jinsi ya

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Msaada wa jinsi ya kusamehe na kuachilia

    Habari wana JF! Mimi ni Muhanga wa hali hii nimevumilia sana lakini nimeshindwa. Juzi kuna jamaa yangu amekuja hapa kunihadithia kisa kilichomkuta maishani mwake ameshindwa kabisa kusamehe na kuachilia inagawaje anadai hana shida na watu waliomuumiza na kumpiga majungu. Baada ya kunieleza...
  2. J

    JamiiForums Tanzania Jinsi ya kutunza Watoto Njiti katika chumba maalum

    Kuhakikisha ngozi ya mtoto inakuwa imegusana na ngozi ya mama ( skin to skin contact/ kangaroo mother care). Hapa mama anashauriwa kumbeba mtoto kwa kumgusisha katk ngozi ya mama uda mwingi ili kumkinga mtoto kupoteza joto. Ii/Kumfunika mtoto kwa nguo nzito iliasipoteze joto. Nguo hizo lazima...
  3. JamiiForums Tanzania Jinsi ya kutengeneza Milioni 10 yako ya kwanza. Generating your first 10 Milions

    Habari za wakti huu; Kwa muda sasa nimekuwa nikizungumza na watu juu ya kuzalisha na kutumia Pesa. Jambo ambalo nimgundua ni kwamba imani yako kuhusu Pesa inaweza kathiri uwezo na kiwango cha PEsa ambacho unaweza kuzalisha. Wengi wetu tuna imani potofu kuhusu Pesa.Baadhi yet tunefikia hatua...
  4. J

    JamiiForums Tanzania Jinsi ya kujikinga na maambukizi ya magonjwa yanayoathiri mfumo wa upumuaji

    Vaa barakoa mara kwa mara unapokuwa na watu wengine au unapokuwa kwenye mkusanyiko wa watu Nawa mikono yako mara kwa mara kwa maji tiririka na sabuni Epuka kusalimiana na watu kwa kushikana mikono, kukumbatiana na kubusu Ni lazima kuzingatia usafi wa mazingira, kunawa mikono kwa maji na...
  5. J

    JamiiForums Tanzania Mganga Mkuu wa Serikali, Prof. Makubi: Wananchi chukueni tahadhari za kujilinda na kuwalinda wengine dhidi ya magonjwa, msisubiri matamko

    Mganga Mkuu wa Serikali Prof Abel Makubi amewataka watanzania kuchukua tahadhari dhidi ya magonjwa ya kuambukiza na yasiyoambukiza kadhalika wajikinge wenyewe na kuwakinga wengine. Makubi amesisitiza kuwa hizi siyo nyakati za kusubiri matamko wakati unaona kabisa mbele kuna nyoka, jiongeze...
  6. JamiiForums Tanzania Jinsi ya kutumia feature mpya ya Nearby Share kwenye Android phones

    Mnamo tarehe 4 August 2020, Google walizindua feature yao ya kushare mafile kati ya Android phones iitwayo Nearby Share ambayo ni kama Xender app na Airdrop ya iPhones. Nearby Share inafanana ufanyaji kazi wake kama airdrop ya kwenye iPhones kwamba unapata menu ya kushare kutumia njia directly...
  7. B

    JamiiForums Tanzania Jinsi ya kuanzisha kiwanda cha mafuta

    Nahitaji kujua kama kuna mwenye anaifahamu anifahamishe
  8. JamiiForums Tanzania Jinsi ya kudhibiti matumizi ya mtandao ya mtoto

    Katika ulimwengu wa Teknolojia wa sasa watoto wanalazimika kuwa na vifaa kama simu, laptops nk ili kuwezesha mawasiliano ya mzazi na mtoto. Kwa kiasi kikubwa wazazi wanadhana kwamba vifaa hivi vinaweza kumuharibu mtoto hivyo wengine huwanyima watoto vifaa hivyo ambapo wanakuwa wamewanyima haki...
  9. K

    JamiiForums Tanzania Jinsi ya kuanzisha biashara ya internet café

    Habari zenu wana jukwaa, kama kichwa kinavyo jieleza hapo juu naomba kufahamu abc za namna ya kuanzisha hii huduma hapa mjini. Kwa anayefahamu gharama za ujumla na vibali husika. Shukran.
  10. JamiiForums Tanzania Msaada: Naomba kujuzwa jinsi ya kupata uraia kwa msichana anayetoka nje ya nchi ili kuolewa na kuishi Tanzania

