Jinsi Tunavyomsaidia Mjasiriamali atimize ndoto yake

Masokotz

JF-Expert Member
Nov 26, 2018
3,480
5,506
Habari za wakati huu;
Wengi huwa wananiuliza kwa nini huwa napenda kumwambia mtu aje PM pale anapohitaji ushauri wa kibiashara na uwekezaji.Ni kwa sababu hakuna solution ambayo inawatosha watu wote katika ujasiriamali na ushauri.Ili kuthibitisha leo nitaweka hapa kwa uchache kile ambacho huwa nawafanyia ateja wangu wote wanapotaka kupata ushauri kutoka kwangu.

  1. Kwanza kabisa huwa nataka kujua iwapo mteja anayo sababu maalum ya kunitafuta au hana;Kuna ambao huwa wanapiga simu wakifikiri kwamba wanayo sababu ila baadae unagundua kwamba hawana.Kuna ambao pia hupiga simu wakiwa hawana sababu na baadae unagundua kwamba wanayo.Mfano unaweza kuta mtu anaswali kuhusu changamoto au tatizo fulani katika biashara yake na anapowasiliana na mimi anataka nimtafuie suluhu.Watu wa aina hii ni wachache kwani wengi huwa hawajua tatizo na hivo ni vigumu kujua uwape suluhu gani mpaka ujue tatizo lao
  2. Baada ya kujua lengo la mteja huwa ninamfanyia uhakiki binafsi ili nipate profile yake na kujua kama ni mtu ninayeweza kufanya naye kazi kwa kutumia vigezo ambavyo nimeweka.Mfano sifanyi kazi na watu ambao hawana malengo,maono na ujasiri.Sifanyi kazi na watu ambao sio risk takers,sifanyi kazi na watu ambao wanatafuta hela ya kula hata kama hawana lazim wawe na ndoto kubwa zaidi ya hiyo,sifanyi kazi na watu amabo wanafikiri kwamba unaweza kupata utajiri wa haraka,Sifanyi kazi na watu wavivu wa kufikiri,sifanyi kazi na watu ambao wamekata tamaa,sifanya kazi na watu wasiotaka kujifunza.Hivyo basi kama nikiona una kasoro moja wapo kati ya hizo basi tunaanza kuishughulikia ili kuweza kukuweka katika Mazingiria mazuri ya kuanza safari ya kufanikiwa.
  3. Baada ya kukuweka katika kundi sahihi hatua ya tatu ni kufahamiana.Nitakupa nafasi ya kunifahamu kwa kadiri ninayoona unastahili na kwa kiwango kikubwa nitacontrol what you know about me as well as about you.Sitakupa Picha ya super man wala picha ya idiot ila nitakupa nafasi ya kujihisi comfortable kufanya kazi na mimi.
Ukimaliza hizo hatua tatu za mwanzo basi utakuwa tayari kuwa Mteja wangu na kupata huduma zangu.Usiponitafuta kwa muda wa miezi miwili nitakutafuta ili kujua kama kuna changamoto.

Ukivuka hatua ya kwanza tunaenda hatua ya pili ambapo ni kuweka mipango kuhusu biashara au wazo lako ambapo nitazingatia.kiasi cha PESA ulicho nacho.Kama huna tutaangalia namna ya kupata PESA kwa ajili ya kutimiza lengo lako.Pia tutaangalia namna ya kupata wabia,wawekezaji na mitaji kwa ajili ya kutimiza wazo lako.Jambo la muhimu ni utayari wako wa kuwa mjasiriamali pamoja na subra yako.Katika kuengenza wazo lako liwe kamili tutakuwa na hatua zifuatazo:

  • Hatua ya kwanza ni Business planning,katika hatua hii tutafanya full/complete strategic planning ya biashara yako ambayo itahusisha maeneo yote ya msingi ya biashara.Zingatia hapa kwamba hatutengenezi business plan template bali tunafanya real business planning ambapo kila hatua itafanyika kikamilifu na kwa kuzingatia utaalamu na eledi wa hali ya Juu.Tutatumia hatua zifuatazo kufanya planning:
    • Kwanza tutajadili wazo lako na kuamua iwapo kweli ni wazo lenye PESA-linaloweza kuuzika na kununulika
    • Pili tutalitazama wazo lako jinsi ambavyo linaendana na mawazo mengine ambayo yapo tayari sokoni na jinsi ambavyo linaweza kufanana au kutofautiana na mengine yaliyoko sokoni.Tutalipa wazo lako thamani,malengo na matarajio ya kifedha.
    • Tatu tutajadili juu ya muundo iwapo ni Sole proprietor,Partnership,Private Company,Public company,NGO etc
    • Nne tutajadili juu ya aina ya watu unaohitaji kufanya nao kazi na skills wanazopaswa kuwa nazo,uzoefu,personality,resources.
    • Tano tutajadili mahitaji ya kifedha,vyanzo vya fedha,na usimamizi wa fedha.
    • Hatua ya sita ni ya muhimu sana na Hii ni kwa ajili ya wateja tu kwani katika hatua hii ndio utajua kama huduma yetu inathamni kwako au la
  • Hatua ya Pili ni utekelezaji wa plan yetu ambapo kwanza tunaiweka katika andiko kamili lenye taarifa zote muhimu kwa ajili yako na kisha tunajadili kuhusu utekelezaji.Katika hatua hii MTEJA wetu anaweza kuamua ama aendelee mwenyewe huku akitupigia simu pale anapohitaji msaada au tuendelee naye mpaka atakapofanya Mauzo ya kwanza,au tuendelee naye mpaka atakapo break even au tuendelee naye ampaka atakporudisha mtaji wake. Vyovyote vile tutakuwa naye.KIANGAZI au MASIKA
  • Jambo la kuzingatia ni kwamba katika kutoa huduma tunakupa guarantee ya matokeo.CHA MUHIMU ni UWE TAYARI KUFANYA KAZI NA KUJITUMA KUJIFUNZA na kUJIONGEZA
Iwapo ungependa kufahamu zaidi wasiliana nasi kwa Email:masokotz@yahoo.com au 0710323060.
 
Tokea 8:48 AM view 57 tu!

Na komenti yangu moko.

Ahsante Mkuu, nimetoka na "sifanyi kazi na watu ambao hawana malengo"
Mkuu,idadi ya comment,idadi ya views na aina ya ujumbe uliopata vyote vina thamani kubwa sana.Mkuu ukifanya kazi na mtu asiyekuwa na malengo unakuwa unatumia nguvu nyingi kumbe mwenzako anakuchora tu na kukupotezea muda.Ni kweli nikigundua kwamba mteja wangu hana malengo basi nahakikisha namuuzia ndoto au namuacha atafute ndoto peke yake.Either way sio sawa kufanya kazi na mtu asiyekuwa na malengo
 
Nashakuru Mkuu kwa huu ufunuo.
Karibu,Mkuu,Ninachokuahidi ni kwamba iwapo utawasiliana nasi Hutojutia.Unaweza kuja kuwa balozi mzuri sana wa huduma zetu kwani.Tunataka ufanikiwe.Tupigie 0710323060 LEO.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom