King Jody
JF-Expert Member
- Oct 8, 2022
- 914
- 1,704
Niwapongeze sana wachaga kwa utaratibu wao wa kukutana kila ufikapo mwisho wa mwaka,
Sababu zao kukutana ni kama ifutavyo
1. Kukutana na kuonana live ndugu jamaa na marafiki baada ya kupotezana kwa takribani mwaka mzima kwenye harakati za utafutaji.
2. Kusherehekea kumaliza mwaka salama kwa kula nyama na kunywa mbege kwa wingi
3. Kuwapiga taff wenzao ambao hali zao kimaisha hazijatengemaa
4. Kufanya mambo ya kimila nk.
Najua yapo mengi ila leo nimetaja baadhi, kama kuna mengine unaweza kuongezea.
Mimi si mchaga lakini nawaonea wivu sana wachaga kwa tabia hii ya ushirikiano, kwani umoja ni nguvu utengano ni udhaifu, Hii ni tofauti kabisa na makabila mengine.
Natamani kuwajengea wanangu haka katabia ili wakikua waishi kwa Kupendana na kushirikiana.
NB: Kama wewe ni mchaga popote ulipo hongera sana.