    Habari za jioni wana JF! Nina mpenzi wangu anaishi nchini Australia anataka kuja Tanzania tuanze maisha, naomba msaada kujua taratibu za kufanya kumpatia uraia ili niweze kuishi nae Tanzania.
  11. JamiiForums Tanzania Naomba kujuzwa jinsi ya kulipa faini za barabarani

    Wakuu naomba mwongozo wa jinsi ya kulipa faini ya barabarani. Je, inawezekana kufanya malipo haya online au utaratibu umekaaje?
  12. C

    JamiiForums Tanzania Jinsi ya kubadili user agent ili niweze kupata access ya freebasics kwenye PC

    Naomba kuelekezwa kubadilisha user agent katika PC niweze kutumia free basics kwenye PC
  13. T

    JamiiForums Tanzania Msaada wa jinsi ya kukaanga karanga

    Hello, wakuu naomba msaada wa jinsi ya kukaanga karanga kwa ajili ya kuuza. Je, naweza tumia microwave katika kukaangia karanga au je, nitumie nini katika kukaanga karanga? Msaada tafadhali
  14. J

    JamiiForums Tanzania Jinsi ya kushiriki katika kupambana na rushwa

    Kila mwananchi ana wajibu wa kushiriki katika kuzuia na kupambana na rushwa kwa kufanya yafuatayo; Kutoa taarifa Kila mwananchi ana jukumu la kutoa taarifa za vitendo vya rushwa kwa TAKUKURU au kwa vyombo vingine vya sheria au dola. Taarifa zinaweza kutolewa kwa njia ya simu, barua, barua...
  15. JamiiForums Tanzania Teknolojia ya kuprint picha na kubandika kwenye photo frame za mbao

    Habari wakuu, Nimekuwa interested na kujifunza teknolojia ya kuprint picha na kuziweka kwenye photo frame za mbao kama inavyoonekana hapo pichani. Nimejaribu kuomba kufundishwa na watu mbalimbali wanaofanya biashara hii mitandaoni bila mafanikio. Naomba msaada wa maelekezo, kama kuna online...
  16. JamiiForums Tanzania Msaada jinsi ya ku unlock simu aina ya amazon fire

    Habari za majukumu wandugu, naombeni msaada wa program itakayoweza kunisaidia kuondoa simlock katika simu aina ya amazon au kama kuna mtu anaweza kufanya kazi hii aje PM Natanguliza shukrani.
  17. JamiiForums Tanzania Balcony inachukua nafasi kubwa ya eneo, unaweza kujenga ghorofa bila balcony

    Nimeona hii nyumba na kutafakari. Kwa wale wapenzi wa ghorofahii ni plan ni ya bei nafuu. Juu Ina vyumba vitatu vya kulala a family bathroom. Chini ina jiko, choo, sebule na dining. Katika kiwanja cha kawaida cha 1/4 eka unaweza kujenga hii nyumba na nyuma ukapata nafasi ya banda la kuku...
  18. R

    JamiiForums Tanzania Msaada jinsi ya kuroot samsung A2 core

    Habar wadau Nisiwachoshe nina samsung a2 core ipo poa ina android 8.1 sasa kuna vitu inaniboa mfano haina dark mode wala galaxy theme ivo nakuwa sina uhuru sn pia haina LTE only feature so nataka niroot kisha ni update iwe android 10 niweEaeti dark mode na kuchagua theme itayopenda kwenye...
  19. JamiiForums Tanzania Jinsi ya kutumia Google Lens kutambua vitu

    Google Lens ni teknolojia ya kutambua vitu mbali mbali katika picha. Hii inahusisha maneno, tafsiri, wanyama, aina za matunda, aina za miti, picha zilizopo mtandaoni zinazofanana na picha yako, nk. Hii teknolojia ipo kwenye simu nyingi za Android kupitia Camera application, Google Photos app na...
  20. M

    JamiiForums Tanzania Naomba kujuzwa jinsi ya Kupata Kazi Halmashauri/ Manispaa

    Ndugu zangu Naomba kujua jinsi ya kupata kazi halmashauri yoyote Tanzania. Je, bila connection unaweza kupata kazi? Manispaa? Nimesoma Human Resource nmemaliza mwaka jana. Sina connection.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…