dk kama 2 dereva akaanza kupiga...
  18. N

    JamiiForums Tanzania Mnayemfahamu au mlio karibu na H. Baba, msaidieni haraka sana - amekwama

    Alifahamika kama mwanamuziki (sijui shughuli yake siku hizi). Hivi karibuni ameibuka na mtindo wa kumshambulia mwanamuziki Diamond kwa kila anachofanya. Imefikia hatua hata ya kujilinganisha naye kwa anavyonunua. Inasikitisha! Sielewi anafaidikaje au anakitafuta nini katika mashindano hayo na...
  19. Y

    JamiiForums Tanzania Je, uliwahi kufail/kufanya vibaya mitihani ajili ya mapenzi? karibu utupe mkasa

    Natumai hamjambo wakuu na weekend inaendelea uzuri. Tukiwa tunaendelea kuliombea taifa dhidi ya corona, karibuni hapa tubadilishane mikasa ya mapenzi ilosababisha kufail/kufanya vibaya wakati tukiwa shule. Nikiwa form two wakati mapenzi ya balehe yameshika kasi nilijikuta nafanya vibaya sana...
  20. Pascal Mayalla

    JamiiForums Tanzania Kamanda Lissu, Usisubiri Jibu la IGP Kuhusu Usalama Wako, Aliyekulinda na Shambulio Lile Yupo, Yeye Aweza, na Ataendelea Kukulinda, Welcome Back Home!

    Wanabodi, Nimesoma mahali kuhusu Kamanda Tundu Lissu kuandika barua mbili kwa IGP kuomba kuhakikishiwa usalama wake ndipo arejee nyumbani Tanzania. Mkuu Joka Kuu, asante kwa taarifa hii ya Lissu kuandika barua kwa IGP, kuhakikishiwa ulinzi na usalama wake kwanza ndipo arejee home, nyumbani...
Back
Top Bottom