matunduizi
JF-Expert Member
- Aug 20, 2018
- 6,587
- 15,373
Iran imerusha drones zake na kurekodi misafara ya meli kubwa za kivita za Marekani.
View: https://x.com/EbneHava/status/1729892586578452954?s=20
Wachambuzi wanasema huu ni mwanzo wa kufeli kwa ubabe wa US kwenye maji. Kama drone zimekaribia na kuchukua picha kwa kuzoom karibu muda mrefu, basi hawashindwi kuzamisha meli hizo.
Ukiwa na vifaa vya kisasa vya kijeshi vya matrillion, alafu kuna mtu anavifuatilia bila wewe kujua basi hauko salama kama unavyodhani.
Hii kitu haijawahi kufanywa na China wala Russia.
Ni hayo tu...
Nini maoni yako.