jamii

  1. Chachu Ombara

    JamiiForums Tanzania Ukatili wa Kingono kwa Watoto, Serikali na Jamii inawajibika

    Ukatili wa kingono dhidi ya watoto huhusisha ubakaji, ulawiti, utekaji na usafirishaji wa watoto kwa ajili ya ngono, kumshika mtoto via vya uzazi ikiwa ni pamoja na uke, uume na matiti, uoneshaji video za ngono kwa watoto Miaka ya karibuni visa vya Ukatili wa Kingono kwa Watoto vinazidi...
  2. macedonea

    JamiiForums Tanzania Mifuko ya Hifadhi ya jamii

    Habari wanajamiiForums, rejea na kichwa habari hapo juu Naomba kwa pamoja tuwekane sawa kwenye haya masuala ya mifuko yahidhi ya jamii, maana mimi ni mhanga wa kutaka kujuzwa zaidi ya hapa ninapo elewa, Kufuatia taarifa ya mkurugenzi wa mifuko ya hifadhi ya jamii, tarehe 14 Nov 2018.kupitia...
  3. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania Kutolelewa Na Baba na Mama humfanya mtoto asiwe na Upendo, hii ni sababu upendo wa ndani ya jamii Zama hizi kupungua

    Kwema Wakuu! Ni ngumu Sana kukuta upendo Kwa watoto ambao hawajalelewa na Baba na Mama, hiyo ndio sababu siku hizi kwenye jamii upendo wa wengi umepoa. Mtoto asipolelewa na wazazi wawili, Baba na Mama yake hisia na vyanzo vya upendo hufa POLEPOLE Kwa uhakika. Kuachana Kwa wenza, Baba na Mama...
  4. DR HAYA LAND

    JamiiForums Tanzania Jamii ya leo wakikuona kijana unajitambua sio mtu wa totozi wala mlevi wa pombe na sigara wanabaki kukuombea mabaya

    Wakuu mimi hapa nimekaa Mtaani Almost Two years lakin that time nilikuwa Chuo naongeza Maarifa ya kitu flan. Sasa Mimi hapa Kama kijana nimeamua kumtanguliza Mungu na kujituma katika Maisha yangu. Maaajabu nimeanza kuchukiwa na Familiya yangu . Lakini yote hayo Ni kwasababu nimeanza kumjali...
  5. PromiseLand

    JamiiForums Tanzania Msaada: Naomba kujuzwa kuhusu Chuo cha Maendeleo ya Jamii Rungemba

    Ninawasalimu wadau wote mliomu humu ndani. Wadau ninaomba kufahamishwa kuhusu chuo tajwa hapo juu maana kijana wangu amechaguliwa kujiunga chuo hicho. Kwa anayefahamu kuhusu kozi zinazotelewa hapo chuoni ili nione kama zina tija ili...
  6. Kijakazi

    JamiiForums Tanzania Kuna viongozi huwekwa wa MAKUSUDi ili kubomoa Jamii

    Hii inatokea sana Duniani kote, kuna Viongozi huletwa mahsusi kwa kazi moja tu ya kubomoa jamii ambayo tayari ilikuwa imeshaanza kujitambua, ikumbukwe kwamba poverty ya Afrika ni biashara, kuna watu wanaishi kwa sababu ya poverty ya Afrika na wana Mishahara ya kukufuru, fikiria tu kwa mfano UN...
  7. Wababa13

    JamiiForums Tanzania Nina Ordinary Diploma ya Maendeleo ya Jamii, kwenye mfumo wa ajira portal hii ndo inaitwa Diploma/FTC naomba msaada?

    Habari zenu wadau ivi kwenye mfumo wa Ajira Portal ile Diploma/FTC ni special kwa mtu aliye na kiwango kipi cha elimu?
  8. emmarki

    JamiiForums Tanzania Wenye uzoefu wa nafasi ya Afisa Maendeleo ya Jamii, written interview

    Hello, Ninajiandaa na usaili wa written, nafasi ya Afisa Maendeleo ya Jamii kutoka utumishi Naomba mwenye vidokezo, written yao inalenga maeneo gani haswa?
  9. K

    JamiiForums Tanzania Jaji aliyetoa hukumu ya Sabaya tutapataje CV yake? Anasifika Kwa uadilifu ofisini kwake na machoni pa jamii?

    Mataifa mengi hupinga dhuruma Kwa kuwafichua wadhulumati, hupinga Rushwa Kwa kuwafichua Wala Rushwa na kufichua wasio waadilifu Kwa kufichua historia yao ya utendaji Haitoshi kuheshimu hukumu ya Mahakama inatosha kuitafsiri hukumu hiyo kulingana na matendo ya Mtuhumiwa yaliyoonekana Kwa macho...
  10. bigmen

    JamiiForums Tanzania Habari Wana jamii

    Nimwaka wa tatu Sasa natafuta mchumba wa kuowa, lkn Kila nikipambana kutafuta naangukia pia, naombeni maelekezo websaiti nayoweza PATA wachumba... Ata group la mamanzi wa kizungu mm fresh... Nisaidien jmn Angalizo: Kama Kuna bibie yeyote Alie nielewa anichek tufanye maisha
  11. Chagu wa Malunde

