jinsi ya

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. J

    JamiiForums Tanzania Jinsi ya kushiriki katika kupambana na rushwa

    Kila mwananchi ana wajibu wa kushiriki katika kuzuia na kupambana na rushwa kwa kufanya yafuatayo; Kutoa taarifa Kila mwananchi ana jukumu la kutoa taarifa za vitendo vya rushwa kwa TAKUKURU au kwa vyombo vingine vya sheria au dola. Taarifa zinaweza kutolewa kwa njia ya simu, barua, barua...
  2. IrDA

    JamiiForums Tanzania Teknolojia ya kuprint picha na kubandika kwenye photo frame za mbao

    Habari wakuu, Nimekuwa interested na kujifunza teknolojia ya kuprint picha na kuziweka kwenye photo frame za mbao kama inavyoonekana hapo pichani. Nimejaribu kuomba kufundishwa na watu mbalimbali wanaofanya biashara hii mitandaoni bila mafanikio. Naomba msaada wa maelekezo, kama kuna online...
  3. Abu Haarith

    JamiiForums Tanzania Msaada jinsi ya ku unlock simu aina ya amazon fire

    Habari za majukumu wandugu, naombeni msaada wa program itakayoweza kunisaidia kuondoa simlock katika simu aina ya amazon au kama kuna mtu anaweza kufanya kazi hii aje PM Natanguliza shukrani.
  4. Sky Eclat

    JamiiForums Tanzania Balcony inachukua nafasi kubwa ya eneo, unaweza kujenga ghorofa bila balcony

    Nimeona hii nyumba na kutafakari. Kwa wale wapenzi wa ghorofahii ni plan ni ya bei nafuu. Juu Ina vyumba vitatu vya kulala a family bathroom. Chini ina jiko, choo, sebule na dining. Katika kiwanja cha kawaida cha 1/4 eka unaweza kujenga hii nyumba na nyuma ukapata nafasi ya banda la kuku...
  5. R

    JamiiForums Tanzania Msaada jinsi ya kuroot samsung A2 core

    Habar wadau Nisiwachoshe nina samsung a2 core ipo poa ina android 8.1 sasa kuna vitu inaniboa mfano haina dark mode wala galaxy theme ivo nakuwa sina uhuru sn pia haina LTE only feature so nataka niroot kisha ni update iwe android 10 niweEaeti dark mode na kuchagua theme itayopenda kwenye...
  6. racka98

    JamiiForums Tanzania Jinsi ya kutumia Google Lens kutambua vitu

    Google Lens ni teknolojia ya kutambua vitu mbali mbali katika picha. Hii inahusisha maneno, tafsiri, wanyama, aina za matunda, aina za miti, picha zilizopo mtandaoni zinazofanana na picha yako, nk. Hii teknolojia ipo kwenye simu nyingi za Android kupitia Camera application, Google Photos app na...
  7. M

    JamiiForums Tanzania Naomba kujuzwa jinsi ya Kupata Kazi Halmashauri/ Manispaa

    Ndugu zangu Naomba kujua jinsi ya kupata kazi halmashauri yoyote Tanzania. Je, bila connection unaweza kupata kazi? Manispaa? Nimesoma Human Resource nmemaliza mwaka jana. Sina connection.
  8. Mwita Mtu Mrefu

    JamiiForums Tanzania msaada: jinsi ya kupakua picha kutoka facebook

    Habari. Kwa kipindi cha karibuni nimeanza biashara ya udalali wa magari pikipiki simu vitanda na vitu vingine used hapa Dar. Nimekutana na changamoto ya kupakua picha zilipostiwa FB ili niweze kupost kwingine Naomba msaada ni njia gani nitumie Shukran, Dalali Solo. 0744033555__ TABATA BIMA DAR
  9. eretzisrael

    JamiiForums Tanzania MSAADA: Jinsi ya kubadili jina

    Naomba kujua utaratibu wa kubadilisha jina kwa mtoto au mtu mzima
  10. Pastory Kimaryo

    JamiiForums Tanzania Msaada: Nisaidieni namna ya ku-skip Instagram story yenye tag ya jina au post

    Habarini, Nikiwa napitia Instagram stories sometimes nakutana na tags na nikitaka ku-skip nashindwa hadi liishe, tafadhali nisaidieni nifanyeje Nawasilisha, Nawategemea.
  11. B

    JamiiForums Tanzania Anayejua jinsi ya kupata hifadhi (asylum) atujuze kufuatwa hakuishi na chuki zimezidi zipo kimya kimya

