PachiPara DL (DownLoad) Hyper Sea Story In Karibu (パチパラ DL(ダウンロード)ハイパー海INカリブ) is a downloadable game released on the Japanese PlayStation Store on July 2, 2008.
Huu ni ushauri kulingana na mtazamo wangu.
Katika hili swali watu walio wengi hukosea pasipo kufahamu nini hasa hasara zake. Binadamu wengi sisi sio wakamilifu sana wala sio watenda mema sana, lakini pale tunapo guswa huwa tunajaribu kujitoa kwa hali na mali.
Utakuta mtu anawahi kushikwa na...
Chanzo:Tony Alfred on twitter.
Maoni yangu:
Kuna mtu/watu watakuwa wanajisikia vibaya sana kusoma tweet hizi(maneno haya) na wajue tu watakumbukwa kwa matendo yao na si kwa structures watazotuachia kwani wako wengine watakaoikuja kujenga structures zingine bora zaidi kama ambavyo wao sasa...
Kwa madalali wote wa Mwanza; ninatafuta kiwanja cha eka moja karibu na ziwani Nyegezi.
Wasiliana nami kwa PM ukionyesha picha ya google maps kuonyesh eneo la kiwanja chako.
Napenda maeneo karibu na SAUT au Royal Sunset
MCB, benki ya kanisa langu pendwa Katoliki, lakini kitendo mnachonifanyia sasa ni cha kihuni kabisa. Mlisema nikiwa mahali ambapo hakuna tawi la Mkombozi naweza kuweka hela kupitia TPB.
Pesa imewekwa Alhamisi, haikuonekana kwenye akaunti. Ijumaa nikafunga safari toka Bagamoyo hadi St Joseph...
Sijawahi kufanya biashara ya aina yeyote isipokuwa nimefanikiwa kukusanya kiasi cha Tshs 25/- milioni ambazo nafikiria kujiajiri kwa kufanya biashara.
Naomba wazoefu wa Jiji la Dar mnipe ushauri juu ya biashara ya kufanya tafadhali.
Maoni ya wadau:
Ni Mbunge ambaye kwa Wiki hii ya Pili sasa amekuwa akionyesha ' Ukomavu ' wake Kisiasa lakini ' Ucha Mungu ' mkubwa uliojawa na Hekima hadi Busara kwa upande Watendaji wa Chama Tawala ( sasa Wastaafu ) Lakini kama hiyo haitoshi kwa Kauli zake za Leo Bungeni ni kama ameshajua hatorejea tena...
DKT FAUSTINE NDUGULILE ATENGULIWA
Rais John Pombe Magufuli amemtengua Dr Faustine Ndugulile Naibu Waziri Wizara ya Afya Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto na Mbunge wa Kigamboni.
Nafasi hiyo imechukuliwa na Dkt Godwin Mollel, Mbunge wa Siha, aliyeteuliwa Mei 16 kushika nafasi ya Dkt...
Wakuu poleni kwa baa la korona
Hakuna watu wasomi na wadadisi wa maandiko kama wasabato. Hakuna watu makini katika swala la lishe kama Wasabato. Hakuna watu wenye msimamo na imani yao kama Wasabato
Lakini swali langu ni moja: Ni kwanini mabinti wengi wa kisabato huzalia nyumbani kabla ya ndoa...
Personal body guard wa rais wa Nigeria ndugu Mohamadou Buhari afariki dunia jana. Ofisi ya rais imetaarifu Lawal Mato alifariki kwa kisukari ambayo imemsumbua kwa muda wa miaka mitatu.
Ila Mahasimu wa Buhari ambao bado wanaendelea kusheherekea kifo cha aliyekuwa powerful chief of staff wa...
Mpaka leo huwa naikumbuka Jumamosi ile niliopata ajali.Kiufupi nilipanda pikipiki bahati mbaya hakuwa ameiwasha na tuko kwenye mteremko mkali,dereva nikamuuliza nini hiyo maana nilisikia ilivyokata break hakunijibu. Pikipiki ilikuwa kwenye mwendo balaa,baada ya dk kama 2 dereva akaanza kupiga...
Alifahamika kama mwanamuziki (sijui shughuli yake siku hizi).
Hivi karibuni ameibuka na mtindo wa kumshambulia mwanamuziki Diamond kwa kila anachofanya. Imefikia hatua hata ya kujilinganisha naye kwa anavyonunua. Inasikitisha!
Sielewi anafaidikaje au anakitafuta nini katika mashindano hayo na...
Natumai hamjambo wakuu na weekend inaendelea uzuri.
Tukiwa tunaendelea kuliombea taifa dhidi ya corona, karibuni hapa tubadilishane mikasa ya mapenzi ilosababisha kufail/kufanya vibaya wakati tukiwa shule.
Nikiwa form two wakati mapenzi ya balehe yameshika kasi nilijikuta nafanya vibaya sana...
Wanabodi,
Nimesoma mahali kuhusu Kamanda Tundu Lissu kuandika barua mbili kwa IGP kuomba kuhakikishiwa usalama wake ndipo arejee nyumbani Tanzania.
Mkuu Joka Kuu, asante kwa taarifa hii ya Lissu kuandika barua kwa IGP, kuhakikishiwa ulinzi na usalama wake kwanza ndipo arejee home, nyumbani...
Kabla sijaleta stori yangu, kila ambaye mtu wake wa karibu (mke/Mme/ndugu/rafiki/mfanyakazi) ambaye huwa unamsaidia Mambo mengi kuanzia ushauri fedha na kumwambia Siri zako nyingi za maisha kama mipango yako ya maendeleo kama kununua Kiwanja/ gari/ nyumba kupata kazi na baadae kukugeuka Kwa...
Waziri Ummy Mwalimu akitoa taarifa juu ya mwenendo wa Virusi vya Corona nchini amesema leo asubuhi wamepokea vipimo vya wagonjwa watano kutoka maabara ya taifa, watatu wanatoka Tanzania Bara na wawili wakitokea Zanzibar.
Idadi imefikia 19 akiwepo mgonjwa mmoja aliyetangazwa na Waziri wa Afya wa...
Hapo vip!
Hii ni mitambo inayotengenezwa Marekani ni mitambo Bora na imara kuliko mitambo ambayo umeshawahi kutumia kutoka katika makampuni mbalimbali. sifa ya mitambo hii. -hata jua likiwa hafifu panel zake zinacharge betry kwa kasi ya kubwa.
-Hata jua lisipo toka week nzima unapata umeme...
Salaam wanaJF!
Tezi la karibu na kinena (juu ya paja karibu na kinena) limevimba na linanisababishia homa.
Kwa experience ni kwamba, tezi (la kwenye kinena) huvimba iwapo tu kuna kidonda au jeraha mguuni n.k.
Lakini hapa leo sina kidonda wala jeraha lolote lakini tezi limevimba na linaniletea...
Nimesoma gazeti la The Citizen la siku ya leo ambapo gazeti hilo limegusia athari za ugonjwa wa corona katika sekta ya utalii hapa nchini hasa kwa mkoa wa Arusha.
Katika habari hiyo,gazeti limegusia madhara machache yaliyojitokeza mpaka sasa ambapo ni pamoja na fleet za tourist vehicles kuwa...
Kwanza nampa pole huyu kijana mwenzangu hali iliyompata haikuwa nzuri mtu yeyote aliyepitia aliyoyapitia Tundu Lisu anaweza Fanya anayoyafanya kwa sasa asipopata washauri wazuri
Mpaka sasa haijajulikana ni nani alimpiga zile brancos Tundu Lissu yaani mfano wa Risasi
Yaweza kuwa Chama chake...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.