Habari.
Kwa kipindi cha karibuni nimeanza biashara ya udalali wa magari pikipiki simu vitanda na vitu vingine used hapa Dar.
Nimekutana na changamoto ya kupakua picha zilipostiwa FB ili niweze kupost kwingine
Naomba msaada ni njia gani nitumie
Shukran, Dalali Solo. 0744033555__ TABATA BIMA DAR
Habarini,
Nikiwa napitia Instagram stories sometimes nakutana na tags na nikitaka ku-skip nashindwa hadi liishe, tafadhali nisaidieni nifanyeje
Nawasilisha,
Nawategemea.
Tupo nchini kwetu tumeiba cha nani, nchi ni ya kila mtu na kila mtu ana haki ya kuishi, kwanini tunafuatiliwa kimya kimya na kupewa kesi ambazo hatuna na hatuja wahi kuzifanya, wanataka watuue wote tuishe?
Naomba kwa anayejua jinsi ya kupata hifadhi (asylum) na kufika atusaidie kama ni...
Habarin wana jamii forum nina pesa zangu zipo huko neteller ni dollar kadhaa na nina shida nazo nataka nizitoe fasta shida ni kwamba kwa tanzania ni only to bank hakuna mobile network.
Na ubaya ni kwamba njia ya benk pesa inachukua mda mrefu kufika na pia makato ni makubwa kulinganisha na simu...
Asalam aleykum jamiya
Nataka kuanzisha kajishughuli kadogo ka nyumba ka utengenezaji wa vipodozi vya akina dada vitumiavyo matunda na mbogamboga na visivyo na kemikali kwa utaalamu adhimu na wa kipekee nilio jifunza wakati nikiwa africa ya magharibu.
-Mafuta ya kuondoa pimples kwa haraka and...
MAELEZO KWA KIFUPI YA JINSI YA KUANZISHA CHUO CHA ELIMU YA UFUNDI STADI NCHINI
1 Utangulizi
Mamlaka ya Elimu na mafunzo ya ufundi stadi(VETA) ilianzishwa chini ya sheria Na.1 ya mwaka 1994 kama ilivyofanyiwa marekebisho mwaka 2006 kwa lengo la kusimamia, kuratibu na kuendesha elimu na mafunzo...
Jinsi ya kufungua akaunti ya Youtube,
1. Anza kwa Jisajili kwenye akaunti ya Google (Kama hauna) Ili kuweza kuangalia maudhui ya video kwenye YouTube, kutenegeneza akaunti ya YouTube, kushare, kutoa maoni (comments) unapaswa kuwa na akaunti ya Google.
Jinsi ya kusajili akaunti ya Google...
Kuna shule ya msingi anasoma mwanangu. Nataka kujua km imesajiliwa au la meaning kua inatambulika na serekali.
Bado ni changa. Ina mpaka standard 3 kwa sasa.
Habari zenu wana jukwaa? Mimi kwa sasa ni Mkaazi wa Zanzibar, niliporudi nyumbani nilivitiwa na Muonekano wa Nissan March nikaamua niinunue, ila Marafiki zangu wa karibu wamekua wananilaumu sana kwa nini nimenunua Nissan March na nisinunue gari za Toyota kama IST?
Hivo wana jukwaa nawaombeni...
Hiki ni chakula kitokanacho na makopa ya miogo(miogo mikavu).
Jinsi ya kupika.
Hukatwakatwa vipande vya makopa kisha hulowekwa kwenye maji masaa yasiyopungua 12 ili kurahisisha kuiva kama makopa ni mazima lakini kama ambayo yameliwa na wadudu yanaenda kuoza kidogo huwa ni matamu zaidi na...
Simu ndogo ndogo hususani hivi vya batani za kampuni pendwa Africa namaanisha Tecno na Itel. Tumekuwa tukinunua simu hizi bei ya jumla maduka kadhaa kkoo arusha na kwingineko.
Nahitaji kujua vp nami naweza kuwa msambazaji yan nikauziwa kwa bei ya kiwandani utaratibu ukoje.Hapa namaanisha...
Kuna kitu kimoja ambacho Magufuli anapaswa kutafakari sana - jinsi ya kukabiliana na mataifa tajiri pale ambapo anaona kama yanatukandamiza au kutuingilia.
Nasema hivi kwa kuwa ni wazi sana Magufuli anapewa ushauri usiofaa na Kabudi - kujaribu kuyakabili haya mataifa kama vile tuko sawa nayo -...
Kama kichwa cha habari kilivyojieleza hapo juu, ni kwamba kutokana na maendeleo ya kiteknolojia swala la kujua lugha limekuwa sio tatizo tena kwa wewe kujipatia maarifa.
Sasa mm Leo ningependa kushare na nyinyi habari hizi. Kwa kuwatumia video mbili ambazo ni part 1 inahusu kutafsiri hardcopy...
Habari wakuu, ninaomba msaada wa ku unlock hii vodafone router (vodafone R207-Z) ili niweze kutumia mitandao yote.
Natanguliza shukrani zangu za dhati.
Vitazame vitu vyote: hai na visivyo hai, muundo wao na jinsi yao ni ya kustajabia.
Ni kwa namna gani vitu hivi vimepangwa katika mpangilio huo, ni jambo pia la kustajabia.
Hakuna kitu kilicho hai au kisicho hai ambacho kinaonekana kwamba hakina na hakipo katika mpangilio mahsusi.
Kila kitu...
Habari wataalamu
Natumia windows desktop
Windows Ten pro. Sasa naomba mnielekeze namna ya kutumia au ku enable CLI (Command Line Interface)
Na pia jinsi ya ku disable GUI
(Graphical User Interface)
Maana lengo langu ni kutumia CLI peke yake.
Natanguliza Shukrani.
Mwanasiasa anaposhinda uchaguzi anatakiwa azungumze kwa namna itakayoteremsha joto la uchaguzi. Hii ni hotuba aliyoitoa Bill Clinton wa Marekani baada ya kushinda uchaguzi.
Nilitaka niweke hotuba ya Obama lakini nadhani ile ina vionjo vya kihistoria.
Aliyeshindwa uchaguzi naye anatakiwa...
Hii ni sehemu tu ya reporti ya Building Bridge Intiative (BBI) iliyokabidhiwa kwa Raisi Uhuru Kenyatta katika kipengele cha jinsi ya kumaliza ukabila nchini Kenya
Mimi nawashauri kuwa wapige marufuku matumizi ya lugha za kikabila kwenye public places kama ofisi za serikali,mikutano ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.