Jinsi ya Ku view status ya Mtu WhatsApp Bila yeye kuona kama umeview

LIKUD

JF-Expert Member
Dec 26, 2012
8,161
2,000
1. Screenshot then zoom.

2. Mimi na wewe tufanye mpango itengenezwe App maalumu ambayo itakufanya u view status ya mtu Bila mhusika kujua kama umeview.

We will make a millions and millions.

Asilimia kubwa ya status huwa ni madongo.

Kwa mujibu wa wataalamu hakuna kitu kinauma kama mtu anakuwekea status halafu mpaka ina expire wewe mhusika ulie kusudiwa hauja iview

Yanga mwaka huu watatisha sana. Hapa Morrison kule Chama halafu pale kwenye benchi yupo Uchebe
 
Shark

JF-Expert Member
Jan 25, 2010
26,561
2,000
1. Screenshot then zoom.

2. Mimi na wewe tufanye mpango itengenezwe App maalumu ambayo itakufanya u view status ya mtu Bila mhusika kujua kama umeview.

We will.make a.millions and millions.

# Asilimia kubwa ya status huwa ni madongo.

# Kwa mujibu wa wataalamu hakuna kitu kinauma kama mtu anakuwekea status halafu mpaka ina expire wewe mhusika ulie kusudia hauja iview

# Yanga mwaka huu watatisha sana..Hapa Morrison kule Chama halafu pale kwenye benchi yupo Uchebe
Hapo kwenye Yanga kutisha ndo umeharibu
 
schoolboy

JF-Expert Member
Aug 6, 2018
1,278
2,000
1. Screenshot then zoom.

2. Mimi na wewe tufanye mpango itengenezwe App maalumu ambayo itakufanya u view status ya mtu Bila mhusika kujua kama umeview.

We will.make a.millions and millions.

# Asilimia kubwa ya status huwa ni madongo.

# Kwa mujibu wa wataalamu hakuna kitu kinauma kama mtu anakuwekea status halafu mpaka ina expire wewe mhusika ulie kusudiwa hauja iview

# Yanga mwaka huu watatisha sana..Hapa Morrison kule Chama halafu pale kwenye benchi yupo Uchebe
Bila kumsahau senzo
 
kabombe

JF-Expert Member
Feb 11, 2011
25,597
2,000
1. Screenshot then zoom.

2. Mimi na wewe tufanye mpango itengenezwe App maalumu ambayo itakufanya u view status ya mtu Bila mhusika kujua kama umeview.

We will.make a.millions and millions.

# Asilimia kubwa ya status huwa ni madongo.

# Kwa mujibu wa wataalamu hakuna kitu kinauma kama mtu anakuwekea status halafu mpaka ina expire wewe mhusika ulie kusudiwa hauja iview

# Yanga mwaka huu watatisha sana..Hapa Morrison kule Chama halafu pale kwenye benchi yupo Uchebe
Bange mbaya sana labda Kama mmemchukua Rashid idi chama
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Similar Discussions

Top Bottom