    Tupo nchini kwetu tumeiba cha nani, nchi ni ya kila mtu na kila mtu ana haki ya kuishi, kwanini tunafuatiliwa kimya kimya na kupewa kesi ambazo hatuna na hatuja wahi kuzifanya, wanataka watuue wote tuishe? Naomba kwa anayejua jinsi ya kupata hifadhi (asylum) na kufika atusaidie kama ni...
  12. R

    JamiiForums Tanzania Msaada jinsi ya kutoa pesa Neteller and Skrill to Tanzania mobile networks

    Habarin wana jamii forum nina pesa zangu zipo huko neteller ni dollar kadhaa na nina shida nazo nataka nizitoe fasta shida ni kwamba kwa tanzania ni only to bank hakuna mobile network. Na ubaya ni kwamba njia ya benk pesa inachukua mda mrefu kufika na pia makato ni makubwa kulinganisha na simu...
  13. Crocodiletooth

    JamiiForums Tanzania Naomba mwongozo jinsi ya kupata lebo na vikopo vya plastic vyenye mifuniko

    Asalam aleykum jamiya Nataka kuanzisha kajishughuli kadogo ka nyumba ka utengenezaji wa vipodozi vya akina dada vitumiavyo matunda na mbogamboga na visivyo na kemikali kwa utaalamu adhimu na wa kipekee nilio jifunza wakati nikiwa africa ya magharibu. -Mafuta ya kuondoa pimples kwa haraka and...
  14. Kelela

    JamiiForums Tanzania Maelezo kwa kifupi ya jinsi ya kuanzisha chuo cha elimu ya ufundi stadi nchini

    MAELEZO KWA KIFUPI YA JINSI YA KUANZISHA CHUO CHA ELIMU YA UFUNDI STADI NCHINI 1 Utangulizi Mamlaka ya Elimu na mafunzo ya ufundi stadi(VETA) ilianzishwa chini ya sheria Na.1 ya mwaka 1994 kama ilivyofanyiwa marekebisho mwaka 2006 kwa lengo la kusimamia, kuratibu na kuendesha elimu na mafunzo...
  15. Kasomi

    JamiiForums Tanzania Jinsi ya kutengeneza You Tube channel

    Jinsi ya kufungua akaunti ya Youtube, 1. Anza kwa Jisajili kwenye akaunti ya Google (Kama hauna) Ili kuweza kuangalia maudhui ya video kwenye YouTube, kutenegeneza akaunti ya YouTube, kushare, kutoa maoni (comments) unapaswa kuwa na akaunti ya Google. Jinsi ya kusajili akaunti ya Google...
  16. Tripo9

    JamiiForums Tanzania Naomba kujuzwa jinsi ya kujua kama shule ya msingi imesajiliwa Wizarani

    Kuna shule ya msingi anasoma mwanangu. Nataka kujua km imesajiliwa au la meaning kua inatambulika na serekali. Bado ni changa. Ina mpaka standard 3 kwa sasa.
  17. aleesha

    JamiiForums Tanzania Naomba ushauri wa namna ya kuihudumia Nissan March

    Habari zenu wana jukwaa? Mimi kwa sasa ni Mkaazi wa Zanzibar, niliporudi nyumbani nilivitiwa na Muonekano wa Nissan March nikaamua niinunue, ila Marafiki zangu wa karibu wamekua wananilaumu sana kwa nini nimenunua Nissan March na nisinunue gari za Toyota kama IST? Hivo wana jukwaa nawaombeni...
  18. Wang Shu

    JamiiForums Tanzania Fahamu jinsi ya kupika machoba chakula cha asili kusini

    Hiki ni chakula kitokanacho na makopa ya miogo(miogo mikavu). Jinsi ya kupika. Hukatwakatwa vipande vya makopa kisha hulowekwa kwenye maji masaa yasiyopungua 12 ili kurahisisha kuiva kama makopa ni mazima lakini kama ambayo yameliwa na wadudu yanaenda kuoza kidogo huwa ni matamu zaidi na...
  19. 89N

    JamiiForums Tanzania Naomba msaada kwa anaejua jinsi ya kuandika barua Tamisemi ili kufanyiwa re-categorization

    Msaada Wana jamvi jinsi ya kuandika barua na kufanyiwa recategorization kazini pls tusaidiane kidogo.
  20. Salahan

    JamiiForums Tanzania Msaada jinsi ya kuagiza simu za Tecno na Itel kwa bei ya kiwandani

    Simu ndogo ndogo hususani hivi vya batani za kampuni pendwa Africa namaanisha Tecno na Itel. Tumekuwa tukinunua simu hizi bei ya jumla maduka kadhaa kkoo arusha na kwingineko. Nahitaji kujua vp nami naweza kuwa msambazaji yan nikauziwa kwa bei ya kiwandani utaratibu ukoje.Hapa namaanisha...
Back
Top Bottom