jambo

Jambo (17 April 1961 – 16 September 1992) was a gorilla housed at Durrell Wildlife Park in Jersey, Channel Islands. He was involved in an incident in which he was seen to be protective of a child who fell into his enclosure.

View More On Wikipedia.org
  1. Maisha ni mfano wa mashindano ukilielewa hili Jambo Basi utakuwa Mtu Bora Sana

    Maisha siku zote ni mfano wa Mashindano na sio kila anayeshiriki anahitaji Ubingwa au taji Kuna timu zinashiriki ili tu zisishuke Daraja. na hizi timu ndo nyingi Sana (WATU). Hivyo Kama mtu una kusuduio lako unalohitaji kulitimiza hapa Duniani na kushinda taji hili Muhimu linaloitwa MAISHA basi...
  2. Wito wa Religious Tolerance: Usikosoe jambo lolote ambalo si imani yako!

    Wanabodi, Huko nyuma niliwahi kutoa wito wa Political Tolerance kwa vyama na wanasiasa tunaotofautiana kwa kubishana bila kugombana au kutukanana! Hili ni bandiko la kutoa wito wa religious Tolerance kwa imani za wengine hata kama hatuziamini. Usikosoe jambo lolote la kiimani la imani isiyo...
  3. Ikiwa unafanya jambo ukishamaliza nafsi inakusuta.....Hilo jambo achana nalo

    Madhara yake ni makubwa au utaishia kudharirika huko mbeleni.Moyo haudanganyi ....kama ni tamaa zakupa nguvu na ukishatimiza unajutia bas Hilo jambo acha mara Moja Kama unapiga nyeto...usipoacha nguvu za kiume kukupotea kutakuumbua Unalala na housegal....mimba au ukimwi utakuumbua na ndoa...
  4. Mhandisi Fatma Rembo - "2025 Tuna Jambo Letu Ambaye ni Dkt. Samia Suluhu Hassan na Hatuna Mwingine"

    Mjumbe wa Baraza la Jumuiya Umoja wa Wanawake Tanzania (UWT) Taifa na Mjumbe wa Kamati ya Utekelezaji ya UWT Taifa, Mhandisi Fatma Rembo akizungumza na Wanawake wa Mafinga Mji, Iringa amewaomba waendelee kushikamana kwani tunaelekea kwenye Uchuguzi wa Serikali za Mitaa mwaka 2024 na Uchaguzi...
  5. Pana jambo huwa sielewi hapa

    Wanajamvi na wazee wa itifaki na protoko nisaidieni kuelewa jambo hili; hapo siku za nyumba tumekuwa tukishuhudia nyaraka za serikali JMT huwa inasainiwa na mwakilishi mmoja mahususi haswa kwenye maswala ya JMT. Ila nimepita kwenye hii matokea ya idadi ya watu katika majimbo ya uchaguzi...
  6. Tuangalie na kusikiliza hekima zilizo kuu za Mh. Lukuvi, tutapata jambo hapa.

    Binafsi katika think tank ambazo nimeona utendaji wake live pale ardhi ni huyu mwamba, na ni kilio changu kila siku arudishwe ardhi,kwani utendaji kwa binafsi yangu,dawati la kinondoni,ni shida, Get listen!👇
  7. Garbage in Garbage out: Acha kulalamika jambo lililo ndani ya uwezo wako au mamlaka yako

    Hello JF, Nitoe angalizo na kuwakumbusha viongozi au wenye mamlaka, acheni kulalamika au kuaibisha mamlaka zenu au nafasi mlizonazo, fanyeni kazi, nchi hii ina heshima kubwa epukeni kuaibisha nchi. Mnaowateua hawaombi kazi sasa iweje uropoke maneno ya aibu kwa taifa, libebe mwenyewe kifuani...
  8. Makamanda suala la DP World mmelipeleka kasi kiasi cha kuwagawa watu na kukosa umoja kwenye hili jambo

    Makamanda swala la DP World lilianza vizuri kwa kujadili kwa hoja na staha kubwa kiasi cha watu ku-concetrate kwenye hili swala moja tu la DP World na IGA. Ghafla speed ikaongezeka kwa kasi na kuanza kumuhusisha Magufuli na mkataba wa bandari, wakati ni ukweli ulio wazi Magufuli wapo...
  9. Mtu anayepata Uraisi afu anaanza kunawili Usitegemee jambo lolote la maana kwenye Taifa

    Asikwambie Mtu Uongozi ni kitu moja kigumu sana. Uongozi wa aina yoyote ile hata kama una ongoza watu 20 kuna challenges kibao lazima kichwa kiume. Sasa unapokuka ngazi ya uraisi ndiyo balaa zaidi nywele zote kichwani zinaweza kuisha kwa kuwa na majukumu mengi. Cha kushangaza mtu anakuwa...
  10. Kati ya Assad na Paskal nani anatakiwa amuunge mkono mwenzake kwenye jambo la kisheria?

