jinsi ya

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Bubolwa Chura

    JamiiForums Tanzania Msaada: Kwa siku nina access na internet almost masaa 4, nisaidie jinsi ya kutumia internet kuingiza kipato

    Wakuu Igweeeee! Kwa muda kama wa miezi miwili hivi niko sehemu nimejishikiza. Baada ya muda wa kazi naona nina muda mwingi ambao nina access na internet ambayo nahisi nikipata kitu constructive inaweza kunisaidia kuniingizia kipato. Ungekuwa wewe ungeitumiaje? Au fikiria hivi, umefungiwa ndani...
  2. T

    JamiiForums Tanzania Hivi kuna jinsi ya kuzuia ufa wa kioo cha gari au kuziba?

    Kuna kioo cha gari cha mbele.. kilianza kuwa na ufa mdogo.. siku zinavyokwenda ndio ule ufa unazidi kuongezeka. Je, kuna jinsi ya kuzuia Huu UFA usiendeleee.. au kuna jinsi ya kuziba huu UFA?
  3. Slow learner

    JamiiForums Tanzania Msaada: Jinsi ya ku unlock simu

    Habari wakuu! Naomba kwa anayefahamu jinsi ya Ku unlock simu ya Nokia ya torch iliyosahaulika password anisaidie tafadhali Naomba kuwasilisha.
  4. kikoozi

    JamiiForums Tanzania Mwenye kujua jinsi ya kupata TIN Number online

    Naombeni msaada wenu mwenye kujua jinsi ya kupata TIN number online wakuu.
  5. Acehood

    JamiiForums Tanzania Msaada jinsi ya kununua shares za makampuni ya nje ya nchi

    Wakuu naomba msaada wa kujua kama kuna uwezekano wa mimi mtanzania kununua shares za kampuni yoyote ya nje ya nchi, hasa Ulaya. Naomba kama kuna aliyeweza kufanya hivyo anisaidie kunipa mawazo.
  6. Homeboy255

    JamiiForums Tanzania Msaada: Jinsi ya kufanya maombi Ardhi university

    Mbna hawanipi payment fee .. wanasema application pending
  7. Nanyaro Ephata

    JamiiForums Tanzania How to Negotiate Anything with Anyone Anywhere Around the World

    Jina la Kitabu.How to Negotiate Anything with Anyone Anywhere Around the World Jina la Mwandishi.Frank Accuf Mchambuzi.Nanyaro EJ Utangulizi: Mwandishi anasema kitabu hiki ni mwongozo kwa yeyote ambaye angependa kufanya majadiliano(Negotitions)na watu mbalimbali au taasisi mbalimbali za...
  8. canular

    JamiiForums Tanzania Msaada jinsi ya kurudisha chatting za whatsap

    Wakuu naomba msaada wenu jinsi ya kurudishaa charting za SMS kw
  9. Komeo Lachuma

    JamiiForums Tanzania Jinsi ya kuzuia mtu kuona kama nimesoma text yake kwenye WhatsApp group

    Wadau mimi nina tatizo moja. Tupo kwenye group la ukoo lina mambo mengi na watu wengi. Sometimes nakuwa busy sitaki kujihusisha na mambo yake. So huwa kama vipi nasoma tu text kama ni muhimu najibu kama si muhimu nataka niwe busy. Sasa tatizo ni ile hali ya mtu aliyetuma text yeye kujua kuwa...
  10. M

    JamiiForums Tanzania Wapi naweza kupata 'hearing aid device' kwa bei rahisi?

    Za muda huu wakuu Nilishapitia threads mbalimbali humu Jf hususani katika ishu za watu walikuwa wanasumbuliwa na tatizo la kutosikia (hearing loss) but nami ni muhanga wa hilo nimepambana sana kutumia madawa kama ushauri wa daktari nilitumia kama miezi nane dawa aina za neurosupport katika...
  11. Makirita Amani

    JamiiForums Tanzania Sababu kuu tano (5) za kizazi cha sasa kupitia changamoto nyingi na jinsi ya kuondoka kwenye changamoto hizo

    Kitu pekee tunachojifunza kwenye historia ni kwamba hakuna tunachojifunza kwenye historia, hiyo ni kauli aliyowahi kuitoa Mwanafalsafa Hegel. Ni kauli nzito na inayopaswa kutufundisha mengi, lakini kama Hegel alivyoeleza, haitufundishi chochote. Iko hivi rafiki, hakuna kitu kipya kinachotokea...
  12. M

    JamiiForums Tanzania Jinsi ya kuondoa Activation lock (Icloud unlock) kwenye iPhone

    Habari wandugu, Naomba kuuliza kwa waelewa wa mambo jinsi ya kuondoa activation lock (Icloud unlock) kwa apple devices i.e iphone, ipod, ipad, apple watch etc. Pia isiwe bypass/jailbreak. Yaani baada ya kuondoa iweze kupokea latest ios update na pia waweza reset. Naomba kuwasilisha
  13. srinavas

    JamiiForums Tanzania MJADALA: Je, ni kwa namna gani YouTube humlipa mmiliki wa account?

