karibu

PachiPara DL (DownLoad) Hyper Sea Story In Karibu (パチパラ DL(ダウンロード)ハイパー海INカリブ) is a downloadable game released on the Japanese PlayStation Store on July 2, 2008.

View More On Wikipedia.org
  1. T

    JamiiForums Tanzania Natafuta shamba mkoa wa Pwani

    Habari wadau wa ufugaji. Natafuta shamba liwe karibu na barabara za mitaa kiasi nilichonacho ni laki na nusu kwa kila heka. Nahitaji heka kumi. pia lisiwe Na migogoro yeyote.
  2. D

    JamiiForums Tanzania Nataka mwanamke mtu mzima tuwe marafiki wa karibu sana

    Natafuta mwanamke mwenye kujielewa ili tuwe wapenzi:- 1) umri kati ya 25 mpaka 45 2)ambaye yupo tayari kucheki afya(yani tukapime wote) 3)mwenye kujishughulisha na chochote 4)muwazi Naomba ni pm weka namba tuwasiliane.mi nipo dar es salaam,nina miaka 27
  3. Leslie Mbena

    JamiiForums Tanzania Rais John Magufuli, karibu Morogoro kwa Chifu King'alu Mwana wa Chifu Msumi

    Leo 20:30hrs 11/02/2021 Karibu Rais John Pombe Magufuli,Karibu katika Mji wa Kihistoria,Karibu Morogoro,mahali ambapo Safina ya Nuhu ilitia nanga baada ya Gharika kuu iliyoua watu wote duniani, karibu Mkoa wa Morogoro ambao eneo kubwa ni hifadhi za Wanyama wote,Ndege wote,na viumbe vyote...
  4. polokwane

    JamiiForums Tanzania MOROGORO kuna nini, mbona Wahindi karibu wote wamefunga maduka kwa wiki mbili sasa?

    Kuna nini Morogoro? Mbona maduka ya Wahindi karibu yote yamefungwa? Tatizo nini? wiki ya pili sasa maduka mengi ya Wahindi yamefungwa, kuna nini Morogoro? Je, ni TRA au tatizo ni nini?
  5. Msemaji_

    JamiiForums Tanzania Biashara gani naweza fanya karibu na hospital ya rufaa

    Habarini wakuu, naombeni mnisaidie biashara gani naweza ifanya karibu na eneo la hospital ya rufaa, maana nina kakiwanja eneo hilo ila sijui nifanye biashara gan itakayo endana shunguli za hospital.
  6. B R A C E L E T

    JamiiForums Tanzania Album ya Rayvanny "Sound from Africa" uchambuzi, ratings!!, cons and pros, Karibu.

    Album ya Rayvanny "Sound from Africa" uchambuzi, ratings!!, cons and pros, Karibu. Raymond Shabani Mwakyusa a.k.a Rayvanny kaachia album yake ya kwanza toka anze Carrier yake ya muziki miaka kadhaa iliyopita. Jina la Album : Sound from Africa Wasanii walio-shirikishwa jumla 20 13...
  7. kavulata

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania BBI yamsogeza Kenyatta karibu na zawadi ya Nobel na Mo Ibrahim

    Nionavyo mimi tatizo kubwa la Kenya ni ukabila. Lengo kuu la BBI Bill ni kupunguza ukabila Kenya kwa kumfanya Rais wa nchi asiwe lazima awe Mkikuyu au aungwe mkono na wakikuyu. BBI inaelekea huko. Si ajabu mwaka 2022 kwa mara ya kwanza mjaluo akawa rais wa kenya.
  8. N

    JamiiForums Tanzania Rais karibu Tabora; Ombi letu omba takwimu za vyumba vya madarasa na madawati yaliyokamilika

    Mh tunaomba ukifika mkoa wa Tabora omba viongozi wakuambie tangu shule zifunguliwe wametatuaje changa moto ya upungufu wa madawati na vyumba vya madarasa wakikudanganya siye tutasema ukweli, Ni ajabu na aibu sana mkoa ambao una gereza kubwa uyui, una miti mingi ya asili ya mbao watoto bado...
  9. N

    JamiiForums Tanzania Karibu Juma Nkamia Simba upige spana makanjanja,this is too much

    Sina mengi ya kusema lakini enough is enough Tutu vengere a.k.a Rage aliweza enzi hizo kuna kanjanja moja tu lililokuwa linaivuruga simba na habari z auongo likiwa redio one kwa sasa limeajiriwa kwingine na linaendeleza libeneke lake kama kawaida,Radio one walipigwa stop kusema na kutangaz a...
  10. The Palm Tree

    JamiiForums Tanzania Loan Calculator ya HESLB ina kasoro gani? Huyu mnufaika Loan Board anadaiwa mkopo wa karibu Bilioni 48!