    Kati ya Post zilizomo humu leo nimemuona Paskal akimuunga mkono Assad, Paskal ni mwanasheria mzuri Assad tunamfahamu kwa umahili wake kwenye mahesabu ya ndululu sijui kama naye ni mwanasheria. Leo Assad amejitokeza na kuelezea mambo ya kisheria kuhusu uwekezaji wa bandari na kuungwa mkono na...
  11. Wewe ni wa pekee, usijichukulie mnyonge

    Jambo letu tena! Jipe thamani mwenyewe. Usijichukilie kuwa mnyonge sana. Jikumbushe mambo mazuri mengi uliyofanya. Jikumbushe mbali ulikotoka na mengi uliyoyafanikisha. Utagundua kuwa wewe ni wa pekee. Jikumbushe mara nyingi kuwa wewe sio wa kawaida. Mafanikio yako ni matokeo juhudi zako. Hata...
  12. Muonekana wako pekee hautoshi kuwaeleza wengijne juu ya uwezo wako

    Jambo letu tena! Muonekano wako pekee hautoshi kuwaeleza wengine uwezo wako au nguvu zako. Jitahidi kuwavutia wengine kwa namna utakavyotumia akili yako kutatua changamoto zinazoisibu jamii. Ichangamshe akili yako ili upate namna ya kuepuka mawazo yasiyosaidia lolote. Jizoeze kujikubali na...
  13. F

    Kuhusu Mahafali ya 11 ya Chuo cha ulinzi wa Taifa- NDC, Kuna Jambo sijalielwa. Si cha kijeshi tu?

    Nafuatlia Mahafali ya kumi na moja ya Chuo Cha Cha ulinzi wa Taifa-NDC kupitia TBC. Mimi nimekuwa nikivutiwa na mambo ya Jeshi mfano gwaride na tifaki mbalimbali za Kijeshi. Sasa leo nachukua Rimoti nashusha kila channel nakuta mambo niyapendayo. Nakuta Mahafali ya Chuo chetu Cha ulinzi wa...
  14. Zombie na vampire ni Jambo Halisi, sio maigizo kama wengi muonavyo

    ZOMBIE NA VAMPIRE NI JAMBO HALISI, SIO MAIGIZO KAMA WENGI MUONAVYO. Anaandika, Robert Heriel Mtibeli. Bila Shaka wengi wetu tumewahi kuziona filamu za Mazombi na Vampire, na ambao hamajwahi kuziona basi mnaweza kuzitafuta Baada ya kusoma andiko hili. Kuna watu huniuliza na kuniona Mbona Huyu...
  15. J

    Jambo kubwa la Nchi lipo Kondoa

    Jambo lipo Kondoa. Mkutano Mkuu wa Jimbo kondoa Mgeni Rasmi Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi ( Bara) Ndg. Abdulrahman Kinana. #VitendoVinaSauti #CCMImara #KaziIendelee
  16. Nataka kuoa naombeni ushauri wenu jambo litimie

    Kwakwel nataka kumuoa MAMA UMUT lakini sijui chochote yani kuhusiana na kupeleka barua na posa pia. Kwahyo nikaona nina familia kubwa na ndugu wengi huko JamiiForums niwashirikishe ili nijua BARUA inahitaji nini na iweje NA POSA iahitaji nini na iweje. ASANTENI SANA USHAURI WENU WANA JAMVI
  17. Ukraine waanza kutembeza kichapo kwa kutumia cluster bombs, Putin alisema zikitumika atafanya jambo

    Putin amekua akichora mistari na kusogesha magoli ya mikwara, juzi alisema Ukraine wakipewa cluster bombs hapo mstari utakua umevukwa na atafanya kitu, haya sasa wamepewa na zinatembeza kichapo ile mbaya, sijui atachora mstari upi mwingine. US-supplied cluster munitions have been deployed in...
  18. Hivi umefanikiwa kusamehe kila jambo linalokutokea au lililokutokea kwenye maisha yako?

    Haya maisha haya, unakutana na mambo mengi sana ya kukuumiza moyo na kukufurahisha yes dunia imeumbwa hivyo. je wewe umeweza kusamehe kila jambo lililokutokea au linalokutokea katika maisha yako? mimi nimeshindwa, kuna watu bwana nilikua nao very close, katika maisha yetu mimi ndie nilikua...
  19. M

    WANAUME WENZANGU: Umewahi kufanya jambo ukaja kujuta baadae kama mimi ninavyojuta mpaka sasa?

    Habari wana Jf nipo na ID nyingine niliifungua karibu siku 26 zilizopita. Twende kwenye mada. Mimi nina umri wa miaka 35 kwa sasa nina watoto 3. Nimeoa na nina mke nimezaanae watoto 2. Mtoto wangu wa kwanza nilizaa na dada mmoja chuoni. Mama yake sikumuoa nilioa mwanamke mwingine ila mtoto...
  20. S

    Hivi hili la bandari nalo likipita kwa ushwari uliolengwa na mamlaka, je ni kitu gani au jambo gani tena la kutuingiza barabarani kama nguvu ya umma?

    Kama kuna jambo ambalo limeamsha hisia na vuguvugu za kizalendo kwa kipindi kirefu kilichopita, na kupata sapoti ya wanazuoni wanaoheshimika ndani na nje ya nchi ni hili la bandari. Pamoja na kuwa wazi kabisa kwamba kuna kila dalili ya kuja kulilia huko mbele ya safari kuwa viongozi wetu...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…