Naomba msaada jinsi ya kutatua hili tatizo kwenye pc wakati wa kuinstall window

Nico1

JF-Expert Member
Mar 18, 2011
808
250
Heshima kwenu nyote wana jukwaa, naomba kufahamu hili tatizo kwenye picha hapo chini kama linavyoonekana kwenye picha linasababishwa na nini na jinsi ya kulitatua. Naomba kuwasilisha kwa yeyote ambaye anaufahamu wa hili tatizo
20201019_222541.jpg
 
The Master pizo

Senior Member
Dec 18, 2019
129
225
Heshima kwenu nyote wana jukwaa, naomba kufahamu hili tatizo kwenye picha hapo chini kama linavyoonekana kwenye picha linasababishwa na nini na jinsi ya kulitatua. Naomba kuwasilisha kwa yeyote ambaye anaufahamu wa hili tatizo
bado upo online?
 
MoneyHeist4

JF-Expert Member
Jul 10, 2017
923
1,000
Heshima kwenu nyote wana jukwaa, naomba kufahamu hili tatizo kwenye picha hapo chini kama linavyoonekana kwenye picha linasababishwa na nini na jinsi ya kulitatua. Naomba kuwasilisha kwa yeyote ambaye anaufahamu wa hili tatizo

Nenda kwenye NEW hapo kisha Gawa partition hapo kisha jaribu.
 
diwani tajiri

Member
Oct 14, 2017
91
150
hii error inatokea pale window inaposhindwa kubadili hdd kutoka system ya gpt kwenda mbr. Simple solution na ya uhakika toa iyo hard disk iconnect kwenye computer nyingine kama external hdd au kwenye computer inayofanya kazi kama additional hdd then iformat kwenye ntfs file system.

Irudishe then piga window kama kawaida. Kama unataka kufanya partition fanyia hapo hapo kabla hujairudisha kwenye mashine ya kupiga windows.

Samahani mimi sio mwandishi mzuri kama kuna sehemu hujaelewa uliza.
 
diwani tajiri

Member
Oct 14, 2017
91
150
Ninapojaribu kufanya partition napewa huo ujumbe '' we couldn't create a new partition (Error :0x800745df)
Katika stage ya hii error huwezi kupatition tena hadi uconvert kwenda gpt then ndio uweze kuipation upya. Sasa hapo inakuwa haina recognized file system kwenye temporary windows installation file.
 
Nico1

JF-Expert Member
Mar 18, 2011
808
250
Katika stage ya hii error huwezi kupatition tena hadi uconvert kwenda gpt then ndio uweze kuipation upya. Sasa hapo inakuwa haina recognized file system kwenye temporary windows installation file.
Hapa sasa naweza pata maelezo anagalau kwa kifupi namna ya kuconvert kwenda gpt
 
diwani tajiri

Member
Oct 14, 2017
91
150
Hutaweza kuiconvert kwa kutumia iyo computer unayopiga window. Inatakiwa utumie computer nyingine kwa kuweka hdd tuu then unaenda kweneye disk management unalocate hdd yako then unaangalia kama inasoma as gpt au raw. Then unacreate partition then unaformat kwenye ntfs
 
Nico1

JF-Expert Member
Mar 18, 2011
808
250
hii error inatokea pale window inaposhindwa kubadili hdd kutoka system ya gpt kwenda mbr. Simple solution na ya uhakika toa iyo hard disk iconnect kwenye computer nyingine kama external hdd au kwenye computer inayofanya kazi kama additional hdd then iformat kwenye ntfs file system. Irudishe then piga window kama kawaida. Kama unataka kufanya partition fanyia hapo hapo kabla hujairudisha kwenye mashine ya kupiga windows.
Samahani mimi sio mwandishi mzuri kama kuna sehemu hujaelewa uliza.
Nashukuru kwa maelezo yako nimeelewa vizuri naswali dogo mimi computer yangu hard disk yake ni ssd nikifuata hatua hizo ulizoorodhesha hapo itafanya kazi .....
 
Nico1

JF-Expert Member
Mar 18, 2011
808
250
Hutaweza kuiconvert kwa kutumia iyo computer unayopiga window. Inatakiwa utumie computer nyingine kwa kuweka hdd tuu then unaenda kweneye disk management unalocate hdd yako then unaangalia kama inasoma as gpt au raw. Then unacreate partition then unaformat kwenye ntfs
Mkuu asante sana, hapa sasa nimepata idea maana ulichokiandika hakitofautiani sana na mdau mmoja naye kasema hivyo hivyo ngoja nikafanyie kazi .
 
diwani tajiri

Member
Oct 14, 2017
91
150
Ssd na magent disk zote kazi yake ni kustore data, na zote zinaweza kuwa katika state tofauti yaan ntfs, raw, gpt, ex fat, n.k tofauti ni speed ya write and read data. Kwaiyo hata kama ni ssd fuata stage nilizokuambia. Tafuta kichwa cha ssd to usb then fanya kama nilivyoeleza kama ni hizi magnet disk (hdd) fanya ivyo ivyo
 
Uta Uta

JF-Expert Member
Feb 2, 2016
3,443
2,000
Jamani na mimi naomba kujua matatizo ya pc yangu hiwezi kuweka second screen (projector) na baadhi ya keys hazifanyi kazi
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom