jinsi ya

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. must be

    JamiiForums Tanzania Jinsi ya kujisajili na PSSSF kwa watumishi waliotoka mifuko mengine

    PSSSF Member Portal nimejaribu kutumia link hiyoo kujaribu kujisajili ili niweze kujuaa taarifa zangu, sijafanikiwa. Msaada kwa anayejuaa jinsi ya kujisajili
  2. YEHODAYA

    JamiiForums Tanzania Jinsi ya kuwachuja wagombea Ubunge maelfu waliotia nia kupitia CCM

    Mimi nimeshiriki interview nyingi na najua maswali ya mitego watia nia wakiwa wengi hata wajae uwanja wa taifa wakigombea nafasi moja. Kuisaidia CCM kuchuja hao maelfu walioomba ni kazi ndogo tu na rahisi Swali moja tu la kwanza la kuwachujia ni kuuliza matawi waliko wanapoishi wameyasaidiaje...
  3. Rangi ya buti

    JamiiForums Tanzania Msaada wa jinsi ya kuweka MS Office kwenye Window 10

    Habari humu jamvin! Nina PC yangu Lenovo window 10 nikitaka kuweka program yeyote inakataa...inahitaji trusted programs Nitafanyaje na ninahitaji kuistall MS Office.
  4. S

    JamiiForums Tanzania Naomba kujuzwa jinsi ya kupata followers laki 1 kwenye mtandao wa Twitter

    Habari wadau, Kama kichwa cha habari kinavyojieleza. Mimi ni mtumiaji wa mtandao wa twitter toka mwaka 2015 lakini mpaka sasa nimefanikiwa kuwa na followers 500+. Kwa mujibu wa wadau, followers wa twitter ni hela kuna namna mbalimbali ya kuingiza pesa kwa kutumia mtandao wa twitter lakini...
  5. Wang Shu

    JamiiForums Tanzania Jinsi ya kupika tambi za papayu/papai

    Leo hii tujifunze jinsi ya kupika tambi za mapapayu,usishangae ni katika ubunifu wa mapishi MAHITAJI Tambi za mapapayu (papayu lilokatwa maganda na kukatwa kwa urefu kama tambi) kiasi bakuli moja la kiasi Tui zito kikombe 1 Tui jepesi kikombe 1&1/2 Sukari kikombe 1 Iliki kiasi...
  6. U

    JamiiForums Tanzania Karibuni tuelekezane jinsi ya kuweka akiba

    Habari wanaJF, Hali ya uchumi imekuwa ngumu kwa watanzania wengi. Naamini ili kupata maendeleo njia mojawapo n kujenga tabia ya kuweka akiba. Hivyo nakaribisha mawazo tuweze kupata elimu/njia mbalimbali ambazo zinaweza kusaidia tufundisha namna ya kuweka akiba kwa matumizi ya baadae.
  7. N

    JamiiForums Tanzania Jinsi ya kuchepuka bila kukamatwa (Kitabu)

    Kuna aina mbili za wanadamu, wanaochepuka na wasiochepuka. Sio lengo la andiko hili kuelezea kwanini wanachepuka. Humu nimeelezea tu mbinu za kuendesha maisha ya kuchepuka kwa tahadhari. Kitabu hiki ni kwa ajili yako wewe ambaye umeshajijua kuwa upo kwenye kundi la wanaochepuka, na tayari...
  8. Kawe Alumni

    JamiiForums Tanzania Benki ya Dunia yaitangaza Tanzania kuingia rasmi katika orodha ya Nchi zilizo katika uchumi wa kati

    Leo 1 of july 2020 Tanzania imeingia rasmi katika orodha ya Nchi zilizo katika uchumi wa kati "middle income economies " Tanzania imeweka rekodi hii haraka kuliko ilivyotarajiwa hapo awali Benki ya Dunia na taasisi nyingine duniani zimeendelea kumwaga sifa za pongezi kwa Rais Magufuli kwa...
  9. Timtim

    JamiiForums Tanzania Fahamu mambo mbalimbali kuhusu Kilimo cha Korosho

    Naomba niwasilishe kutaka kuelezwa zaidi juu ya kilimo cha Korosho kwa Mkoa wa Pwani. Naomba mwenye kuelewa atufahamishe mimi na wengine gharama toka awali za kupanda mikorosho katika shamba la ekari 20. Gharama na takwimu hadi kuvuna na kiasi cha mavuno kwa mwaka. Natanguliza shukrani zangu...
  10. Nafaka

    JamiiForums Tanzania Nani anaweza nisaidia jinsi ya kuverify location skrill

    Nahitaji kuverify location skrill kila document ninayo upload inakataliwa nani anaweza nipa ujanja
  11. Ahmad Abdurahman

    JamiiForums Tanzania Wamiliki/waendesha pikipiki za abiria tukutane hapa tupeane ushauri, tujue changamoto na jinsi ya kumudu biashara hii