    MASWALI YALIYOULIZWA NA WADAU KUHUSU MADA HII Habari ndugu zangi , Kama kichwa kinavyouliza hapo , ningependa kujua ni kwa namna gani kupata subscribers wengi na viewers wengi kwenye you tube , kunaweza kukunufaisha mmiliki... Tafadhali kama kuna mwenye majibu , ushuhuda, uzoefu au elimu yoyote...
  14. LIKUD

    JamiiForums Tanzania Jinsi ya Ku view status ya Mtu WhatsApp Bila yeye kuona kama umeview

    1. Screenshot then zoom. 2. Mimi na wewe tufanye mpango itengenezwe App maalumu ambayo itakufanya u view status ya mtu Bila mhusika kujua kama umeview. We will make a millions and millions. Asilimia kubwa ya status huwa ni madongo. Kwa mujibu wa wataalamu hakuna kitu kinauma kama mtu...
  15. Kizzy Wizzy

    JamiiForums Tanzania Changamoto za Ajira Portal

    1. Kama wewe umesomea Bachelor of Engineering (B.Eng) kwa mfano umesomea Bachelor of Engineering in Mechanical Engineering/Electrical Engineering kama nafasi imetangazwa na imetaja inahitaji mtu mwenye Bachelor of Science in respective coarse my dear uki apply inagoma, and vice versa. 2. Mfumo...
  16. F

    JamiiForums Tanzania Simba timu mnayo, ajirini mtaalam ama wafundisheni saikolojia wachezaji wenu mtatwaa CAF Champions League

    Habari wadau, Mimi mwanayanga. Ila namkubali mo kwa uwekezaji wa Simba. Natazama sana mashindano ya CAF Champions League kila msimu. Mimi ni die hard African football fan boy. Natazama CAF Champions League kuliko UEFA. Mashindano ya CAF ni magumu sana na yana tofaut sana na UEFA, maana ni...
  17. JituMirabaMinne

    JamiiForums Tanzania Jinsi ya kuifanya gari yako itumie mafuta vizuri zaidi kuliko ulivyozoea

    Habari Wakuu. Leo nataka tuangalie mambo machache ambayo kila mwenye gari anaweza kuyafanya mwenyewe(DIY) ili kuhakikisha gari yake inatumia mafuta vizuri na hivyo kumpunguzia gharama. Yafuatayo ni mambo ambayo kama ukiyafuata gari yako itatumia mafuta vizuri lakini pia italifanya gari lako...
  18. R

    JamiiForums Tanzania Njoo tufundishane jinsi ya kutongoza. Swaga za hatari za kum-win msichana

    Habari wana JamiiForms A.K.A Great thinkers nawakubali hatar kuna watu humu wana nondo si za nchi hii sasa leo nimeleta mzigo tu discuss kwa kina ili kila mtu apate swaga za kuchomekea pale anapokutana na mwanamke asiyemfahamu for first time achilia mbali zile habari za kula tunda kimasihara...
  19. Pdidy

    JamiiForums Tanzania Jinsi ya kuishi mda mrefu kwenye mahusiano

    HOW TO SURVIVE IN A LONG-DISTANCE RELATIONSHIP/MARRIAGE The word survive is used because everyone's desire is to live within reach of their partner. But sometimes life gives you a good partner yet circumstance separates you physically. How do you cope? 1. TRUST EACH OTHER Trust is the reason...
  20. Sky Eclat

    JamiiForums Tanzania GE2020 Ujumbe kwa CCM: CHADEMA wanajua wanachokitaka na wanajua jinsi ya kupata wanachokitaka

    Kwa maneno yao, wameonewa kiasi cha kutosha, wamefungwa kiasi cha kutosha, wamepigwa risasi kiasi cha kutosha. Wako tayari kuingia barabarani watakapo dhurumiwa kura. Sasa basi. Imetosha.
Back
Top Bottom