karibu

PachiPara DL (DownLoad) Hyper Sea Story In Karibu (パチパラ DL(ダウンロード)ハイパー海INカリブ) is a downloadable game released on the Japanese PlayStation Store on July 2, 2008.

View More On Wikipedia.org
  1. Tripo9

    JamiiForums Tanzania Wapi kuna Sports bar maeneo karibu na Tabata Segerea?

    Sehemu ambayo ni Sports bar naweza angalia mpira wa ligi kama England / Achana na hizi bar za kawaida ukienda wanaweka mziki unaangalia gemu ya mpira kama vile unaangalia pilau. Sauti zero. Mi nataka sebemu mpira unausikilza na kuungalia ukiwa umetulia. Achana na vibanda umiza full joto...
  2. Bujibuji Simba Nyamaume

    JamiiForums Tanzania Masha Love karibu sana JAMIIFORUMS

    Masha Love bingwa wa kutingisha u nyonyo duniani, najua huku Kuna watu wengi hawakujui, napenda nikutambulishe rasmi kwa wananzengo wenzangu. Ile User ID yako ambayo haiko verified naiacha kwenye mabano.
  3. The Dictator

    JamiiForums Tanzania Harmonize kavuka mipaka. Mlie karibu na huyu mtu mshaurini vizuri

    Kwa akili ya kawaida mwanaume anaejielewa hawezi kufanya haya. Imefika wakati baada ya mazoea ya kusuka "twende kilioni" naona kaanza kuvaa na zile ''hereni kubwa" za akina mama. Muda utaongea. Tuendelee kuwa watazamaji.
  4. Makanyaga

    JamiiForums Tanzania Vyumba vya wanafunzi vya kupanga karibu na maeneo ya UDSM

    Kwa wale wote wanaohitaji kupanga Hostel karibu au jirani na maeneo ya UDSM, ARU, Chuo cha TAKWIMU mnakaribishwa. Hostel ipo Changanyikeni. Ina fensi, maji pia na umeme. Uwanja una peving na vyumba vyote vina Ceiling Board. Baadhi ya vyumba ni self contained na vina tiles. Vyumba vipo bei...
  5. PAZIA 3

    JamiiForums Tanzania Mechi ya taifa stars vs Tunisia 17/11/2020 kuchezwa saa 20:00Pm, karibu kwa updates

    Kuna mkanganyiko wa baadhi ya websites kuhusu mechi ya leo kuhusu muda utakapochezwa mchezo wa taifa stars na Tunisia, wengine wameandika saa nne usiku wengine saa mbili usiku, uhalisia ni mechi itaanza saa mbili kamili usiku, karibuni kwa updates za uhakika ====...
  6. R

    JamiiForums Tanzania Takriban watu 50 wamekatwa vichwa na wapiganaji wa Kiislamu nchini Msumbiji

    Takriban watu 50 wamekatwa vichwa na wapiganaji wa Kiislamu nchini Msumbiji, vyombo vya habari vya serikali vimeripoti. Wapiganaji hao waliugeuza uwanja wa kuchezea kandanda kuwa 'kichinjio' , ambapo walikatakata miili ripoti nyengine zinasema. Watu kadhaa pia walikatwa vichwa katika kijiji...
  7. ACT Wazalendo

    JamiiForums Tanzania Zanzibar: Vikosi vya SMZ Vyavamia Ofisi ya Ngome ya Vijana wa ACT-Wazalendo. Nassor Ahmed Mazrui atekwa

    Vikosi vya SMZ jana usiku walivamia Barza ya Mwanakombo; hii ni Ofisi ya Ngome ya Vijana wa @ACTwazalendo. Vitu walivyoiba ni Tv na Viatu, pia waliondoka na Mlingoti wa Bendera. Aidha leo hii Naibu Katibu Mkuu wetu upande wa Zanzibar ametekwa na watu wanaosemakana kuwa ni Vijana wa Jeshi...
  8. fungi06

    JamiiForums Tanzania Karibu tujifunze C++

    Kwanza kabisa bila kuboa tuanze na historia ya C++ ; C++ programming languagee ilitengenezwa (vumbuliwa) na Bjarne Stroustrup na timu yake ijulikanayo kama team bell maabara (at & t. USA) kusaidia utendaji kazi wa programm za computer kufanya kazi kwa njia ya usahihi. Toleo la awali mwanzo...
  9. A

    JamiiForums Tanzania Fursa mpya ya zao la Macadamia

    Habari yenu wakuu hapa JamiiForums. Kwa namna ya pekee kabisa tunatoa shukrani zetu kutoka kwa wadau mbalimbali waliotoa maoni juu ya tread yetu ya kwanza kuhusiana na zao la parachichi mkoani NJOMBE. Leo tunawaletea ELIMU juu ya zao la macadamia. KARIBU KWENYE FURSA MPYA YA MACADAMIA. NUTS AU...
  10. Infantry Soldier

    JamiiForums Tanzania Kuajiri ama kutoajiri ndugu wa karibu katika biashara zenu. Upi ni uamuzi sahihi na wenye manufaa (tija) zaidi?

