Taharuki: Jambo Tv Youtube Channel yafungiwa kwa muda usiojulikana

Shakari

Senior Member
Jul 6, 2022
157
440
TV ya Mtandaoni Jambo Tv imefungiwa na huwezi kuona tena video na matukio yote yaliyowekwa kwenye Youtube Channel ya Jambo Tv.

Sababu za kufungiwa chombo hicho bado hazijulikani ila kuna tetesi zikiwahusisha mawaziri 4 wanaotuhumiwa kwa kashfa mbalimbali za ufisadi. Tupaze sauti watanzania wote Jambo Tv Youtube Channel irudi hewani

_GlFeS0q_400x400.jpg
 
TV ya Mtandaoni Jambo Tv imefungiwa na huwezi kuona tena video na matukio yote yaliyowekwa kwenye Youtube Channel ya Jambo Tv.

Sababu za kufungiwa chombo hicho bado hazijulikani ila kuna tetesi zikiwahusisha mawaziri 4 wanaotuhumiwa kwa kashfa mbalimbali za ufisadi... Tupaze sauti watanzania wote Jambo Tv Youtube Channel irudi hewani

View attachment 2822301
Hili nililiona wazi linakuja

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kama kuna mtu bado anaimani na ccm, inabidi akapimwe kichwa Milembe,
Ccm ni wezi, mafisadi, ni genge la majizi,
 
Back
Top Bottom