Msaada: Kwa siku nina access na internet almost masaa 4, nisaidie jinsi ya kutumia internet kuingiza kipato

Bubolwa Chura

JF-Expert Member
Dec 12, 2019
300
559
Wakuu Igweeeee!

Kwa muda kama wa miezi miwili hivi niko sehemu nimejishikiza. Baada ya muda wa kazi naona nina muda mwingi ambao nina access na internet ambayo nahisi nikipata kitu constructive inaweza kunisaidia kuniingizia kipato. Ungekuwa wewe ungeitumiaje?

Au fikiria hivi, umefungiwa ndani ya chumba na umepewa laptop imbayo iko full net 24 hours. Utaitumiaje kuingiza pesa?

Sio mwandishi mzuri ila naamini mmenielewa. Kama una idea yeyote nisaidie please, sitaki niwe naishia kuingia JamiiForums pekee na Facebook.

Nawasilisha.
 
Back
Top Bottom