Fahamu jinsi ya kuhama kifurushi kwenye Azam TV

Aug 16, 2020
37
48
Vifurushi vilivyopo:
- Tsh 10,000 lite
- Tsh 18,000 pure
- Tsh 23,000 plus
- Tsh 28,000 play
Washa king'amuzi chako kisha ndipo ufanye malipo!
Ikiwa upo kifurushi kidogo hakijaisha mf: Tsh 10,000 na unataka kuongezea hela ili upate kifurushi kikubwa cha Tsh 18,000 LAZIMA iwe umelipia Tsh 10,000 ndani ya saa 72, mf: umelipia jana leo unataka kuhama, unaongeza Tsh 8,000 tu! kisha unabofya *150*50*5#
( Chagua lugha. )
1.Kiswahili
( Bonyeza namba 2 )
2.Badilisha kifurushi
( Weka namba ya card )
( Chagua kifurushi )
1. Pure
( Chagua namba 1 )
1. Badilisha sasa hivi
Utapokea ujumbe mfupi kuonyesha kama ombi lako limekubaliwa ama laa!
Ikiwa imepita saa 72 ni lazima ulipie pesa kamili ya kifurushi husika mf: unataka cha Tsh 18,000 unalipia Tsh 18,000 kisha unafata hizo hatua.

Ama itakulazimu kungoja mpaka kifurushi chako kitakapoisha! NB: Lipia ama hama kifurushi siku 1 ama mbili kabla ya mechi unayotaka kuangalia kuepuka usumbufu!

Technical issues- Whatsapp +255784378129
 
Hivi kuna hasara yoyote ukijikuta umelipa kabla kifurushi cha awali hakijaisha muda?
 
Back
Top Bottom