jamii

  1. sky soldier

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kwanini wanawake wa kiarabu (machotara) wa Tabora, Shinyanga hawachangamani na jamii?

    Kuna muda huwa nashindwa hata kuelewa kama hawa ni wenzetu. Sizungumzii waarabu original wale wa Oman, Dubai, n.k ni hawa waarabu wa hapa hapa bongo wengi wakiwa machotara waliochanganyikana kabisa na wabantu, wengi wapo Sikonge, Igunga, Ngega, Tinde, Itobo, n.k Yani wao ni ndani tu mda wote...
  2. Bushmamy

    JamiiForums Tanzania Ongezeko la Ajira kwa watoto, Serikali kupitia ustawi wa jamii imejisahau?

    Achia mbali ongezeko la watoto wa mtaani katika miji yote mikubwa., Tatizo lingine linaloonekana kwa sasa ni wingi wa ajira kwa watoto wenye umri kati ya miaka 9-13. Tena katika mfumo tofauti tofauti kama ifuatavyo. Kwa maeneo ya mjini watoto wenye umri tajwa hapo juu siku hizi ndo hutumika...
  3. KENZY

    JamiiForums Tanzania Hii ndio jamii ya Jamiiforums

    Humu tumo mkusanyiko wa watu wengi ambao tumeunda jamii hivyo tumesadiki nadharia ya Jamii ambayo ipo katika mfumo wa forum!. Nitaielezea kidogo jamii ya jamiiforum kwa makundi machache huku nikitoa na mifano ya baadhi ya member hao,here we go. Wanasiasa wa jamiiforum. Hawa huongoza katika...
  4. Maxence Melo

    JamiiForums Tanzania App Mpya ya JamiiForums: Fuata hatua hizi

    Edited on Feb 14, 2024 Android users: Follow 👉🏾 DOWNLOAD JF APP iOS Users Users: Follow DOWNLOAD JF APP
  5. W

    JamiiForums Tanzania Rais Samia ameleta neema kwa jamii

    Na Mwandishi wetu Mihambwe Miradi ya maendeleo inayoendelea kutekelezwa nchi nzima imeleta neema na unafuu mkubwa kwa jamii. Hayo yamebainishwa na Afisa Tarafa Mihambwe Emmanuel Shilatu wakati alipofanya ziara ya kawaida ya ukaguzi wa miradi wa maendeleo ya Elimu ya ustawi wa jamii kwa Taifa...
  6. kibori nangai

    JamiiForums Tanzania Ni wakati sasa Mashirika ya hifadhi ya jamii kutoa mikopo kwa wanachama wao

    Wanajamii Forum, Naomba niwape Salam zanguu wote bila ya kujali ya Rangi ,Kabila na dini. Na baada ya Salamu nisiwachoche maana najua shughuli Mingi mwisho wa wiki kujiandaa kwa mapambano ya wiki nyingine. Leo nina hoja, kwa hapa nchini mwetu kwa sasa tuna mifuko miwili ya Hifadhi ya jamii...
  7. Sky Eclat

    JamiiForums Tanzania Enzi za Dola ya Roma walichaguliwa wenye bikra kutumikia madhabahu. Hawa walipewa heshima kubwa katika jamii

    Utaratibu kama huu unaweza kurudisha heshima ya bikra katika jamii na wana wari kujitunza mpaka ndoa.
  8. Damaso

    JamiiForums Tanzania Tambua mambo sita ya ajabu kutoka kwa jamii ya Aghori nchini India

    Habarini za Alhamisi natumaini mpo vizuri sana, poleni kwa wale wagonjwa Mungu awape afya njema. kama ilivyo kawaida yangu ya kuwaletea makala za kutambua mambo mbalimbali kuhusu jamii kadhaa hapa duniani. kuanzia utamaduni wao, mila pamoja na namna ya maisha yao kwa ujumla. Leo nitakuja...
  9. beth

    JamiiForums Tanzania TAMWA: Jamii inawajibika kukemea vitendo vya Ukatili Wa Kijinsia

    Kuelekea maadhimisho ya Siku 16 za Kupinga Ukatili wa Kijinsia, kila mmoja katika Jamii ana wajibu wa kukemea vitendo vya Ukatili Wa Kijinsia na kutoa Elimu juu ya madhara ya vitendo hivyo Usawa wa Haki, Uwajibikaji na Elimu kwa wote ni muhimu kupunguza matukio ya unyanyasaji wa kijinsia TAMWA
  10. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania Uwepo wa waandishi wa habari makanjanja ni hatari ndani ya jamii/ nchi

    WAANDISHI MAKANJANJA NI HATARI NDANI YA NCHI. Anaandika Robert Heriel. Leo nitatumia lugha ngumu kidogo, nafahamu nazungumzia kazi za watu ambazo zinawaingizia kipato. Hata hivyo Nia yangu sio kuonyesha ubinafsi, kuwaonea kijicho, isipokuwa kuwataka wabadilike, ili tujenge jamii Bora na taifa...
  11. luangalila

    JamiiForums Tanzania Wanahabari walia na waajiri kutopeleka michango mifuko ya hifadhi ya jamii

