jinsi ya

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Simeone

    JamiiForums Tanzania Msaada wa haraka, Jinsi gani ya kutuma online SMS

    Habari zenu wakuu, ni website gani nitumie kutuma sms/mms? natumia kitochi chenye browser ya opera mini. Msaada tafadhali!
  2. Dr. Wansegamila

    JamiiForums Tanzania Jinsi ya kujibu swali la, "Why should we hire you?" kwenye interview

    Habari wakuu. Kwa uzoefu wangu wa kufanya interviews zaidi ya 20 kwa kipindi cha miaka 6 iliyopita, moja ya swali ambalo nimekutana nalo mara nyingi ni, "WHY SHOULD WE HIRE YOU?". Kwanza, niwe wazi kuwa hili ni kati ya swali ambalo kiukweli binafsi silipendi kabisa. Kwa nini silipendi? Kwa...
  3. TheDreamer Thebeliever

    JamiiForums Tanzania Uzi maalum jinsi ya kupata kazi miradi mikubwa kama Bwawa la Nyerere, Bomba la mafuta, Standard Gauge n.k

    Habari zenu wanabodi! Hebu tujadili leo jinsi gani unaweza ukapata kazi kwenye miradi mikubwa niliyoitaja hapo juu na mengineyo. Kwanza tumuombe Mungu aujalie uzi huu uwe na wachangiaji ambao sio wabinafsi, ambao watashare experience zao mbinu gani wanazotumia au walizotumia kupata kazi kwenye...
  4. Nafaka

    JamiiForums Tanzania Fahamu jinsi ya kutumia LinkedIn kupata ajira

    Habari ya humu ndani. Mimi siyo HR wala mtaalam sana wa mambo ya HR ila ninataka kutoa mtazamo wangu kutokana na uzoefu wangu. Katika mitandao bora kabisa ambayo inaweza kubadili maisha yako ni Linkedin hasa kwa wanaotafuta kazi au hata wenye kazi ambao wanatafuta kazi ya ziada au kazi bora...
  5. Mbaga Jr

    JamiiForums Tanzania Msaada jinsi ya kuondoa hizi vitu kwenye simu

    Inasikitisha sana wakuu
  6. J

    JamiiForums Tanzania Jinsi ya kuepuka utapeli wa kazi na ajira kupitia mtandao

    Kuwa na shaka juu ya fursa za kazi, haswa zile zinazotoa ahadi ya mapato ya uhakika au zinazohitaji ulipie kabla ya kuanza. Ikiwa kazi hiyo inajumuisha kutengeneza au kuuza aina fulani ya bidhaa au huduma, ulizia kwanza ikiwa kweli kuna soko la bidhaa hiyo. Uliza mrejesho kutoka kwa watu...
  7. Mnabuduhe

    JamiiForums Tanzania Msaada wa jinsi ya kusamehe na kuachilia

    Habari wana JF! Mimi ni Muhanga wa hali hii nimevumilia sana lakini nimeshindwa. Juzi kuna jamaa yangu amekuja hapa kunihadithia kisa kilichomkuta maishani mwake ameshindwa kabisa kusamehe na kuachilia inagawaje anadai hana shida na watu waliomuumiza na kumpiga majungu. Baada ya kunieleza...
  8. J

    JamiiForums Tanzania Jinsi ya kutunza Watoto Njiti katika chumba maalum

    Kuhakikisha ngozi ya mtoto inakuwa imegusana na ngozi ya mama ( skin to skin contact/ kangaroo mother care). Hapa mama anashauriwa kumbeba mtoto kwa kumgusisha katk ngozi ya mama uda mwingi ili kumkinga mtoto kupoteza joto. Ii/Kumfunika mtoto kwa nguo nzito iliasipoteze joto. Nguo hizo lazima...
  9. Masokotz

    JamiiForums Tanzania Jinsi ya kutengeneza Milioni 10 yako ya kwanza. Generating your first 10 Milions

    Habari za wakti huu; Kwa muda sasa nimekuwa nikizungumza na watu juu ya kuzalisha na kutumia Pesa. Jambo ambalo nimgundua ni kwamba imani yako kuhusu Pesa inaweza kathiri uwezo na kiwango cha PEsa ambacho unaweza kuzalisha. Wengi wetu tuna imani potofu kuhusu Pesa.Baadhi yet tunefikia hatua...
  10. J

    JamiiForums Tanzania Jinsi ya kujikinga na maambukizi ya magonjwa yanayoathiri mfumo wa upumuaji

