jamii

  1. E

    JamiiForums Tanzania Kutoa ajira kwa waliofeli divisheni 4 tena kuanzia point 28 mpaka 31 ni kutuharibia jamii

    Nimeona matangazo ya ajira ya uhamiaji kuwa wanahitaji kidato cha 4 waliopata divishen 4 kuanzia pointi 28 mpaka 31 nikajiuliza sana. Hivi taifa hili akili huwa tunazipeleka wapi? kwa nini uwe specific kutoa upendeleo kwa waliofeli? unaipeleka wapi jamii yetu kwa upendeleo wa aina hiyo...
  2. M

    JamiiForums Tanzania SoC01 Mimba za utotoni kikwazo kwa mabinti wengi vijijini

    Mimba za utotoni kikwazo kwa mabinti wengi vijijini Habari wanajamvi, Naomba kuwasilisha kwenu andiko hili kuhusiana na changamoto ya mimba za utotoni. UTANGULIZI Tunapozungumzia mimba za utotoni tunamaanisha ni ile hali ya kuwa na ujauzito kwa binti yeyote ambae hajatimiza umri wa miaka 18...
  3. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania Rais Samia; Achana na hoja ya Haki Sawa inakupotezea Ushawishi ndani ya jamii

    RAIS SAMIA, ACHANA NA HOJA YA HAKI SAWA. INAKUPOTEZEA USHAWISHI NDANI YA JAMII. Na, Robert Heriel. Kwa maoni na mtazamo wangu ambao kimsingi nauamini, ninaona mbele zaidi miaka kadhaa ijayo. Naomba Mhe. Rais uachane na hoja ya Haki Sawa bhaina ya Mwanamke na Mwanaume. Hakunaga haki Sawa baina...
  4. G

    JamiiForums Tanzania SoC01 Kuleta maendeleo kwenye jamii ni jukumu la nani?

    Nilipokuwa mdogo niliwaza na kufikiri kuwa, swala la kuleta maendeleo (mabadiliko) kwenye jamii ni jukumu la serikali na matajiri pekee. Nilihisi wao pekee ndio wenye nguvu ya kufanya hivyo. Mpaka leo mawazo haya yapo kwa baadhi ya watu ikiwemo vijana. Wengi wetu uhisi kuwa kuna kikundi fulani...
  5. APPROXIMATELY

    JamiiForums Tanzania Simba kukakataa kuvaa medali siku ya ngao ya jamii ni kukosa ungwana

    Mpira ni mchezo wa ungwana, simba iliposhinda Kigoma yanga walivaa medali kama mshindi wa pili, hii inaonyesha simba sio hawajui fair play, wanataka wao tu wawe wanashinda, wamesahau kuwa ni zama za return of champion.
  6. ngatungas

    JamiiForums Tanzania SoC01 Brainwashing kwenye Dini. Kushamiri kwa Madhehebu, Na muelekeo unaofaa kufatwa na Jamii kwa ustawi wa Afya ya akili.

    Utangulizi. Nadhani sisi sote ni wafuasi wa imani fulani maishani.Either iwe ya kidini ama ya kifikra zaidi(scientific). Na hizi Beliefs system ndizo sana sana zinatuongoza maishani mwetu juu ya kile kipi tunafanya kila siku. Mada. Kwa Africa Uislamu-uliletwa na waarabu kipindi cha ukoloni na...
  7. Mshuza2

    JamiiForums Tanzania Kumbe huyu ustaadh ndio kawabeba Yanga ngao ya jamii

    Huyu ustadh pichani aliingiaje ndani ya vyumba vya ndani ya uwanja na hayo madude yake? Yanga bila ndumba mambo hayaendi.
  8. OMOYOGWANE

    JamiiForums Tanzania Nini kitatokea endapo serikali itapandisha vigezo vya kusoma elimu ya juu? Je, kutakuwa na athari gani ktk jamii kiuchumi?

    Wakuu hili swali nimeliuliza sehemu nkashindwa kupata majibu nimeona nililete hapa. Nini kitatokea endapo serikali itapandisha vigezo vya kusoma elimu ya juu? Je kutakuwa na athari gani ktk jamii kiuchumi? Mfano alama za kujiunga chuo ziwe atleast BBB
  9. K

    JamiiForums Tanzania Kurudisha heshima ya Polisi kwa jamii iundwe tume

    Mimi ni mtoto wa Polisi na wazazi wangu wote walikuwa kwenye jeshi hili kwa miaka mingi sana. Kwa ufupi wazazi wangu hawajawahi kufanya kazi nyingine. Ukweli kumekuwa na malalamiko mengi sana ya unyanyasaji wa Polisi wa hali ya juu. Hii sio kwa wanasiasa pekee tumesikia haya malalamiko kutoka...
  10. Meneja Wa Makampuni

    JamiiForums Tanzania Mitihani ya supplementary chuo cha ustawi wa jamii ngazi ya diploma inaanza mwezi wa ngapi na gharama ni sh. ngapi

