jamii

  1. peter msuku

    JamiiForums Tanzania Jamii masikini yenye ardhi tajiri (Msangano Momba)

    JAMII MASKINI KWENYE ARDHI TAJIRI (MSANGANO MOMBA) BY MSUKU PETER UTANGULIZI Umasikini. Ni hali ya ukosefu wa mahitaji ya msingi ya binadamu kama vile malazi, mavazi na chakula. Lakini pia maji safi na salama, huduma za afya, kutokana na kukosa uwezo wa kununua au kulipia. Hii pia...
  2. Am a star

    JamiiForums Tanzania JamiiForums inavyobadilisha maisha yangu kwa kunipa wazo la (THD)

    TOPTRUST HELP DESC (A standby force) “ 0693354479 “ Baada ya kupitia nyuzi nyingi humu nilipata wazo! nikachukua hatua ya kukusanya taarifa zote muhimu za jiji la DAR ES SALAAM kuhusu huduma wanazohitaji watu ili kurahisisha maisha yao na kuokoa muda. sasa naweza kukusaidia Kila eneo...
  3. Sky Eclat

    JamiiForums Tanzania Kuna ukweli wowote kuhusu salamu ya jamii huendana na uchumi wao

    Salamu ya jamii yeyote inaendana na uchumi wao. Mfano salamu ya Shikamoo ina asili ya Pwani maana yake niko chini ya miguu yako. Hivi ndivyo watumwa na wapagazi walivyosalimia ma bwana wakubwa. Habari za asubuhi, ina maana huna uhakika wa habari asubuhi ile, unaweza kusikia kuna mgonjwa au...
  4. Sky Eclat

    JamiiForums Tanzania Jela inapokuwa na manufaa kwa jamii

    Kuna bwana mmoja Mtanzania ni fundi huko Ulaya. Ana kampuni yake ndogo na van la kazi. Huwa anaajiri cash in hand wengi kutoka Romania na Poland. Ifundi wa huyu bwana ni: 1. Fundi bomba, hutengeneza mabomba yaliyoharibika na pia kufunga mashine za kufulia. 2. Fundi umeme na gas, hutengeneza...
  5. K

    JamiiForums Tanzania HAPPY NEW YEAR WANA JAMII FORUMS

    Niwatakie Happy New Year wote. Mwaka huu uwe mwaka wa mafanikio kwa kila Mwanajamiiforums. Tujielekeze katika kuelemisha jamii na kutoa ushauri kwa kila jambo ambalo lina manufaa. Tujiepushe na matusi na udhalilishaji kwa jamii. Tupendane na kushirikiana katika kila jambo. Narudia tena HAPPY...
  6. omugabire

    JamiiForums Tanzania Top 20 ya JamiiForums

    Top 20 ya members wenye meseji nyingi kuliko wote jamii forums 1. RUTASHUBANYUMA(JF-Expert member) Message: 169,603 2. NUMBISA( JF-Expert member) Message: 151,963 3. MSHANA JR(platnum member) Message: 127,933 4. SHUNIE(JF-Expert member) Message: 118,537 5. SHIMBA YA BUYENZE( JF- Expert...
  7. X-Agent

    JamiiForums Tanzania Tunaiomba jamii forums ndani ya kai ios

    Habari, leo nimenunua kitochi janja kiukweli kipo simple na kinacover mambo mengi compare na kitochi jinga cha nokia, ili nikifahamu vizuri ilibidi nimeweka smartphone langu kubwa kwenye droo na kwakweli sijalimiss sana..Ila Kwenye hili pilau pendwa kilichomiss ni jamiiforums app, ingependeza...
  8. talentbrain

    JamiiForums Tanzania NIDA: Taasisi iliyofeli kuingiliana na jamii

    Habari zenu watanzania wenzangu. Ni Mara ya pili naanzisha Uzi (makala) hapa inayoihusu taasisi hii nyeti imeyopewa mamlaka makubwa na serikali yetu kutupatia vitambulisho vya Taifa. Kwa umuhimu wa vitambulisho hivi ni wazi taasisi hii ni muhimu sana kwa watanzania wote. Huwezi kupata passport...
  9. Carleen

    JamiiForums Tanzania Wanandoa jitahidini sana mfichiane madhaifu yenu mbele ya jamii

    Hi guys..! Natumaini mpo salama sana.! Nilishauriwa nipunguze kuandika humu, ila Mungu ndiye ajuaye mbona nashindwa? Najikuta tu natamani kuwaandikia humu ili mfurahi ama la mjifunze jambo, Mshauri wangu na rafiki yangu..! nimeuelewa ushauri wako barabara, but please understand me, writing is...
  10. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Wana JamiiForums wote ' tuliokwazika ' na Bondia Hassan Mwakinyo ' tumsamehe ' kwani hatimaye amemuomba Radhi ' Legend ' Rashid Matumlla

    Nikiwa kama Mmoja wa Watu niliochukizwa kama siyo kukasirishwa na Kitendo Bondia Mwakinyo cha Kumdhihaki Bondia mwenye Historia iliyotukuka hapa Tanzania Rashid Matumla hadi GENTAMYCINE nikaanzisha Uzi wa Kumsema ambao uliibua Hasira Kali za Watanzania zilizosambaa sehemu mbalimbali hatimaye leo...
  11. ChoiceVariable

