Jinsi ya kudownload Turrent kwa kutumia ADM

maarlioo

New Member
Nov 28, 2019
0
49
Anayejua jinsi ya kudownload kitu chochote kutoka kwenye torrent sites kwa kutumia Internet Download Manager anisaidie jamani.

Sitaki kudownlod kwa kutumia Utorrent au Bitorrent.
 
https://www.seedr.cc/?r=1475794

Jarbu hii...iko limited file ya juu ni 4gb ..create account Kisha utashare link yako kwa watu kadhaa..kila member mpya utapewa mb 500 nafkr...ukifugua account utapewa 1gb au 2gb Free storage..

Baada ya hapo utaweza paste torrent url na kupata direct link via idm
 
Back
Top Bottom