    Habari za Leo wakuu, Naomba kufahamishwa katika hili. Mitihani ya supplementary chuo cha ustawi wa jamii ngazi ya diploma inaanza mwezi wa ngapi na gharama ni sh. ngapi.
  11. mathsjery

    JamiiForums Tanzania Wauza software wa jamii forums na lile neno la 50% OFF

    Kwanini kila wakati mnashusha bei ya bidhaa zenu ? Leo unakuta mtu anauza/kutengeneza tovuti kwa laki nne kesho tatu keahokitwa mbili mara laki na 80 sasa hii biashara haiko stable kiasi hicho au inakuwaje wakati mwingine mtu anauza native app kwa laki tatu n.k , embu tuambie hilo soko...
  12. U

    JamiiForums Tanzania Zingatia mambo yafuatayo katika mahusiano

    YAFUATAYO, NDIO MAENEO AMBAYO MTU ALIYE KWENYE MAHUSIANO NI MUHIMU ILI KULINDA MAHUSIANO/PENZI:- Ukweli ni kuwa watu wawili wanapoamua kwa dhati kuwa katika mahusiano ni kwamba wanakuwa tayari katika akili zao wamejenga matarajio au matumaini ya kunufaika na uhusiano husika, hata kama hawawezi...
  13. U

    JamiiForums Tanzania Vyakula bora vya msingi kwa afya ya jamii

    Tunaambiwa kuwa kuishi vizuri ni pamoja na kula chakula bora na sahihi. Pia, mtu anayeishi vizuri ni yule ambaye hasumbuliwi na maradhi hatari na njia pekee ya kuulinda mwili dhidi ya maradhi hatari ni kujua ipasavyo na kuvitumia vyakula bora pamoja na kufanya mazoezi. Katika makala yafuatayo...
  14. sungura23

    JamiiForums Tanzania SoC01 Elimu Fedha (Financial Literacy) itawakomboa watu wengi kiuchumi

    Habari wana JF, poleni na hongereni kwa shughuli za ujenzi wa Taifa letu. Andiko langu litaangazia jambo ambalo halizungumziwi sana ama halionekani wazi wazi lakini lina mantiki kubwa kwenye ukuaji wa uchumi kuanzia ngazi ya mtu mmoja mmoja. Nitaanza kwa kufafanua elimu fedha ni nini, kuna...
  15. Kwa Imani

    JamiiForums Tanzania SoC01 Mambo yanayoikwamisha jamii yetu isipige hatua

    Kitu kikubwa kinachofanya jamii isiendelee ni kulazimishana fani. Ni vema Kila mtu aachwe afanye kazi anayoipenda.
  16. Red Giant

    JamiiForums Tanzania Imani juu ya kurogana ndiyo imefanya wabantu kuwa jamii maskini zaidi duniani

    Kuna mama mmoja aliandikwa kwenye gazeti, aliunguliwa na nyumba huko SA. Akaanza kulalamika. "Sina ugomvi na mtu, nashangaa kurogwa namna hii." Yaani anaamini moto umeletwa ma wachawi. Mbantu akiumwa anaamini kuwa amerogwa anaenda kuagua, wakati mwenzie mmasai anaenda porini kutafuta miti...
  17. Denis1729

    JamiiForums Tanzania SoC01 Wajibu wa Serikali katika kuleta Maendeleo ya Jamii

    Maendeleo ya jamii hutokana na jamii kwa kushirikiana na serikali kuhakikisha huduma za jamii zinapatikana kwa urahisi kutokana na demokrasia imara pamoja na utawala bora ambao utaongozwa na katiba ya nchi katika kuweka vipaumbele vinavyoleta maendeleo bila kuathiri maisha ya mwananchi, kutambua...
  18. comte

    JamiiForums Tanzania Ningejua mapema ningesoma sosiolojia ili kusaidia jamii kuliko kusaidia wahalifu kama wale mawakili wasomi wanavyojinadi

    “I am a sociologist because. . . .” I am curious about the world in which I live I am fascinated by all things social I am intrigued about why people do the things they do I am interested in how people interact with each other I believe that society is a human invention and I want to know how...
  19. MWAG

    JamiiForums Tanzania SoC01 Jamii Forums: Habari Katika Kurasa Salama

    Unajua nini kuna mitandao ya kijamii ukiifuatilia utacheka sana wakati mwingine inasikitisha kwasababu waandishi hawana tena uweledi yaani hawaandiki tena uhalisia wa maisha wanaandika kile bosi anataka hii ni hatari kwani kwani waandishi ndo watu pekee wanao weza kubadili uongo uonekane kweli...
  20. Chaliifrancisco

    JamiiForums Tanzania Aina Mbili za Wezi katika Jamii Zetu

    Kuna aina mbili za wezi katika kila Jamii. 1. Mwizi wa Kawaida 2. Mwizi wa Kisiasa Mwizi wa kawaida huiba vifuatavyo Pesa, mkoba, saa ya dhahabu n.k. Lakini, mwizi wa kisiasa huiba future yako, career yako, elimu yako, afya yako, biashara n.k. Kinachochekesha zaidi ni kuwa mwizi wa kawaida...
Back
Top Bottom