Tripo9
JF-Expert Member
- Sep 9, 2009
- 4,352
- 3,533
Habari wakuu.
Naombeni uzoefu kwa wale wenye experience hasa wajasiriamali wadogo wadogo Biashara ni ya kusaga na kupack na kuuza viungo vya vyakula. Ndio inaanza anza lakini nafikiria nipate vijana wanisambazie kwa kuanzia Dar es salaam na maeneo yake.
Wazoefu nijibuni baadhi ya dukuduku hizi
1) Utamuaminije kijana humjui kumpa mzigo nenda katembeze, Je akikimbia nao. Wale wenye vibiashara vyao nambieni hii mnaitatuaje.
2) Sasa jamani biashara ndogo so hata mtaji sio kivile lakini lengo nikuwafikia customers wengi zaidi sasa hawa vijana utawalipaje/shs ngapi aisee. Faida yote si itaenda huko na hata hasara juu??
3)Haya tuseme mtanijibu number 2) japo juu nikaridhika, Je unawalipa kutokana na wanavyouza au unawalipa fixed kila siku/mwezi? Sasa wajameni unakuta bidhaa yenyewe dazeni moja ikiisha faida labda 5,000/= Wajasiria mali hem niambieni how do you guys toboa haya maisha kwa kupanua biashara ???
Tuongee ukweli mwanawane, huwezi wewe kama wewe ukasaga, ukapack, ukasambaza eneo kubwa peke yako. Mmmmh! You need a helping hand. Hapo sasa.
Naombeni mtiririke