    JamiiForums Tanzania Nashauri serikali ianzishe Mfuko wa Maendeleo ya Huduma za Jamii, (Social Services Development Fund)

    Somo tajwa hapo juu lahusika. Naishauri serikali ianzishe Mfuko wa Maendeleo ya Huduma za Jamii (Social Services Development Fund), mfuko huu uwe na jukumu la ku-mobilise funds za kugharamia masuala ya elimu kama kujenga shule za msingi, vyumba vya madarasa, vyoo nk Pili, mfuko uwe unatoa pesa...
  12. Sky Eclat

    JamiiForums Tanzania Kusaidia jamii inayokuzunguka

    Wengi wetu hatuelewi matatizo katika jamii inayotuzunguka. Si lazima uwe tajiri ili uweze kuisaidia jamii. Kidogo ulichonacho kinaweza kubadilisha maisha ya mtu. Nilikuwa ninaangalia African Channel siku moja, nilimuona baba mmoja Mnigeria ni tajiri anayeishi Marekani. Huyu tajiri biashara yake...
  13. Fya-fyafya

    JamiiForums Tanzania Mchezo wa Kibati, Mchezo hatari na chanzo cha madeni Kwenye jamii pale ambapo usipokuwa makini

    Mchezo wa kibati ni mchezo wa waaminifu ambao watu wawili au zaidi hucheza kwa kupeana hela/ fedha kwa zamu. Zamu hizo hufanyika kwa mzunguko wa siku fulani kutokana na makubaliano ya wachezaji wenyewe. Hapa nchini, katika makundi tofauti ya jamii, mchezo huu umekuwa maarufu sana kwa kuchezwa...
  14. Frediluu

    JamiiForums Tanzania Hongera JamiiForums, hongera Maxence Melo

    Kuna watu wanachonga sana humu JF kuhusu tuzo aliyopewa Mr. Max eti hakustahili??? Wanadhani ndani ya hii nchi kinaweza kutokea kilichotokea kwa Max?? thubutu zao. Nawashukuru sana walioandaa hizo tuzo maana ni kama waliona namna isivyowezekana kwa Max kuipata hapa nyumbani. Wangeandaa ya...
  15. J

    JamiiForums Tanzania BBC waipongeza JamiiForums, wadai ndio tegemeo pekee la habari za uhakika nchini Tanzania, wampongeza Melo na watendaji wake

    BBC wameipongeza JamiiForums kwa kuwa kimbilio la wananchi kupata habari za ukweli na uhakika Sasa Maxence Melo anahojiwa mubashara kuhusu tuzo anayoipokea nchini Marekani. Chanzo: BBC Dira ya Dunia
  16. Mwl.RCT

    JamiiForums Tanzania Mahafali ya Chuo kikuu Dodoma; Rais Magufuli atunukiwa shahada ya Heshima ya Udaktari wa Falsafa

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli atunukiwa Shahada ya Heshima ya Udaktari wa Falsafa katika Sayansi ya Chuo Kikuu cha Dodoma (UDOM). Shahada hiyo imetolewa na Rais Mstaafu Benjamini Mkapa katika mahafali ya 10 ya chuo hicho. ==== Rais Magufuli awasili...
  17. CalvinKimaro

    JamiiForums Tanzania Mambo 10 ambayo mngesusia mngeeleweka na kukubalika na jamii

    1. Matibabu nje ya nchi kwa gharama za serikali. Haifai kulalamika kuwa jimboni matibabu ni duni wakati unatibiwa nje kwa gharama inayotosha kujenga zahanati yenye vifaa na madawa jimboni kwako. Ni heshima kususia hii huduma yenye ubaguzi na ubadhirifu. 2. Posho na marupurupu bungeni...
  18. Mstahiki Mea

    JamiiForums Tanzania JamiiForums imeleta mapinduzi makubwa Tanzania

    -Jukwaa hili hutoa nafasi kwa mtumiaji wake yeyote kuchapisha, mambo mbalimbali, kama vile habari, mijadala, na mafunzo mbalimbali, na hivi ndivyo ninavyolijua jukwaa hili. Aidha, jukwaa hili pamoja na kuwa ni chombo cha habari pia huweza kutumika kama sehemu ya mijadala au mafunzo mbalimbali...
  19. R

    JamiiForums Tanzania Natafuta mshirika wa kuanzisha naye asasi (NGO) ya kusaidia jamii

    Habari zenu, Ni matumaini yangu mu wazima kabisa na wenye safi na salama. Kama kichwa cha habari kinavyojieleza hapo juu, ni kwamba namtafuta mtu ambaye yupo makini na ambaye anapenda kuwasaidia wanajamii katika masuala mbalimbali ya kijamii ili tuwenze kuanzisha asasi ambayo itakuwa...
  20. Victor Mlaki

    JamiiForums Tanzania Natamani siku moja nione JamiiForums kama social media platform inayomuingizia pesa kila mwanachama

    Nina imani kubwa sana na uongozi wa Jamii forum na ninadhani imani yangu inaweza ikawa kubwa kuliko ilivyo sasa. Sijawahi kujuta kuwa mwanachama wa jamii hii pana yenye muono wa aina yake katika kuibua mwamko kwa jamii kuhusu masuala mbalimbali ya kiuchumi, kijamii na kisiasa. Nimejifunza mengi...
Back
Top Bottom