Utumishi wako fair
JF-Expert Member
- Nov 12, 2021
- 431
- 1,335
Suala langu:
Nimekuwa nikisikia Mengi kuhusu ndoto, Wengine mara oohh sijui mlango wa kuyaona yaliyopo nyuma ya Dunia, Mambo yasiyoonekana etc.
Wengine wanasema kuwa ndoto ni matukio ambayo tunayafanya kila siku...yanajikusanya.
Swali langu:. Kwanini Hajawahi tokea Binadamu yoyote akaota ndoto yupo chooni anaoga?
Hajawahi tokea na hatakuja kutokea. Sasa wajuvi wa mambo nipeni jawabu la swali hili.