Fahamu jinsi ya kuhama Combination au Chuo ulichochaguliwa

Blogaboy

Member
Joined
Jun 21, 2020
Posts
13
Reaction score
9
Habari wana jukwaa,

Nikiwa Kama senior member humu, ninaleta mbinu za kuhama shule au chuo ulichochaguliwa

Baada ya Tamisemi Ku allocate Majina ya vijana waliomaliza form 4 mwaka Jana 2019 vijana na wazazi wengi wamekuwa wakilalamika Sana kuhusu uchaguzi huo!

Gvt kupitia Kwa Bwa. Jafo waliamua kutoa fursa Kwa vijana kuchagua upya combination na vyuo kutokana na matokeo baada ya kutoka tu

Takwimu zinaonesha 63% walifanikiwa kubadili machaguo yao, sio mbaya.

Namna ya kubadili combination au chuo!

Kuna njia moja tu ambayo itakufanya uweze kubadili combination yako, nayo ni kwenda Tamisemi moja Kwa moja ,njia hii itakufanya ukasome ukipendacho!

Njia ya pili, subiri, shule zifunguliwe, fuata taratibu!

Naendelea.
 
Soma hapoooo
 
Attachments

Back
Top Bottom