    Wakuu wasalaam. Kama mada ilivo, naomba waendesha pikipiki za abiria tukutane hapa, tupeane uzoefu, tufahamu jinsi ya kupata wateja, tuzijue changamoto za hii biashara na jinsi ya kuzitatua, n.k. Binafsi mm ni mwajiriwa sekta binafsi, nimeamua kununua pikipiki ili nikiwa nipo off niweze...
  12. B

    JamiiForums Tanzania Fahamu jinsi ya kuhama Combination au Chuo ulichochaguliwa

    Habari wana jukwaa, Nikiwa Kama senior member humu, ninaleta mbinu za kuhama shule au chuo ulichochaguliwa Baada ya Tamisemi Ku allocate Majina ya vijana waliomaliza form 4 mwaka Jana 2019 vijana na wazazi wengi wamekuwa wakilalamika Sana kuhusu uchaguzi huo! Gvt kupitia Kwa Bwa. Jafo...
  13. R

    JamiiForums Tanzania Msaada jinsi ya kupata Chrome Cache File

    Habari wakuu, Naomba msaada kujua jinsi ninavyoweza kupata file lenye orodha ya cache zote za browser ya chrome tangu nilipoanza kutumia hii browser. Nimejaribu about//:cache lakini inaonekana function hii iliondolewa. Kuna njia nyingine au third-party software ya bure? Na pili je kama...
  14. Mkogoti

    JamiiForums Tanzania Msaada: jinsi ya kutoa links kutoka vyanzo mbalimbali vya habari na kuleta jamiiforums

    Matumaini wazima wa afya, Twende moja kwa moja mimi shida yangu ni kutaka kujua au kupewa maujuzi kwamba naweza kuona huko habari chanzo chochote cha habari!? Lakini wenyewe nao wana links yao ili uingie usome habari kwa usahihi kamili! Sasa lengo langu ni kwamba nawezaje kuchukua ile links...
  15. sky soldier

    JamiiForums Tanzania Darasa: Jinsi ya kudownload (Kupakua) series za Netflix

    Kudownload vitu kuna faida nyingi hasa katika nchi kama yetu 1. Endapo unakaa sehemu ambayo haina network nzuri ni vigumu kustream series za netflix maana itakua inaganda ganda kwasababu ya network. 2. Kustream series kwa vifurushi ni gharama kwa watu wa vipato vya chini, Hivyo wengi wanaweza...
  16. musabuze

    JamiiForums Tanzania Jinsi ya kutengeneza App ya news bila ujuzi wa Coding wala Programing

    Habari Wana JF, Siyo Kila anayehitaji Android App Kama ya News, Chating,Live Tv ana Haja ya yeye Kujua Programing au Coding. Inabidi Totofautishe Kati ya Kazi na Mahitaji, Programing au Coding ni Kazi Kama Kazi Zingine ila Kuwa na Shauku ya Kuwa na App Yako ni Mahitaji Kama Yalivyo Mahitaji...
  17. Money Penny

    JamiiForums Tanzania Jinsi ya kumtunza Mume - Shangingi afunguka!

    So leo nilikuwa namfanyia interview Shangingi mmoja kuhusu maisha yake, kabla na baada ya kuitwa Shangingi Ila sasa ameolewa na ana ndoa ya Miaka 10 na watoto 3. Interview nitarusha baadae kwenye YouTube Channel Yangu 😇 Katika ongea ongea, host mwenzangu akamwuliza swali zuri Tu; " Inakuwaje...
  18. IamMrLiverpool

    JamiiForums Tanzania Naomba kujuzwa jinsi ya kuweka Password kwenye Folder ya Windows 10

    Wakuu na wataalamu naombeni msaada wa namna ya kuweka Password au pass code kwenye specific folders Ya Computer Ili niwe na private access na some of the folders kwangu tu.
  19. Wazalendo unity_official

    JamiiForums Tanzania Msaada jinsi ya Kusolve/kufix "URL is on Google, but has issues"

    Habarini wanajukwaa, Mimi ni blogger na nahitaji Msaada wenu mablogers wenzang wenye ujuz zaidi na Google search console. Ninapokea ujumbe unaosema URL is on Google, but has issues Kila ninapofanya URL inspection. Na toka tatzo hili lianze traffic ya blog yangu imeshuka kwa Zaid ya asilimia 50%...
  20. software master

    JamiiForums Tanzania Jinsi ya kuflash simu za kichina (android phones)

    Kama kichwa cha post kinavyosema, nataka ujue ni jinsi gani ya kuweza kuflash simu yako ya Android kwa kutumia Proglam mbalimbali kulingana na tatizo binafsi. Hapa kwanza nitaelezea simu mbalimbali kulingana na aina ya chipset zake = => Tecno = => Infinix = => Gionee = => Innjoo = => Itel...
Back
Top Bottom