jinsi ya

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. LIKUD

    JamiiForums Tanzania Jinsi ya kujua kama mganga aliye hamia mtaani kwenu ni mganga kweli au magumashi

    1. Angalia kama mganga huyo ana miliki property yoyote which is capable of being stolen .. eg bodaboda, mifugo mikubwa etc. Lazima watu wengine pia wawe Wana fahamu kuhusu Mali hiyo ya mganga. Kwamba bodaboda inayo endeshwa na Jamaa fulani ni Mali ya huyo Bwana Mganga. 2. Nenda kaibe.hiyo...
  2. Determinantor

    JamiiForums Tanzania COVID-19: Jinsi ya kutumia Simu yenye Password ili kumsaidia Mgonjwa ambaye simu yake ina Password

    Wakuu, Poleni kwa kuwapoteza Wapendwa wenu kwa namna moja ama. Kuna nyakati inabidi kuna mambo tukumbushane au tufundishane, si dhambi. Kwa kipindi hiki cha Corona kuna wenzetu wanaweza kuzidiwa ghafla na tukahindwa kumsaidia kwakuwa hatuawafahamu ndugu zao na kwakua simu zao zina Passwords...
  3. figganigga

    JamiiForums Tanzania Wale tunaovaa Barakoa tupeane experience jinsi ya Kuvaa, mwenzenu inaniletea matatizo

    Salaam wakuu, Huu Ugonjwa wa Corona umekuja na mengi ikiwemo kuvaa Barakoa kuziba mdomo na Pua ili ili majimaji ya Korona yasikupate au hata kama na wewe una Corona usiweke kuambukiza wengine pale unapo piga chafya. Ila mimi nikiivaa naona ni Mateso makubwa. Wenzangu mnawezaje kuvaa Barakoa...
  4. Mad Jaluo

    JamiiForums Tanzania Naomba kujulishwa jinsi ya kufika Brazil

    Wanajamvi naomba maelekezo kidogo. Mwenzenu nikitaka kufika Brazil naendaje? Kule nina mwenyeji tayari anaishi Sao Paolo.Je ni lazima kupanda ndege au hata kwa meli nitafika??safari hii tupo watu wawili na tunapita njia tu tukielekea Mexico kujaribu kuingia Marekani kisha Canada. Kwa anaejua...
  5. M

    JamiiForums Tanzania Ushauri wa kisheria wa jinsi ya kumchukua mtoto baada ya kutokuwa na maelewano na mzazi mwenzangu

    Habari za mchana wote! Kuna kaka yangu mmoja tunaheshimiana sana naye , Ana mke wake sasa ndoa imemshinda anataka kumchukua mtoto kutokana na kwamba Hana mahusiano mazuri na huyu mke mke anaishi mwanza na yeye yupo Dodoma. Lakini mtoto alimpata baada ya kuwa kwenye mahusiano na huyo dada akiwa...
  6. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania TRA yatoa maelekezo jinsi ya kujilinda na COVID-19 wakati wa kupata huduma

  7. Martin Kemosabe

    JamiiForums Tanzania Msaada jinsi ya kudownload Movie na Series za Kifilipino

    Kuna series nazitafuta mfano kama Asintado Pusong Ligaw na nyingine nyingine nyingi tu za kifilipino. Nimezunguka huko kutafuta jinsi ya kuzidownload naona chenga tu sielewi kitu naomba mwenye uzoefu na kujua namna ya kufanya ili niweze fanikisha hili USER=403420]Numbisa[/USER] naomba upite...
  8. PANG-ISO

    JamiiForums Tanzania Jinsi ya kupata cheti cha ubora cha ISO kwa kampuni yako

    Wadau hamjambo? Pamoja na changamoto ya #Corona, maisha mengine ni lazima yaendelee. Lengo la hii post ni kutaka tupeane ujuzi na kukumbushana namna ya kupata cheti cha Ubora wa bidhaa na huduma cha ISO. ISO ni nini? ISO ni shirika la Viwango la Kimataifa (International Organization for...
  9. M

    JamiiForums Tanzania Wakati nchi nyingine zinafikiria jinsi ya kusaidia biashara zisife, Serikali ya awamu ya 5 ndio inainyongelea mbali sekta binafsi

    Wandugu; ukisoma taarifa kutoka nchi mbali mbali utakutana na habari zinazoelezea hatua zinazochukuliwa na serikali za nchi zao kupunguza makali ya athari za corona. Hebu jisomee hapa: How countries are deploying stimulus packages in the fight Malaysia Issues Second Stimulus Package to Combat...
  10. cantona55

    JamiiForums Tanzania Jinsi ya kuandika miswada ya filamu (Script) ya filamu

    Unapoandika mswada [script] kuna vitu vitatu vya msingi kuzingatia: • Muhusika (character) • Muundo (plot) • Dhamira (theme) 1. TUKIMZUNGUMZIE MUHUSIKA KWANZA Mswada wa filamu una sehemu kuu nne ambazo kila mwandishi lazima azipitie ili mswada wake uwe nzuri, kwanza kabisa ni hadithi yenyewe...
  11. Alex Gk