    Vaa barakoa mara kwa mara unapokuwa na watu wengine au unapokuwa kwenye mkusanyiko wa watu Nawa mikono yako mara kwa mara kwa maji tiririka na sabuni Epuka kusalimiana na watu kwa kushikana mikono, kukumbatiana na kubusu Ni lazima kuzingatia usafi wa mazingira, kunawa mikono kwa maji na...
  11. J

    JamiiForums Tanzania Mganga Mkuu wa Serikali, Prof. Makubi: Wananchi chukueni tahadhari za kujilinda na kuwalinda wengine dhidi ya magonjwa, msisubiri matamko

    Mganga Mkuu wa Serikali Prof Abel Makubi amewataka watanzania kuchukua tahadhari dhidi ya magonjwa ya kuambukiza na yasiyoambukiza kadhalika wajikinge wenyewe na kuwakinga wengine. Makubi amesisitiza kuwa hizi siyo nyakati za kusubiri matamko wakati unaona kabisa mbele kuna nyoka, jiongeze...
  12. racka98

    JamiiForums Tanzania Jinsi ya kutumia feature mpya ya Nearby Share kwenye Android phones

    Mnamo tarehe 4 August 2020, Google walizindua feature yao ya kushare mafile kati ya Android phones iitwayo Nearby Share ambayo ni kama Xender app na Airdrop ya iPhones. Nearby Share inafanana ufanyaji kazi wake kama airdrop ya kwenye iPhones kwamba unapata menu ya kushare kutumia njia directly...
  13. B

    JamiiForums Tanzania Jinsi ya kuanzisha kiwanda cha mafuta

    Nahitaji kujua kama kuna mwenye anaifahamu anifahamishe
  14. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania Jinsi ya kudhibiti matumizi ya mtandao ya mtoto

    Katika ulimwengu wa Teknolojia wa sasa watoto wanalazimika kuwa na vifaa kama simu, laptops nk ili kuwezesha mawasiliano ya mzazi na mtoto. Kwa kiasi kikubwa wazazi wanadhana kwamba vifaa hivi vinaweza kumuharibu mtoto hivyo wengine huwanyima watoto vifaa hivyo ambapo wanakuwa wamewanyima haki...
  15. K

    JamiiForums Tanzania Jinsi ya kuanzisha biashara ya internet café

    Habari zenu wana jukwaa, kama kichwa kinavyo jieleza hapo juu naomba kufahamu abc za namna ya kuanzisha hii huduma hapa mjini. Kwa anayefahamu gharama za ujumla na vibali husika. Shukran.
  16. Msandawe Jr

    JamiiForums Tanzania Msaada: Naomba kujuzwa jinsi ya kupata uraia kwa msichana anayetoka nje ya nchi ili kuolewa na kuishi Tanzania

    Habari za jioni wana JF! Nina mpenzi wangu anaishi nchini Australia anataka kuja Tanzania tuanze maisha, naomba msaada kujua taratibu za kufanya kumpatia uraia ili niweze kuishi nae Tanzania.
  17. DELETED ACCOUNT

    JamiiForums Tanzania Naomba kujuzwa jinsi ya kulipa faini za barabarani

    Wakuu naomba mwongozo wa jinsi ya kulipa faini ya barabarani. Je, inawezekana kufanya malipo haya online au utaratibu umekaaje?
  18. C

    JamiiForums Tanzania Jinsi ya kubadili user agent ili niweze kupata access ya freebasics kwenye PC

    Naomba kuelekezwa kubadilisha user agent katika PC niweze kutumia free basics kwenye PC
  19. T

    JamiiForums Tanzania Msaada wa jinsi ya kukaanga karanga

    Hello, wakuu naomba msaada wa jinsi ya kukaanga karanga kwa ajili ya kuuza. Je, naweza tumia microwave katika kukaangia karanga au je, nitumie nini katika kukaanga karanga? Msaada tafadhali
  20. J

    JamiiForums Tanzania Jinsi ya kushiriki katika kupambana na rushwa

    Kila mwananchi ana wajibu wa kushiriki katika kuzuia na kupambana na rushwa kwa kufanya yafuatayo; Kutoa taarifa Kila mwananchi ana jukumu la kutoa taarifa za vitendo vya rushwa kwa TAKUKURU au kwa vyombo vingine vya sheria au dola. Taarifa zinaweza kutolewa kwa njia ya simu, barua, barua...
Back
Top Bottom