    JamiiForums Tanzania Profesa Shivji: Wasomi wanaogopa kukosoa Serikali ili wapate teuzi. Hawana msaada tena kwa jamii ya Watanzania

    Wasomi wapo kwa ajili ya matumbo yao tu. Hawana msaada wa kitaaluma kwa taifa letu tena. Hawakosoi kwa manufaa ya umma -- Mwanazuoni mkongwe nchini, Profesa Issa Shivji amesema sehemu kubwa ya wasomi nchini wameshindwa kulisaidia Taifa kwa kutoa ushauri unaofaa huku wakisubiri kuteuliwa kwenye...
  12. M

    JamiiForums Tanzania New member humu..nisome

    Nipokeeni member mpya..lakini ni mtumiaji wa jamii forum tangu 2010
  13. ANT DRUGS

    JamiiForums Tanzania Jinsi jamii ilivyotengeneza Panya Road

    Habari zenu wakuu, Habari inayotikisa jiji letu pendwa ni hawa watoto watukutu. Unaweza kujiuliza hawa watoto hawana wazazi? Hawana ndugu? Mpendwa msomaji napenda kukujulisha kuwa kwa tafiti yangu ndogo nimegundua kwamba hawa watoto chanjo Chake ni jamii yenyewe hasa WAZAZI. Unakuta MZAZI ana...
  14. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania Kinachofanya Marehemu asimwe ni Unafiki wa watu ndani ya jamii!

    Kwema Wakuu! Taikon nikifa msinionee haya, nisemeni Kwa mazuri niliyofanya, alafu nitukaneni na nipeni vidonge vyangu Kwa mabaya niliyoyatenda. Taikon Hapendi watu wanafiki wanafiki! Wachungaji na masheikhe endapo mtapewa jukumu la kutoa ibada ya mazishi yangu, ikiwa mnajua mazuri yangu...
  15. Mia saba

    JamiiForums Tanzania Jamii ingechukulia kwenda shule Kama utamaduni mmoja kwa binadamu kamili tusingekuwa na presha kwa kukosa kuajiliwa

    Wazazi waache kuwalaumu watoto wanapofeli shule kwa kigezo Cha kuwa hutofanikiwa. Wazazi wawekeze mda mwingi na watoto juu ya nidham ya fedha ili wao nao waweze kuwafikisha watoto wao mbali kielimu. Shule tungeiona Kama tamaduni yenye kumuimarisha kijana kiakili na kifikra kuwa bora zaid...
  16. The unpaid Seller

    JamiiForums Tanzania Nawaaga JamiiForum kwaherini

    Salaam wakuu, Jamii Forum ina mambo mengi mazuri kuanzia mijadala ya siasa, makazi na ujenzi, hoja na habari, mahusiano, biashara nk nk. Niweke wazi nimekua addicted na JF muda mwingi nipo JF hata wakati wa kutekeleza majukumu yangu najikuta nimechepuka niko JF, mke wangu ananilaumu muda wote...
  17. BigTall

    JamiiForums Tanzania Jamii imetakiwa kujikinga na magonjwa ya mlipuko

    Jamii imetakiwa kujikinga magonjwa ya mlipuko ikiwepo kufuata miongozo na elimu inayotolewa kwa umma katika kuongeza uelewa na kujenga utayari wa kukabiliana na magonjwa ya mlipuko. Hayo yamesemwa Aprili 15, 2022 na Mratibu wa Elimu kwa Umma na Ushirikishaji Jamii wakati wa dharura Dkt. Tumaini...
  18. Kabinti ka ludilo

    JamiiForums Tanzania Maofisa ustawi wa Jamii 268 ngazi ya kata, wapo katika kata gani?

    Wakuu, Mimi nauliza hao maafisa ustawi wapo katika kata ipi. Maana nina uzoefu wa wilaya kama Kyela, Ludewa, Njombe, na Mufindi, zote hazina Afisa ustawi wa jamii hata mmoja ngazi ya kata. Je wapo wapi hao maafisa ustawi ngazi ya kata?
  19. U

    JamiiForums Tanzania Picha mbalimbali za watu wa Jamii ya Wangbetu iliyo Congo namna wanavyorefusha vichwa vyao

    An elongated head was an ideal of beauty among the Mangbetu people, 1930 The Mangbetu stood out to European explorers because of their elongated heads. The Mangbetu people had a distinctive look and this was partly due to their elongated heads. At birth, the heads of babies’ were tightly...
  20. Jidu La Mabambasi

    JamiiForums Tanzania Serikali iwachukulie hatua hawa Maaskofu wa KKKT kwa kuleta fujo katika Jamii ya waumini

    Hii sasa ni hatari kwa mustakabali wa amani nchini. Inavyoonekana kuna kikundi cha Maaskofu ambao wameamua kuleta ufarakano ndani ya Kanisa la Kiinjili la Kilutheri, Tanzania-KKKT. Hili kundi yumo Askofu Bagonza wa Karagwe Askofu Mwaipopo wa Jimbo La Ziwa Tanganyika, Sumbawanga Na sasa amengia...
Back
Top Bottom