    JamiiForums Tanzania Msaada: Laptop Screen Record

    Wana JF, natanguliza shukrani za dhati kwenu. Pia, tuzidi kumuomba Mungu kwa kipindi hiki kizito tunachopitia #Covid19 MADA Kama ilivyo ainishwa hapo juu, nina tatizo la kufanya screen recording katika PC yangu. Nimejaribu kutumia software ya CAMTASIA 2018; shida ni kwamba PC inakuwa nzito ku...
  12. jlupembeTz

    JamiiForums Tanzania Naomba msaada jinsi ya KUROOT TECNO LC6

    Nahitaji KUROOT TECNO LC6 Naombe
  13. rodian

    JamiiForums Tanzania Jinsi ya kutengeneza sanitaizer ukiwa nyumbani!

    Habari wakuu, naomba niwape elimu kidogo juu ya utengenezaji wa Saniteizer ukiwa nyumbani kwako.Maana naona tayari wameshafanya dili kwenye maduka ya dawa. Aina ya kwanza *Mahitaji* 🔸Vineger chupa nzima 🔸alcohol yenye 90-80 unaweka mls 100 na kuendelea 🔸glycerin hii tunayochanga na mafuta ya...
  14. Trubarg

    JamiiForums Tanzania Jinsi ya kujilinda na Corona virus kwenye mwendokasi

    Kutokana na Hali ilivyokuwa tete. Ni vyema tukapeana tips jinsi ya kujilinda na hili janga hasa kwenye mwendokasi na public transport zingine ambazo Zina msongamano mkubwa wa watu ikiwemo vivuko.
  15. Makirita Amani

    JamiiForums Tanzania Hivi ndivyo teknolojia mpya zinavyoua biashara kubwa na jinsi ya kuzuia biashara yako isife kwa mabadiliko ya teknolojia

    Maendeleo ya teknolojia yanatokea kwa kasi kubwa sana. Lakini kasi hii ya maendeleo na ukuaji wa teknolojia, pamoja na kuwa na manufaa kwa watumiaji wake wa mwisho, yamekuwa na maumivu makubwa kwa makampuni makubwa yaliyo kwenye sekta ambayo teknolojia mpya inaingia. Kuna mifano mingi sana...
  16. Masokotz

    JamiiForums Tanzania Jinsi ya kumsaidia mwanao kujifunza Cognitive Skills

    Cognitive skills na mbinu/uwezo wa kutazama jambo/kupokea taarifa, kuitafakari, kufanya maamuzi kuhifadhi kwenye kumbukumbu na kuielewa. Ni kitu ambacho mtoto anapaswa kujifunza tangu akiwa na umri dogo na kuendelea nalo hadi anapokuwa mtu mzima. Kadiri uwezo wako wa kujifunza,kuelewa,kufikiri...
  17. ubongokid

    JamiiForums Tanzania Jinsi ya Kwenda jana na Kesho-Moving accross time boundaries

    Leo nataka kuleta mjadala mdogo; Huu ni mjadala unahusiana na uwezo wa mwanadamu kuvuka time borders.Tunajua kwamba in reality sote tumeungwa katika wakati uliopo. We have no control of the past or the future except through imagination.Katika kufikiria kwa kina unaweza ukaona kwamba pamoja na...
  18. Bulamba

    JamiiForums Tanzania Naomba kujua jinsi ya kufanya activation ya Windows 10

    Habari wakuu, Natumia windows 10.Katika siku za usoni nimekuwa naletewa message kuwa windows 10 yangu imekaribia ku-expire na hivyo inabidi nifanye activation.Sasa sina product key.Je kuna namna ya kufanya activation automatically bila ya kuwa na product key? Asante
  19. Bushmamy

    JamiiForums Tanzania Naomba ushauri jinsi ya kupata volunteer Pomoja na wafadhili wa kujenga shule

    Wakuu, nipeni uzoefu katika hilo tafadhali. Mimi na rafiki yangu tumepanga nyumba ndogo ambayo tunatumia kama madarasa pamoja na ofisi humo humo, sasa tupo katika mchakato wa kujipanua shule bado ni changa sana na imeanza mwaka huu. Tunatakiwa kujenga vyumba vya madarasa pamoja na ofisi za...
  20. Makirita Amani

    JamiiForums Tanzania Hiki ndiyo kitu kimoja kinachokutofautisha na Viumbe wengine na jinsi ya kukitumia kwa manufaa yako

    Ndege wana mabawa kwa ajili ya kuruka hewani, Samaki wana mapezi kwa ajili ya kuelea majini, Simba wana meno makali kwa ajili ya kurarua nyama, Chui wana mwendo mkali kwa ajili ya kukamata mnyama yeyote, Twiga wana shingo ndefu kwa ajili ya kula majani yaliyo juu, Miti iliyopo jangwani ima...
Back
Top Bottom