    Giza limetanda sekta ya habari wana habari hususani wa sekta binafsi walia na waajiri kitopeleka michango katika mifuko ya hifadhi ya Jamii e.g (Nssf). Mbunge Ester Bulaya ambae kitaaluma ni mwanahabari pia, juzi bungeni aliuliza swali dogo la nyongeza kuhusu kilio cha wana habari...
  12. P

    JamiiForums Tanzania Kutangaza na Jamii Forums

    Habari zenu JF expert members. Nahitaji kujua kutangaza na Jamii Forums gharama zake (kama ni Admin/mod inbox Kwa maelezo zaidi) na wewe mwingine share ujuzi wako kuhusu kutangaza na Jamii Forums. Asante
  13. T

    JamiiForums Tanzania DAWASCO mna la kujifunza, maji ni muhimu sana katika jamii

    DAWASA/DAWASCO ni shirika la hivyo kabisa Sijui kama wanajua kuwa maji ni muhimu saana kwenye jamii. Nisizunguke saana maana tatizo la maji ni la nchi nzima na ni ujinga wa viongozi wetu. Ujinga wa DAWASCO ni 1. Maji yakiwa yanavuja mtaani kwako badala ya kurekebisha wanakata bomba na kukunja...
  14. M

    JamiiForums Tanzania Baada ya Msomali kuchoma kisu mbunge wa Uingereza leo sijui jamii ya kisomali itaashi kwa amani

    Inakuwaje Wanajamvi! Imethibitika mwanaume MSOMALI mwenye miaka 25 ndo alimuua Tory MP Sir David Ammes kwa kuchoma kisu mara nyingi kifuani huku mashuhuda wakipigwa mayowe ya hatarii. Hii imepelekea jeshi la polisi Uingereza kupitia upya ulinzi wa wabunge na wanasiasa. Wasomali ambao idadi...
  15. matunduizi

    JamiiForums Tanzania "Adolescence" Neno linalotumika kuangamiza jamii ya mwanadamu

    Adolescence ni neno la kimombo ambalo humaanisha umri kati ya utoto na utu uzima. Inakadiliwa miaka kati ya 10 hadi 19. Umri huu umeitwa majina mengi ikiwemo foolish age kwa maana ya umri wa ujinga. Kiukweli neno hili ni mtego mkubwa ambao wanadamu wameingizwa bila kujua. Vijana umri huu...
  16. E

    JamiiForums Tanzania Kutoa ajira kwa waliofeli divisheni 4 tena kuanzia point 28 mpaka 31 ni kutuharibia jamii

    Nimeona matangazo ya ajira ya uhamiaji kuwa wanahitaji kidato cha 4 waliopata divishen 4 kuanzia pointi 28 mpaka 31 nikajiuliza sana. Hivi taifa hili akili huwa tunazipeleka wapi? kwa nini uwe specific kutoa upendeleo kwa waliofeli? unaipeleka wapi jamii yetu kwa upendeleo wa aina hiyo...
  17. M

    JamiiForums Tanzania SoC01 Mimba za utotoni kikwazo kwa mabinti wengi vijijini

    Mimba za utotoni kikwazo kwa mabinti wengi vijijini Habari wanajamvi, Naomba kuwasilisha kwenu andiko hili kuhusiana na changamoto ya mimba za utotoni. UTANGULIZI Tunapozungumzia mimba za utotoni tunamaanisha ni ile hali ya kuwa na ujauzito kwa binti yeyote ambae hajatimiza umri wa miaka 18...
  18. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania Rais Samia; Achana na hoja ya Haki Sawa inakupotezea Ushawishi ndani ya jamii

    RAIS SAMIA, ACHANA NA HOJA YA HAKI SAWA. INAKUPOTEZEA USHAWISHI NDANI YA JAMII. Na, Robert Heriel. Kwa maoni na mtazamo wangu ambao kimsingi nauamini, ninaona mbele zaidi miaka kadhaa ijayo. Naomba Mhe. Rais uachane na hoja ya Haki Sawa bhaina ya Mwanamke na Mwanaume. Hakunaga haki Sawa baina...
  19. G

    JamiiForums Tanzania SoC01 Kuleta maendeleo kwenye jamii ni jukumu la nani?

    Nilipokuwa mdogo niliwaza na kufikiri kuwa, swala la kuleta maendeleo (mabadiliko) kwenye jamii ni jukumu la serikali na matajiri pekee. Nilihisi wao pekee ndio wenye nguvu ya kufanya hivyo. Mpaka leo mawazo haya yapo kwa baadhi ya watu ikiwemo vijana. Wengi wetu uhisi kuwa kuna kikundi fulani...
  20. APPROXIMATELY

    JamiiForums Tanzania Simba kukakataa kuvaa medali siku ya ngao ya jamii ni kukosa ungwana

    Mpira ni mchezo wa ungwana, simba iliposhinda Kigoma yanga walivaa medali kama mshindi wa pili, hii inaonyesha simba sio hawajui fair play, wanataka wao tu wawe wanashinda, wamesahau kuwa ni zama za return of champion.
Back
Top Bottom