    Shikamooni wakubwa zangu wote wa hapa JamiiForums. Ndugu zangu watanzania; Kuajiri ama kutoajiri ndugu wa karibu katika biashara zenu. Upi ni uamuzi sahihi na wenye manufaa (tija) zaidi? WANAOUNGA MKONO HOJA ya kuajiri ndugu wa karibu katika biashara zenu wanadai ya kwamba, ndugu yako...
  11. Samia atosha tukutane2030

    JamiiForums Tanzania Tangu nifanye ukarabati wa nyumba ya mama yangu, napata pesa nyingi karibu kila siku. Vijana tuamke baraka zetu wanazo mama zetu

    Habari wakuu! Mama yangu ana watoto 8 nikiwemo na mimi. Wanaume tupo 4 na wanawake wako 4. Kati ya watoto hao mmoja ambaye ni brother wetu yaani first born ndiye ana Pesa . Hizi milioni kumi, ishirini kwake zinapita mara nyingi tu sema ana roho mbaya sana. Anashindwa hata kuwajengea nyumba...
  12. The Assassin

    JamiiForums Tanzania Google phone app sasa inapatikana kwa simu karibu zote za Android

    Call app bora kabisa ya kwenye simu ya Google Phone App sasa inapatikana kwa karibu simu zote za Android kwenye Google Play Store kwa ajili ya kupakuliwa. Hii Google Phone App ilikua maalum na mahususi kwa ajili ya simu za Google, Pixel ila sasa inaweza kutumika kwa simu nyingine za Android...
  13. P

    JamiiForums Tanzania Trump tested positive for Coronavirus

    Trump na mke wake Melanie wakutwa na virus vya Corona. Rais wa Marekani Donald Trump na mkewe wakutwa na #CoronaVirus, amesema ataanza kukaa karantini haraka iwezekanavyo Rais Trump alipima baada ya msaidizi wake, Hope Hicks KUkutwa na maambukizi na kufanya maambukizi ya #COVID19 kuingia...
  14. H

    JamiiForums Tanzania Karibu handbags kwa bei rahisi

    Nawakaribisha dukani kwangu Manzese Tip top kwa bidhaa bora za handbags na pochi za wadada. Simu 0759891571
  15. Y

    JamiiForums Tanzania karibu ku-share top 5 ya mitandao yako ya kijamii

    natumai hamjambo wakuu, karibuni hapa ku-share top 5 ya mitandao yenu pendwa ya kijamii, binafsi listi yangu ipo hivi: 1.Jamii forums 2.Jamii forums 3.Jamii forums 4.Quora 5.Mocospace
  16. Prof Koboko

    JamiiForums Tanzania CCM tambueni kuwa Tundu Lissu siyo muoga na sheria anaijua vizuri. Mwisho wenu uko karibu

    Yaani CCM walivyopaniki na kuanza kutukana katika kampeni zao ni wa kuonea huruma. Tena wasimfananishe Lissu na Dr Slaa au LOWASSA, haya yote ni makali ya CCM. Lissu ni mpinzani halisi ambaye hata siku moja hawezi kuisema vizuri CCM wala mgombea wake. Kuamini kua CCM wengi wao hawatumii akili...
  17. Libya

    JamiiForums Tanzania GE2020 Bernard Membe: Hatoki mtu hapa kwenye kinyang'anyiro cha Urais. Septemba 15 kinaanza kimbunga kumbakumba

    HATOKI MTU HAPA! Wale wote wanaodhani kuwa Nitajiondoa katika kinyang'anyiro cha Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia ACT Wazalendo, wanaota ndoto za Mchana. Kimbunga kitakachoanza tarehe 15 September 2020 October ni Kimbunga kumbakumba! Watanzania kaeni chonjo!
  18. fenestra rotunda

    JamiiForums Tanzania Tusijidanganye, kwa aina ya uongozi na mifumo ya nchi hii, kamwe hatuwezi kuwa hata karibu na Ulaya

    Hilo lipo wazi, ukiangalia ulaya ulivyo unaweza ukastaajabu na kujiuliza tunakosea wapi. Designers wetu wa miundombinu na mipango miji sielewi huwa wanatoa wapi mifano ya kazi zao. Hapa chini ni highway za uholanzi,unaweza kuota kuna gap kubwa saana kati ya commuters wanaoenda na wanaorudi...
  19. William Mshumbusi

    JamiiForums Tanzania Hoja za Tundu Lissu kuhusu wafanyakazi Kama NI kweli NI kiberiti karibu na karibu na pipa la petrol akipita mwehu karibu zinaweza kulipua taifa.

    Hivi Tundu lissu NI mkweli kweli!? Kama wafanyakazi tena wa serikali wakibinywa wanashindwa kujitetea Basi hakuna kundi lolote kwenye jamii linalowezaweza kufurukuta kujitetea linapokandamizwa au Kuonewa. Kuonewa wafanyakazi NI hatua ya juu kabisa ya uonevu katika utawala. Usitegemee...
  20. Pascal Mayalla

    JamiiForums Tanzania GE2020 Je, Halima Mdee amefanya nini Kawe kwa miaka 10 ya ubunge wake kustahili kuendelea? Sikia ya Askofu Gwajima, 28 Oktoba fanya uamuzi sahihi

    Wanabodi, Mimi ni mkazi wa Kawe, kwa vile sasa tuko kwenye kampeni za uchaguzi, ili tumtendee haki Mbunge wetu aliyemaliza muda wake, Mhe. Halima Mdee, ambaye, baada ya kuwa Mbunge wa Kawe kwa vipindi viwili mfululizo, na sasa anaomba tena tumchague, hivyo nauliza kama kuna mtu yoyote anaweza...
Back
Top Bottom