Hivi hii kasumba ya mabinti wengi wa Kisabato kuzalia nyumbani ni jambo la kawaida?

guwe_la_manga

JF-Expert Member
Oct 20, 2019
1,225
2,000
Wakuu poleni kwa baa la korona

Hakuna watu wasomi na wadadisi wa maandiko kama wasabato. Hakuna watu makini katika swala la lishe kama Wasabato. Hakuna watu wenye msimamo na imani yao kama Wasabato

Lakini swali langu ni moja: Ni kwanini mabinti wengi wa kisabato huzalia nyumbani kabla ya ndoa?

Kama haujawahi kufikiria hivi hebu angalia majirani zako ambao ni Wasabato.

Tujadili kwa staha penye walakini nakaribisha masahihisho.
 
guwe_la_manga

JF-Expert Member
Oct 20, 2019
1,225
2,000
Hayo yote ya msimamo na kushika sheria yanatakiwa yalenge kumshinda shetan na majaribu yake,kwahio ukiona hivyo

Jibu ni kwamba shetani amewashinda,hakuna kingine

Sent using Jamii Forums mobile app
Kabisa,angalia hata taaluma ya wanafunzi wenye mrengo wa kisabato uone ulivyo,angalia hata za kitaaluma zenye mrengo wa kisabato katika matokeo ya msingi au sekondari yalivyo.
 
mbu wa dengue

JF-Expert Member
Jun 2, 2014
3,089
2,000
Mkuu iko hivi kisaikolojia;

Sio kwa mabinti wa kisabato tu peke yako bali kwa mabinti wote ambao huwa na misimamo na kujitunza kwa muda mrefu bila kushiriki mapenzi na wanaume huwa mwishoni uvumilivu unawashinda.

Na akiviziwa na kupatikana na mwanamme mmoja tu huaribikiwa na kusahau kujilinda na kujikuta mimba inaingia kirahisi.
Tofautisha na binti ambaye alianza kujihusisha na mapenzi mapema huwa wanaishi kama kunguru kwa machale machale, na hata ikitokea mimba imeingia anashtuka mapema na kwenda kuflash na maisha yanaendelea.
 
Ahahaha,
Nimekusoma mkuu nashukuru kwa masahihisho
 
Lovebird

JF-Expert Member
Sep 27, 2012
3,001
2,000
Wapi palipoandikwa kwamba wanatakiwa kuzalia/kupata mtoto ukiwa ndoani tuu?
 
kibaravumba

JF-Expert Member
Dec 21, 2012
5,475
2,000
Kuna ujinga mwingi wanafundishwa kanisani.

Kwanza wanaambiwa asiolewe na mtu asiye na kazi ya kueleweka.
Wenye kazi za kueleweka ni wachache na wengi wameshaoa tayari.
Vijana wengi wanafanya shughuli za kubangaiza au umachinga.Hata hivyo wengi wa jinsi hii ndio wanaotoboa kimaisha.Kuna wafanya biashara wakubwa wametoka kwenye kundi hili ambalo linadharauliwa na wengi wakiwemo wasabato

Pili huwa wanajengwa kuamini kuwa ni lazima waolewe na msabato mwenzao.
Sasa tatizo linakuja tena kuwa kubwa pale wanapowekewa sharia na kibano hata cha kukutana wakiwa marafiki ama wachumba.Ikitokea wakawa wanakutana kanisa linaweza kuwafuta ushirika.
Kwa hiyo unakuta kutokana na mahitaji ya mwili,binti anakuwa na muhuni huko nje na anagongwa vilivyo na mvulana anakuwa na vibinti tofauti vya kujiliwaza kila anapopata mihemko ya kihisia.Wakikutana kanisani wote wanajidai wasafi na washika sheria.Mwisho wa siku binti anajikuta kazidiwa na kudungwa mimba.Hapo anakosa ujanja

Umenifungua macho
Yaweza kuwa ndiyo sababu hata yale makambi yao ya kidini hasa kwa wanafunzi huwa na kesi nyingi za ngono isiyo salama
Nitachimba zaidi kuhusu hili
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom