jinsi ya

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. J

    JamiiForums Tanzania Root simu ya android yoyote ukitumia magisk

    MAANA YA ku-ROOT ku-ROOT maana yake ni kuweza kupata uwezo au access ya system files zilizopo kwenye simu yako ambazo kwa kawaida zinakuwa zimejificha au kuzuiwa kwa mtumiaji ili asiweze kuzifikia , kwa kiingereza naweza kusema its an ability to obtain administrative access or rights on the...
  2. tzhosts

    JamiiForums Tanzania Jipatie Websites, Android Apps, Domain Names, ERP system and Accounting system kuanzia TZS 49,900

    Je, wewe ni mmiliki wa shule, Kampuni binafsi au NGO, Je, unahitaji kujipatia huduma mojawapo kati ya hizi au zote kwa pamoja? Websites, Android Apps, Domain Names, ERP system Accounting system CRM system SEO services Online Promotion Je, budget yako ni kati ya TZS 49900 na kuendelea? Kama...
  3. YEHODAYA

    JamiiForums Tanzania Jinsi ya Serikali kuondoa lawama na kutuhumiana kuwa wawekezaji toka nje wanatuibia

    Mara nyingi kumekuwa na msemo kuwa wawekezaji wa nje wezi wanatuibia waafrika .Hatufaidiki na uwepo wao au tunafaidika kidogo wao ndio wanapata Sana kwenye mikataba ya madini,mafuta ,gesi nk Tatizo kwenye hili ufumbuzi tunao sisi wenyewe waafrika.Nitatoa mfano makampuni yanayochimba...
  4. gm man

    JamiiForums Tanzania Jinsi ya ku-bypass Nokia 1

    Wakuu, naomba msaada ni njia gani naweza ku by pass hii simu inaitwa Nokia 1. Nimepitia baadhi ya thread lakini naona bado hivyo naomba mwenye uelewa anisaidie ili niweze kutatua tatizo.
  5. YEHODAYA

    JamiiForums Tanzania Fahamu namna ya kujua kirahisi sehemu yenye mzungunguko wa pesa Tanzania

    Ukitaka kujua wapi Kuna mzunguko mkubwa wa pesa angalia wafanyabiashara wafuatao Kama wapo wengi 1.Wahindi 2.Wachaga 3.Wapemba 4.Waarabu 5.Wakinga Pia Ukiona eneo Lina Baa nyingi mzunguko wa pesa eneo Hilo Ni mkubwa Pia Ukiona eneo Lina makanisa au misikiti yenye majengo mengi makubwa na watu...
  6. UPOPO

    JamiiForums Tanzania Jinsi ya mzazi kumchukulia cheti cha sekondari mtoto wake aliye nje ya nchi

    Jamani naomba kupata maelekezo kuna uwezekano kwa mzazi kumchukulia mtoto wako cheti chake cha form four au six kama yeye mwenyewe hayupo nchini na nina documents zote zinazoonyesha hayupo. Cheti original kinahitajika chuoni alipo. Je, kuna uwezekano wa mzazi kukichukuwa? Na je, utaratibu...
  7. Babu Kijiwe

    JamiiForums Tanzania Nisaidieni jinsi ya kufunga kampuni

    Mambo zenu, Nataka kufunga kampuni baada ya kutoridhishwa na mwenendo wa biashara, anayejua process anipe fasta. Haina deni na documents zote ziko okay. Naanzia wapi na naishia wapi? Karibuni
  8. kidadari

    JamiiForums Tanzania Jinsi ya kuagiza bidhaa Ali Express

    Nimeona simu nzuri AliExpress za Xiaomi wanauza nimevutiwa kuzinunua maana bei ni rhisi kiasi naomba mwenye uelewa wa jinsi ya kuzinunua na kuzipata nikiwa Tanzania. Je vipi ubora wake? Je zinafika salama au unaweza kubadilishiwa na kuwekewa mzigo feki?
  9. ABiClever Junior

    JamiiForums Tanzania JINSI YA KUSOMA HADITHI KWA HARAKA

    Kwa hadithi nzuri na za kuelimisha tembelea CLEVER WEB TZ au DOWNLOAD APP Cleverwebtz
  10. The only

    JamiiForums Tanzania Jinsi ya kuvunja urafiki bila UADUI

    Kwenye maisha unapata marafiki mbalimbali wanaokupa experience nyingine, mashauri, upendo na hata msaada kiuchumi. Marafiki huwa ni zawadi toka kwa muumba ndo maana huwezi pata rafiki kwa kumnunulia bia lazima muwe na natural meet of mind. Lakini jambo moja hatulijui, ni Je marafiki huja...
  11. Gemini Are Forever

    JamiiForums Tanzania Tuliowahi kukaa muda mrefu bila kulala uzi huu hapa

    Salaam kwenu! Ulishawahi kukaa muda gani (siku ngapi) bila kulala? Kwa nini. Binafsi sitosahau tulikuwa tunahama na mifugo, ndo mara ya kwanza kuingia kwenye misafara hyo (baada ya kumaliza shule). Siku ya kwanza tulitoka Ifakara mida ya saa mbili usiku hadi kesho yake jioni tukafika...
Back
Top Bottom