msaada kwenye blog yangu jambo hili linanichanganya

Abu Haarith

JF-Expert Member
Oct 16, 2015
314
165
Habari zenu wanajamvii,

Mimi ni blogger mchanga, namiliki blog yangu hii www.binruwehy.co.tz kwaajili ya habari za michezo lakini ninashangazwa na jambo hili kwenye upande wa views kuna wakati nilikuwa natumia template fulani inaitwa korve ka siku nimekuwa nikipata views elfu 20 mpaka 50 inategemea na wingi wa habari kwa siku hiyo na habari zinazotrend zaidi kwa wakati huo lakini siku mbili tatu hizi nimebadilisha muonekano na kuweka template mpya tena pro ila views wameporomoka hadi inakatisha tamaa.

Kwa anefahamu changamoto inaweza kuwa nini anisaidie.
 
Blog yako ni blogspot,wordpress au umetengeneza mwenyewe kwa html? Ilo moja

Mbili,Kama ni bologspot ulikua unatumia Google analytics kuona Traffic base yako inapotokea kwa wingi? mfano TZ,US au Europe kabla ya kubadili templates?

Tatu,Muda gani umechukua mpaka useme umekata tamaa kwanini usisubiri ata miezi kadhaa Traffic base yako izoee template mpya?

Nne,Jaribu kuanalyse mwenyewe uone wapi umekosea na urekebishe kwasababu sidhani kama utapata msaada exactly unaohitaji hapa JF
 
asante kwa ushauri wako mkuu, blog yangu ni blogspot
 
Kama watembeleaji wako wanatoka Google search basi ni kwamba kuna algorithm update Google wameifanya. Mwezi WA kumi na WA kumi na moja, blog nyingi zimeathirika na nyingine kufa, hata Mimi na-experience kupungua Kwa watembeleaji karibu Kwa 20%. Monopoly ya Google imezidi Kwa sasa. Kiushauri pia zigeuze post zako ziwe YouTube video pia

Vinginevyo hizi algorithms za mara Kwa mara zinaweza kuua blog kabisa
 
Shukran mkuu nitajitahidi kufanya hivyo

Back
Top Bottom