    Hebu kila mtu atazame kwa umakini Risiti ya Mshahara (Salary Slip) ya mtumishi huyu (Mwalimu) aliyesoma kwa pesa za bodi ya mikopo - HESLB... Ni mjadala unaoendelea ktk group moja la WhatsApp huko na hiki ni kilio cha mwalimu huyu ambaye sasa yuko very frustrated na hajui afanyeje ku - overturn...
  11. S

    JamiiForums Tanzania Kwaheri Muungano, Karibu Tanganyika

    Halafu tunapiga miaka kumi mingine kwa Magufuli ili kujipanga kufanya Uchaguzi tukiwa kama Tanganyika. Wapinzani mtafanya nini ,tumewapima Uchaguzi uliofanyika hamna kitu. Yaani yale majigambo yenu wapinzani nikaona mara hii Tanzania hapatakalika, huku CHADEMA inawaka moto akiongoza yule...
  12. W

    JamiiForums Tanzania Msichana (mke) mwenye mapenzi mema karibu tuyajenge. (Huu ni mwaka wa kujiunga na chama cha wanandoa)

    Ndugu zangu wana JF huu ni mwaka wa pekee katika historia ya maisha yangu ni mwaka ambao natarajia kuaga rasmi katika chama kikuu cha useja na kupewa usajili wa kudumu katika chama cha wanandoa. Japokuwa sina mchumba kwa sasa na kwa kuwa tunaishi kwa imani ni matumaini yangu kuwa...
  13. sky soldier

    JamiiForums Tanzania Hawa wateja wanaoukuja kila mara dukani na kutuhangaisha muda mrefu bila kununua kitu tunadili nao vipi?

    Hawa ni watu ambao yani kila baada ya siku kadhaa wanakuja dukani ila hawanunui chochote zaidi ya kukuhangaisha. - Wanataka bidhaa za juu, utapanda ngazi -Utaenda hadi duka lingine kutafuta bidhaa wanayohitaji -Utapukuta vumbi bidhaa wanayoulizia -Kama ni Tv basi utaitoa kwenye boksi wao...
  14. Magari ya Biashara

    JamiiForums Tanzania Tunauza Viwanja na Mashamba kwa bei nafuu

    Habari wana JF.Nina hekari 2,000 za shamba maeneo ya mazinde wilaya ya korogwe mkoani Tanga. Ninatumia heka 1,000 tu.Zimebakia heka 1,000 kwa mwekezaji yoyote wa kilimo aje. Pembeni limepakana n mto ambao haujawahi kukauka maji. Nauza 1,000,000 Kwa Heka 1. DIRECTION YA SHAMBA LILIPO Ukiwa...
  15. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania Watu karibu 700 wafariki kwa COVID-19 Ujerumani

    Watu 698 wamekufa kutokana na ugonjwa wa COVID-19 kwa muda wa saa 24 zilizopita nchini Ujerumani, hii ikiwa ni kulingana na taasisi ya Robert Koch inayoshughulikia magonjwa ya kuambukiza nchini humu. Idadi hiyo ni ya pili kwa ukubwa kurekodiwa kwa siku moja tangu mripuko wa maradhi hayo...
  16. Millionaire Mindset

    JamiiForums Tanzania Karibu kwenye njia ya mwendokasi kuelekea utajiri na mafanikio, huku ni spidi kali kama unaogopa basi shika

    Njia ya mwendokasi ni njia spidi kali, kuingia njia hii lazima kwanza uachane na hofu, ukihofu mara nyingi utakanyaga pedali ya breki bila sababu, na spidi yako itapungua na utapitwa na kuachwa nyuma. Njia hii ina changamoto nyingi, na ndiyo maana watu wengi wanaamua kupita kwenye njia ya mguu...
  17. AKILI TATU

    JamiiForums Tanzania Msaada wa lodge au motel karibu na Ubungo terminal

    Wandugu..natazamia kupata ugeni hivi karibuni..msaada mwenye kujua affordable lodge au motel karibu na Ubungo bus terminal ..nimesearch google sijaona affordable . Rent ianzie 20-35
  18. kyagata

    JamiiForums Tanzania Jirani yangu anapenda kuanika chupi zake karibu na chumba changu

    Wakuu, sijui nifanyaje kumuambia huyu jirani yangu wa kike aache kuanika nguo zake za ndani karibu na dirisha langu. Imekuwa ni mazoea sasa, kila weekend kurundikiwa machupi kwenye kamba. Wale mtakaotaka picha ya hizo chupi, nimeiambatanisha hapo chini. Asanten
  19. comte

    JamiiForums Tanzania Maradona atakuwa amesingiziwa ati kalala na wanawake karibu 8,000!

    https://www.yahoo.com/news/maradonas-unknown-children-battle-over-180925878.html
  20. J

    JamiiForums Tanzania Upinzani unazidi kumuweka mbali Tundu Lissu na kujiweka karibu na Serikali za CCM

    Kitendo cha Wabunge wa CHADEMA kuapishwa Dodoma chini ya kiongozi mkongwe na mwenyekiti wa Bawacha ni kujitenga na falsafa za Tundu Lisu za kususa na "kugomea" Kitendo cha ACT Wazalendo kujiunga na SUK huko Zanzibar ni ishara tosha ya kumtenga Tundu Lissu na wakili wake Amsterdam huko ICC...
Back
Top Bottom